Mtanzania usijiroge kwenda kutafuta maisha nje ya nchi. Tanzania kuna maisha yote

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,709
36,164
Hii mada inawahusu ma expert na wale wrnzangu na Mimi, Yaani wale ambao hawana elimu au elimu yako sio dili katika soko la ajira ulimwenguni.

Tanzania ukilipwa mshahara hata millioni Moja na nusu unainjoi kuliko anayelipwa mamilioni huko nje.

South Africa vijana wa kitanzania wanakufa kama nzi.

Huko nje utabaguliwa sana, na maisha ya upweke yana faida gani huku bongo fursa nyingi?

Naona kazi kuendelea kuandika.

Nendeni mkale bata huko ulaya .
 
Sio kweli, kwanza kabisa inategemea nje unaendaje kama mipango iko vizuri, kazi ya maana salary nzuri na nchi unayoenda uchumi wake iko vizuri mfano Canada , Australia, USA utaenjoy sana kuliko bongo.
Masuala ya upweke hayo siku hizi hakuna technolojia imerahisisha sana.
 
Maisha popote Mzee baba .

What's matter Vision Yako Binafsi inakupeleka Wapi sio unatembelea na Visions za watu Kila Mtu atakufa na Karma yake personal.

Kuna mahali wako wanasubiri someone like you ukalete mapinduzi huko...Sasa kama hau move uko stagnant unajichelewesha tu mwenyewe!
 
Hii mada inawahusu ma expert na wale wrnzangu na Mimi, Yaani wale ambao hawana elimu au elimu yako sio dili katika soko la ajira ulimwenguni.
Tanzania ukilipwa mshahara hata millioni Moja na nusu unainjoi kuliko anayelipwa mamilioni huko nje.
South Africa vijana wa kitanzania wanakufa kama nzi.
Huko nje utabaguliwa sana, na maisha ya upweke yana faida gani huku bongo fursa nyingi?
Naona kazi kuendelea kuandika.
Nendeni mkale bata huko ulaya .
Acha upumbavu huu wa kuwatia uoga vijana wanaohangaika kutafuta riziki za maisha, wewe umezaliwa kwenye royal family, uhakika wa kunya unao, na futa uongo wako kuwa watanzania wanakufa kama inzi, haya ni matusi kutoka kwako baby mother uliyelelewa na kodi za poor of the poorest, bora maisha ya kuwa Beach boy kuliko maisha ya Tandale, guy's maisha popote ukipata opportunity jilipue tu
 
Okay....

Sasa wangapi wanalipwa hizo milioni moja au milioni na nusu ? Yaani kila mtu angekuwa na uhakika wa ajira ya kupata ujira wa laki na nusu mbona Tanzania ingekuwa heaven on earth....

Fahamu jambo moja ukiwa na pesa zako Afrika ni sehemu ya kuishi na competition sio kubwa ni rahisi kuji-establish ulaya utaishi maisha ya kawaida hulali njaa unapata pesa ya bia lakini usitegemee kuwa tycoon; Bongo ukipigika umepigika kweli kweli...

In short maisha ni everywhere ni wewe binafsi wapi unafeel at home dunia imeshakuwa kijiji; Tanzania ilikuwa nchi nzuri yenye raha sana, hawa walamba asali wanaifanya watu wawe kama wakimbizi kwenye nchi yao....
 
Acha upumbavu huu wa kuwatia uoga vijana wanaohangaika kutafuta riziki za maisha, wewe umezaliwa kwenye royal family, uhakika wa kunya unao, na futa uongo wako kuwa watanzania wanakufa kama inzi, haya ni matusi kutoka kwako baby mother uliyelelewa na kodi za poor of the poorest, bora maisha ya kuwa Beach boy kuliko maisha ya Tandale, guy's maisha popote ukipata opportunity jilipue tu
Unaweza ukawa na hoja nzuri ila lugha mbovu zikakufanya uonekane umeongea pumba
 
Acha upumbavu huu wa kuwatia uoga vijana wanaohangaika kutafuta riziki za maisha, wewe umezaliwa kwenye royal family, uhakika wa kunya unao, na futa uongo wako kuwa watanzania wanakufa kama inzi, haya ni matusi kutoka kwako baby mother uliyelelewa na kodi za poor of the poorest, bora maisha ya kuwa Beach boy kuliko maisha ya Tandale, guy's maisha popote ukipata opportunity jilipue tu
Mleta mada ana mawazo ya kishamba sana.

Lack of exposure
 
Hii mada inawahusu ma expert na wale wrnzangu na Mimi, Yaani wale ambao hawana elimu au elimu yako sio dili katika soko la ajira ulimwenguni.

Tanzania ukilipwa mshahara hata millioni Moja na nusu unainjoi kuliko anayelipwa mamilioni huko nje.

South Africa vijana wa kitanzania wanakufa kama nzi.

Huko nje utabaguliwa sana, na maisha ya upweke yana faida gani huku bongo fursa nyingi?

Naona kazi kuendelea kuandika.

Nendeni mkale bata huko ulaya .
Acha uongo. Utaozea hapa hapa na ccm yako
 
Mimi nipo Ujerumani ninakubaliana na wewe lakini kwa asilimia 50. Ni vizuri kuja nje na ni vizuri zaidi kama umekuja kusoma na kufanya kazi. Lakini ushauri wangu ni kuwa usibweteke ukafocus kwenye kuhamia nje moja kwa moja. Fanya kazi, save hela then rudi nyumbani. Exposure ulioipata huku itakusaidia sana nyumbani, kuna watu wana miaka ishirini Ujerumani lakini hawana nyumba wala investement yoyote. Yaani mtu anaona aibu kurudi nyumbani. Lakini waliorudi nyumbani wamepiga hatua kubwa sana. Nje ukikaa sana ufanye kazi miaka mitano maximum excluding miaka ya kusoma.
 
Lack of exposure

Mleta mada tembea uone.

Ukitembea duniani, utaona kwamba ulikuwa na mawazo ya kishamba sana.

Uafrika hasa utanzania ni laana.

Acha vijana wakimbie nchi, kuepuka laana.
Na wale wanaotoka huko na kukimbilia huku Africa wanafuata Laana ?
 
Back
Top Bottom