nchi

  1. Notorious thug

    JamiiForums Tanzania Idadi ya Nguruwe yaongezeka nchini

    Leo wakati nafuatilia Mpango na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi 2023/2024 Waziri Abdallah Ulega amesema idadi ya Nguruwe "kitimoto" imeongezeka kwa mwaka 2022/2023 kutoka Nguruwe Milioni Tatu na Laki Nne(3.4M) hadi Nguruwe MilioniTatu na Laki Saba(3.7M)...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awakaribisha nchini Mawaziri wa michezo wa nchi 14

    Na Bwanku M Bwanku. Leo Alhamisi Mei 04, 2023 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa ni mgeni rasmi na atafungua mkutano wa Mawaziri wa Michezo wa Baraza la Michezo la Umoja wa Afrika Kanda ya 4 ambapo Mawaziri 14 kutoka Nchi za Comoro, Mauritius, Sudan, Somalia...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Hivi ni nani anawatetea wafanyakazi sekta binafsi ukizingatia Rais wa nchi hii ni moja?

    Km mtakavyokumbuka tarehe moja mwezi huu wa 5 ilikuwa sikukuu ya wafanyakazi duniani yaani mei mosi. Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania ndiye aliyekuwa mgeni rasmi. Wakati wa hutba zake aliwaahidi wafanyakazi wa sekta ya umma mambo mengi mazuri ikiwamo annual increment yaani nyongeza za...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Uhuru wa Vyombo vya Habari: Nchi 7 kati ya 10 zina hali mbaya

    Katika Nchi 180 zilizofanyiwa tathmini ya Hali ya Uhuru wa Habari na Shirika la Reporters Without Borders (RSF), 4.4% sawa na Nchi 8 zimetajwa kuwa na Mazingira mazuri ya Vyombo Vya Habari Huru Hali imetajwa kuwa mbaya zaidi katika Nchi 31 (17.2%) ikielezwa Mazingira ya Habari ni mabaya katika...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Miziki toka nchi za Afrika

    Luanda, Angola Shiny I - E ndege na
  6. D

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Narudia tena, tusije kurudia kufanya kosa kama la 2015. Nchi ilikuwa inaenda kufa

    Kila kitu kilikuwa kinaenda ovyo kana kwamba tunaongozwa na darasa la saba au nursery kabisa. Hebu fikiria yafuatayo: 1. Uhuru wa habari ulikuwa umezimwa kama mshumaa ikabaki ni kumsifia tu mpaka kikaanziaha kipindi Cha kishindo Cha awamu ya tano. 2. CAG alivyoibua madudu tu akatumbuliwa...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Je, ni wakati wa vijana kufikiria kutafuta kazi nje ya nchi?

    Kwenye nchi zilizoendelea kwasasa kuna uhaba mkubwa wa vijana wa kufanya kazi lakini wakati huohuo kuna janga kubwa la vijana wasikuwa na kazi Tanzania. Pamoja ni jitihada nyingi za serikali za kusaidia vijana kupata kazi na kufanya shughuli za kilimo ni lazima vijana nao wajiongeze walau kuweka...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Kazi kwenye nchi za Kiarabu

    Nakaribia kumaliza elimu ya degree na sitaki kupoteza karne 1 kusubiri ajira hapa bong nipeni ABC za kufika nchi za kiarabu nikafie huko. Mimi ni wa kiume na kazi yoyote nafanya mradi tu iwe ya halali, umri miaka 24.
  9. J

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa miradi mbalimbali ya barabara unaofanywa na Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania TANROADS umetajwa kuwa neema Kwa kufungua Nchi

    Ujenzi wa miradi mbalimbali ya barabara unaofanywa na Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania TANROADS umetajwa kuwa neema, manufaa na kufungua fursa mpya kwa watanzania hasa kwa kuunganisha Nchi na mikoa kwa barabara nzuri za lami. Kauli hiyo imetolewa mkoani Rukwa na Waziri wa Ujenzi na...
  10. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Ilikuwa ni muhimu kwa baadhi ya nchi kutawaliwa na wazungu

    Siwatetei Wakoloni, lakini, nafikiri kulikuwa na umuhimu wa wao kutawala baadhi ya nchi kwa kipindi hicho, hasa za Kiafrika, kama walivyofanya. Walinufaika na rasilimali za Afrika, lakini Waafrika nao hawakubaki kama walivyokuwa. Wamechangia mabadiliko chanya. 1. Walisadia kutokomeza baadhi ya...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri anapopata ajali then Viongozi wakuu wa Wizara na nchi Kwa ujumla wasitoe pole Kwa familia siyo afya. Kuna fumbo

