nchi

  1. M

    Nani aliwachagua kuwa viongozi wa dunia? G7 ni viongozi wa nchi 7 tu si zaidi ya hapo

    Viongozi wa G7 naona wameamua kujibatiza kama viongozi wa dunia!! Vyombo vya habari vya magharibi viko mstari wa mbele kuwatangaza kama viongozi wa dunia. Watu husema kuwa uongo ukisemwa sana, na watu wakaumezea hubadilika pole pole kuwa ukweli. Dunia lazima ikatae sasa kuwa marais wa...
  2. Ufanisi wa Nchi katika mambo mbalimbali huamua taifa liwe wapi kwa kesho yake

    Moja kati ya sekta nyeti katika taifa ni ile tunaita "think tank". Sijajua kwa taifa letu watu hawa wanatoka angle ipi,ni aidha ni watu wa sili sana ama wanatoka mbele ya vyombo tunavyoviona ama vile vinavyojihusisha na mambo ya intelijensia!. Sipo hapa kujadili wanatoka wapi!, nipo hapa...
  3. Serikali watu wenye akili Sana Kama Mshana Jr, Bams, Robert Heriel kwanini msiwatumie wakaipeleka nchi Mbele?

    Hii nchi yetu inaonekana hipo Katika dimbwi la Umasikini mkubwa kwa kukosa watu wenye MAARIFA ya kuipeleka nchi Mbele. Mtu Kama Mshana Jr Robert Heriel Mtibeli Bams Kwanini msiwaingize huko serikalini wakaisaidia nchi yetu kuvuka baada ya miaka 60 ya kuogelea Katika umasikini uliotukuka...
  4. K

    Je ni sawa gazeti kupewa pesa na serikali ya nchi nyingine (IPPMEDIA-CHINA)?

    Kwenye gazeti la ippmedia sehemu ya Features kila toleo ni lazima waandike vitu vya kusifia China na propaganda za serikali ya China. Sasa je gazeti hilihilo hitapataje uhuru wa kuandika habari mbaya za China? https://www.ippmedia.com/en
  5. Ukatili uliofanywa na wajerumani katika nchi yetu na Namibia dunia haisemi

    Za mchana wana JF. Natumaini mu wazima wa afya. Leo nataka kuongelea ukatili uliofanywa na wajerumani katika nchi yetu ni wakutisha sana. Historia ya ukatili huo imefichwa watu wachache wanaoujua ukweli wamezeeka sasa. Historia hii inapotea. Wajerumani kuua watawala Wajerumani waliwachinja...
  6. B

    Je watanzania tunahitaji nini? tunafikiria na kuwaza nini? nini hatma ya nchi yetu kama mali tunazo, ardhi tunayo, je ni lini tutaondoka na kero.

    Kero kama maji, umeme, afya, elimu, ujinga na umasikini, lini tutaweza kuwa na umoja na ushikamano katika kujenga nchi, kutoa ubinafs kwa walio na nafasi, kujitegemea kupitia rasilimali zetu tulizonazo, kukataa rushwa na kutenda haki, je tunahitaji nini kama nchi ili tuweze kusonga mbele.
  7. C

    Yanga mmeweka heshima kwa nchi

    Kwanza nachukua fursa hii kuwapongeza Yanga pamoja na kwamba kwenye haya mashindano karibia timu zote zilizoshiriki zina hali mbaya ya kushuka daraja kwenye ligi zao. Sio kwamba mmepata mafanikio haya kwa kuwa mna wachezaji wazuri sana hapana, bali ni kujituma kwao ndio kumeleta mafanikio haya...
  8. M

    Nchi inanuka rushwa za wazi wazi

    Sakata la Kariakoo limeonyesha wazi namna nchi inavyonuka rushwa za waziwazi. Hii ni sehem moja tu iliyomulikwa na inaonyesha watumishi wa umma has TRA na FORODHA wanavyokula kwa urefu wa kamba zao bila kuogopa sheria za nchi. Hii hali ya rushwa za waziwazi na uzembe kwa watumishi wa umma...
  9. Nchi za Afrika zilizofuta Adhabu ya Kifo kwa Makosa yote

    1981 - Cape Verde 1990 - Msumbiji, Namibia, Sao Tome 1992 - Angola 1993 - Guinea-Bissau, Seychelles 1995 - Djibouti, Mauritius 1997 - Afrika Kusini 2000 - Ivory Coast 2004 - Senegal 2007 - Rwanda 2009 - Burundi, Togo 2010 - Gabon 2015 - Congo-Brazzaville, Madagascar 2016 - Benin 2017 - Guinea...
  10. L

    Je, Marekani inaogopa nini kwa kuhujumu mara kwa mara hadhi ya China kama nchi inayoendelea?

