Kusema ukweli Tanzania tunahitaji apartments kwa sasa. Kwa nini tusijifunze kutoka kwa nchi kama China, South Korea, Singapore nk? Hizi nchi watu wake walikuwa wanaishi kwenye makazi duni sana miaka ya 1960s. Serikali zao zikaanza ujenzi wa apartments ili kuhakikisha wananchi wengi wanapata...
Nilikuwa nikisikia kwa jirani ila Leo yamenifika, sikufanikiwa kumzika Claudia Mwana wa MASSAWE kutoka mkoa wakilimanjaro Binti pekee aliyetegemewa na Baba yake Mzee MASSAWE pale Rau.
Hakika ni majonzi Binti ambae alikuwa tegemeo pekee la Mzee MASSAWE ,
Leo napita hapo nyumbani kusalimia...
Mfano hapo juzi tu nchini Pakistan muislam kaingia kwenye msikiti kajilipua bomu, wasilam 31 wamepoteza maisha
Ni nchi nyingi za kiislam imeshakuwa kawaida kusikia wakiuana kwa misingi ya kidini
wataalam tunaombeni ufafanuzi
Sasa najua kuna watu wataanza kujitetea "mbona nchi za kikristo nako...
Jalida kubwa kabisa duniani, limemwelezea Samia Suluhu Hassan kama kiongozi aliyeiletea matatizo makubwa sana Tanzania toka nchi ipate uhuru.
The Economist wanasema chini ya Samia, Serikali imeua watu wengi kuliko watu waliouliwa na Mjerumani kwenye Majimaji War.
Chini ya Samia kumeshuhudiwa...
🔥🔥🔥🔥Taarifa ya Siri iliyofichuliwa huko Uingereza inataja zaidi ya Nchi 22 duniani zilituma magaidi kwenda Israel kwa ajili ya kuua watoto wa dogo na wanawake wasiokuwa na silaha huko GAZA Palestine.
Ripoti hiyo inataja marekani ndio Nchini iliyopeleka Magaidi Wengi zaidi kujiunga na kundi la...
Tazameni uhalisia wa mambo unavyoenda.
Nchi zinazokaribiana na nchi ya Kusadikika ukiangalia project zao wako very serious na hawana porojo. Ukiangalia nchi ya Kusadikika ni kama vile tuko tu shega tu
Naiona nafasi kubwa ya mwamba PK inayosifiwa kwa WAREMBO afrika nzima kupata nafasi mbadala...
Wafu wamefikia hatua wanasema hawataki kuona picha yake.
Ila yeye kakamoaa kuwa karibu na vijana. Mara tutawapa hiki, mara tutawapa kile. Tutawajengea studio na bado ahadi kibao.
Lakini ukija uraiani vijana ndio wanamkataa kabisa.
Huku Tabora kuna watu wanajitambulisha kuwa ni Warwanda na wanapaspoti za Rwanda wanauza hayo madongo kwenye picha wakidanganya watu kuwa ni makaa ya mawe.
Wanauza hayo madongo Matano kwa Tsh 5,000, mamlaka ziwafuatilie kwa haraka.
Albert Einstein – Nadharia ya Relativity
Max Planck – Mwanzilishi wa Quantum Theory
Werner Heisenberg – Uncertainty Principle
Wilhelm Conrad Röntgen – Aligundua X-rays
Hermann von Helmholtz – Fizikia na fiziolojia
🧪 Kemia
Justus von Liebig – Baba wa modern chemistry
Fritz Haber – Haber Process...
HABARI KUBWA! China imezuia uwekezaji mpya nchini Israeli kimya kimya.
Hatuhitaji uwekezaji wa Kichina nchini mwetu!!!.
Israeli ni taifa lenye nguvu duniani katika teknolojia, matibabu, na usalama. Huu ni mwaliko wa uwekezaji zaidi kutoka nchi zenye nia moja. China si mshirika. Taiwan ndiye...
Habari ndio hio ya mjini fresh kabisa Saud Arabia, Qatar, na inasemekana pia Iran atapiga base iliopo UAE, Oman, Kuwait Warabu wameisha choka na ujinga wa USA wamewapa green light Iran wapige base ya USA kwenye nchi zao kama USA akishambulia Iran.
Safari hi USA kaukalia wacha awe anatafuta...
Ni nchi gani duniani ambayo maendeleo yake yanahusishwa moja kwa Moja na ufuasi wa dini fulani?
Nchi ambayo tunaweza kusema pasina shaka kuwa, kutokana na wao kufuata dini fulani ndiyo maana walipata maendeleo waliyonayo!
Au kwasasa wameishiwa ubunifu wa porojo, uongo na uzushi mpya dhidi ya taifa lao kwa manufaa na hisani ya mabwana zao waliokua wakiwatumikisha?
Na ile ahadi ya kutafutiwa kazi ubiligiji wametimiziwa?
Umaskini wa kifikra na unyonge wa kiuchumi unaweza kupelekea vijana wengi wa chadema kufanywa...
Serikali imeweka wazi kuwa Magereza mbalimbali nchini sio Sehemu ya Mateso huku ukiwepo ushahidi wa Maendeleo kwa Wafungwa kuhitimu Masomo ya ngazi mbalimbali na Mafunzo wakiwa ndani ya kifungo ikiwemo Wafungwa 209 waliohitimu Masomo ya Ujasiriamali katika Chuo cha Uhasibu Arusha na wafungwa 201...
Kuwe na mjadala mpana kuhusiana na agenda zisizo rasmi za kuuza rasilimali za nchi kwasababu misaada imesitishwa lazima tujue nani chanzo.
Kama misaada hakuna nani amesababisha isitishwe ni watanzania au samia ? yani mtu mmoja sharti aondoke misaada ifunguliwe na sio kuuza rasilimali zetu...
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan. Kasafiri na ndege ya ATC B737 with registration number 5H-TCQ. Flight number TC 4401. Tena imetua kwenye private airport. Ushahidi huu hapa.
Kwanini siku hizi kuna kijificha ficha sana na shughuli za rais inabidi ziwe wazi
Britanicca
Tukivuka hapa vigezo vya urais na ubunge vikazwe sana viwe vigumu ili kutopitisha wajinga chanzo cha kuharibika kwa nchi mauwaji, rushwa na utekaji.
Hatua hii itajenga uongozi bora wa kisheria na kuwepo kwa uwajibikaji mzuri na kuhakikisha usalama wa rasilimali za nchi, vinginevyo mtaona mambo...
Hii ni mara ya kwanza nchi kupata rais anayeishi kwenye mapango na kujificha hakuwa hivi alipo ingia anajua ameuwa watu wengi sana.
Ndio maana anatajwa tajwa na kina mwigulu kila siku na bunge kila siku ili kumpumbaza amekataliwa na haibadilishi kitu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.