sanalii
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,435
- 5,102
Sina chuki, nahitaji tu kufahamu, ni wanachonganishwa au ni nini?
Kama miaka miwili hivi kidogo kulitulia ukiachana na Syria ambayo bado inamgogoro,
Sasa siku kadhaa zilizopita naona Taliban wanataka kukuanzisha na Iran.
Kuna ugumu gani hizi nchi za kiarabu/kiislamu kuishi kwa amani ?
Je ni dini inachangia ? Ni race yao/ukanda wao au shida nini?