    Baraza la Wawakilishi la Marekani hapo awali lilipitisha mswada wa sheria iliyolenga kuivua China hadhi yake ya "nchi inayoendelea". Hivi karibuni, Bunge la Marekani lilipendekeza azimio lingine la kupinga hadhi ya nchi inayoendelea ya China katika Shirika la Biashara Duniani WTO. Kwa kujibu...
  11. F

    Hatuwezi kuendelea kuendesha nchi kwa matamko ya jukwaani

    Mgogoro wa wafanyabiashara Kariakoo unatokana kwa kiasi flani na mazoea ya viongozi wetu kuendesha nchi kwa matamko ya jukwaani. Tangu lini tamko la kiongozi jukwaani likawa sheria? Jambo kubwa kama ukusanyaji wa kodi na msamaha wa kodi kwa miaka 3-5 linatamkwa tu jukwaani bila maandishi...
  12. Lala salama Hayati Magufuli hukuwahi Kudharaulika na Watendaji wako, Uliogopwa Kiufanisi, nchi ilienda na tulinyooka vilivyo

    Wewe Mwenyewe kwa kutaka Sifa kwa tuliokuwa tukikusikiliza na kumuonyesha aliyekuwa Juu yako alikuwa hafai ulisema hutokuwa Mkali na Bandidu na utatudekeza sasa leo unalialia nini kuwa Unadharaulika na Watendaji wako tena uliowateua Mwenyewe? Wenye Akili Kubwa hapa tunaona unatupigia tu Kelele...
  13. A

    SoC03 Jinsi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa kwa Maendeleo ya Nchi yetu

    Rushwa ni tatizo kubwa sana katika nchi yetu na linahitaji kushughulikiwa kwa njia ya uwajibikaji na utawala bora. Kwa miaka mingi, rushwa imekuwa ikiathiri maendeleo ya taifa letu kwa kuzuia maendeleo ya uchumi, kuongeza umaskini na kupunguza uaminifu wa wananchi kwa serikali. Kuna sababu...
  14. A

    SoC03 Andiko kuhusiana na suala zima la Katiba ya Nchi

    Katiba ya nchi ni nyaraka muhimu sana katika kuhakikisha uwajibikaji na utawala bora. Hata hivyo, kuna changamoto nyingi katika utekelezaji wa katiba hii, ambazo zinahitaji hatua za haraka kutoka kwa serikali na wananchi. Moja ya changamoto kubwa ni ukosefu wa uwazi na uwajibikaji. Serikali...
  15. Hivi ni kweli hizi kodi ziko nchi hii au watu wanasema uongo kumchonganisha Samia na wafanya biashara? Huu ni zaidi ya msiba!

    Mh Rais ni kweli umeamua kuuwa uchumi na biashara kabisa? Hivi kweli umeruhusu kadi za namna hii? Hii nimeikopi kwa mwana jf wakukurupuka1 Nanukuuu “Leo Kuna mgomo kwa wafanya biashara soko kuu kkoo kutokana na kila wiki uzinduzi wa kodi mpya Baadhi ya kodi unazotakiwa kulipa 1: TRA. 2: FIRE...
  16. Je, tunajifunza historia ya nchi kwa manufaa?

    Habari zenu wanajamii?! Wataalamu na walimu wa historia duniani kote wanaeleza fani ya historia inamsaidia binadamu kujua alipotoka, alipo na anapoelekea. Nikitafakari hili, nawaza historia ya nchi yetu tumeitumia vipi kutuletea manufaa? Tangu babu zetu kina Mkwawa na bibi zetu wapambane na...
  17. Ukiwa na USD 500,000 unaingiza vipi Tanzania kama upo nje ya nchi?

    Habari wana JF, Jumapili yenye mushkeli, kumpoteza bwana wille aka lemutuz, ni pigo kwa watanzania wanaomfahamu na waliopenda vitimbwi vyake mitandaoni. R.I.P. Turudi kwenye mada. Je! dola laki tano in cash(noti) Unaingizaje Tanzania naomba msaada kwa wajuvi wa kada hii. Kwani naamini wapo...
  18. M

    Aibu ya Tanzania. Mkuu wa nchi anazindua minara ya bil 270+ huku wananchi vijijini hawana maji wala huduma za afya za uhakika

    Watu wa vijinini hawana uhakika wa huduma za afya na maji ya uhakika. Kati ya watu kumi ni mmoja tu anaweza kuwa na smart phone huko vijjini. Hizi pesa kwa nini zisitumike kwa mambo ya muhimu
  19. Je, unajua ndani ya idara za usalama na ujasusi kote duniani kuna idara ya kumdhibiti kiongozi wa nchi?

    Idara zote za usalama wa nchi kuna idara ya ndani ambayo jukumu lake kuu ni kumdhibiti sponsor. Kwa maslahi ya nchi. Idara hii ni ndogo na ya hatari mno na wote waliomo ni unnyonimous hata kwa wao wenyewe! Jukumu lao ni la hatari pia kwasababu kunapotokea ulazima wa kumu eliminate sponsor...
  20. R

    La CAG limeisha, maisha yanaendelea. Wapigaji wanawekeza kwenye miradi yao, Bahari imetulia. Nchi hii ngumu sana

    1. Tule tunywe tufurahi, la CAG limeisha bahari imetulia. Walioiba wanapanga miradi gani wawkeze, zizae maisha yaendelee wao na wanao wahusu. 2. Mama Amemaliza kila kitu kwa neno moja tu la stupid.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…