    Viongozi wanapopata ajali tumezoea kuona viongozi wenzake kupitia akaunti zao binafsi za mitandao ya kijamii zikitoka pole Ila kwa huyu Naibu Waziri watu wamekaa kimya. Sidhani kama inaleta afya, inaonyesha kama ametengwa. Tujitahidi kuondoa double standard Kwa Sababu angekuwa anatoka...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Nchi hii imepitia madhira makubwa sana. Eti na hawa ni viongozi wa dini

    Kanisa la TAG wakitafuta kupendwa na Magufuli enzi hizo. Ujinga mtupu , eti nao ni Maaskofu. Leo Malasusa na Pengo eti shatani Musiba asamehewe! Rubbish!
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Pamoja na Kutolewa ila Simba SC imeiheshimisha nchi Waitwe Bungeni Kushukuriwa

    Ndiyo ni kweli tumetolewa rasmi Robo Fainali ya CAFCC lakini kilichofanyika na Wachezaji wa Simba SC ni zaidi ya Ushujaa hivyo waitwe Bungeni kupewa Heshima ya Ushujaa. Hongereni mno na Asanteni sana Wachezaji wa Simba SC nyie ni Mashujaa wa Kutukuka Michezoni.
  14. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Kwenye hii nchi ukiwa na Akili timamu utakufa na Ugonjwa wa Moyo.

    Wanaoishi kwa raha kwenye hii nchi ni mazezeta,wapumbavu na wajinga wasiofahamu chochote. Ukitaka uishi bila msongo kwenye hii nchi inakupasa uwe mmoja wapo wa watu wenye utindio wa ubongo,siyo kuishi vizuri tu bali pia utafaidi uzandiki na uzumbukuku wa viongozi na wasio viongozi. Mfano mzuri...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mawasiliano ya TEHAMA Yazingatie Usalama na Sheria za Nchi

    NAIBU WAZIRI JUMANNE SAGINI - MAWASILIANO YA TEHAMA YAZINGATIE USALAMA NA SHERIA ZA NCHI Akizungumza katika Mafunzo yaliyoandaliwa na Taasisi ya Uongozi kwa Mameneja wa Mikoa TANROADS Nchini na Wakuu wa Idara na Divisheni TANROADS Makao Makuu, Mkufunzi wa mafunzo na Naibu Waziri Mambo ya Ndani...
  16. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kabla ya kushinikiza Law School wafaulishe 'sub-standard advocates', njooni saiti muone wanasheria wasioiva wanavyotia hasara

    Tunapambana sana ili law school iruhusu "chakula ambacho hakijaiva" kiingie meza ya chakula. Jibu liko wazi, walaji wataharisha, wataumwa matumbo. Nchi yetu imekuwa ikilia kuhusu mikataba ya hovyo inayosainiwa baada ya kupitishwa (vetted) na wanasheria. Nchi yetu imekuwa ikilia kuhusu kushindwa...
  17. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu kwanini Nchi hii hatutaendelea hata Miaka Milioni 1 ijayo

    Kuna mwanajeshi mhaya alisema yeye Kwenye Kozi hakupiga doso(mazoezi makali), baba yake alikuwa mstaafu wa jeshi, alitoa fungu mtoto wake akawa anadoji doso tu. Sasa najiuliza tu, Vita vikizuka mwanajeshi Kama huyo si atakuwa wa kwanza kufa? Chuo nilichosoma Mimi, Kuna mzee(Dean of students)...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Ethiopia ni mfano wa kuigwa kwa nchi zenye migogoro katika Afrika Mashariki

    Serikali ya Ethiopia hivi karibuni imefanya hafla ya kushukuru watu, makundi na serikali zilizochangia mchakato wa amani nchini humo. Tangu serikali ya Ethiopia na Jeshi la Ukombozi wa Watu wa Tigray (TPLF) kufikia makubaliano ya amani mwishoni mwa mwaka jana, mchakato wa maafikiano nchini humo...
  19. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Hivi TBS wana kazi gani mpaka wasubiri bidhaa zilete madhara ndio waanze uchunguzi au ni Rushwa tu?

    Inafika mahala hii nchi inakera Sana, tuna mamlaka zinazolipwa na kuendeshwa na fedha za walipakodi lakini kazi yake haionekani, mfano hivi karibuni kumekuwa na matukio ya uingizaji wa bidhaa ya powder zenye viambata sumu zinazosababisha saratani lakini wao wapo tu, mpaka nchi zingine waamke...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Pale tunapotakiwa tukasirike tunacheka, na pale tunapotakiwa kucheka eti tunakasirika! Nchi ya ajabu sana hii!

    Nilitarajia kuona kila mtanzania amekasirika na kuonyesha hisia zake hasaa kwenye mambo yafuatayo; Ufisadi Kwanini kuwachekelea waliopewa mamlaka kusimamia haki za wananchi pamoja na kulinda kuhakikisha hakuna shilingi ya Mtanzania inakwapuliwa na mafisadi? Anatokea mtu mmoja tu kusema hili...
Back
Top Bottom