Hii huwa inanichanganya. Huyu dada ameondoka nchi yao nzuri ya kiislamu yenye kufuata miiko ya dini na taratibu na kwenda kuishi nchi ya kikafir.
Alichofanya ndo kimeshangaza zaidi. Huko ambako hawajifuniki nywele na hawavai nguo za stara ameenda akaoana na kaka yake. Imagine kaolewa na kaka...
Wapinzani wapo kama milofa fulani, wanasubiri tukio ndio wadandie mada kama komba.
Kila tukio linalotokea Tanzania wapinzani lazima walidandie. Liwe zuri au baya.
Soon sasa hivi wapinzani watapita na trend ya mgao wa maji. Serikali ikifix wanakaa kimya na kutafuta jambo jingine.
Sasa mjinga...
Mkuu wa nchi alitamka mbele ya wazee Dar. Kuwa kuna watu walitaka kuangusha dola hiyo tar 29 Oktoba. Hii kauli imenishutua sana. Na mpaka leo huwa natafakari.
Kwamba kulikuwa na watanzania waliotaka kuingia Ikulu na kukamata dola kwa kutumia vijana na watu waliondamana wakidai kuchoshwa na...
Leo tunakumbushana jambo moja tu, hatuwezi kubadili tabia nchi bila kubadili tabia zetu. Ni jukumu letu kulinda mazingira, kutunza vyanzo vya maji, na kuheshimu ardhi inayotupa riziki. Tukifanya hivyo, tunalinda maisha yetu na vizazi vinavyokuja.
Tuchukue hatua kwa umoja na hekima. Dunia ni...
Nilikuwa najiuliza tu huu ufisadi wa kununua Rolls Royce na Mercedes Benz G Wagon kwa vigogo wetu nchini pamoja na hizi Rasimali za nchi tulizonacho zinavyotumika ndiyo sivyo.
Kwanini ulinzi wa kuilinda Dola, usitumike kulinda Rasilimali za Nchi na kuzuia ufisadi na mafisadi. Nafikiri Kuna haja...
Serikali haramu imesha anguka na kushindwa kuifanya nchi ya kipumbavu wanang'ang'ania madaraka wanajua washaharibu nchi wakitoka wataburuzwa.
Wakitoka wote wahusika wakuu ikiwemo wakuu wa majeshi wataburuzwa sana wanatamani wachimbe shimo wajifukie wakimbie mbali. sasa hawa sisi tupo nao sana...
Tumekubali yaishe? Tumewaachia ushindi watafune nchi wawezavyo?
Ni maswali yasiyo majibu yanayoumiza moyo na kuitesa akili. Hivi tumeiacha Tanganyika ikilia na kuomboleza huku ikitafunwa mpaka mifupa?
TUmekubali kuwa watumwa wa kundi dogo linalowashurutisha majeshi watushikilie kwa mtutu wa...
Nchi imeshabadilika baada ya maelfu ya mauaji ya Watanzania kufanyika bila hatia, hivyo wananchi wamejaa na chuki, hasira, visasi, sumu n.k dhidi ya utawala huu haramu uliopo unaoongozwa na samia.
Watanzania hawa wapo ndani na nje ya nchi hivyo chochote kinaweza kutokea Sasa kulingana na haya...
Kwa haya matukio na wakizidi kutawala kwa mkono wa chuma.
Najaribu kuwaza kwa jinsi wanavyofanya matendo ya ovyo wakijichia jina la AMANI.
Kibaya zaidi hawa somi alama za nyakati kuwa vipofu wanaokula nao wamewashika kwenye steji ngumu na watakuja kutoa maamuzi hatari.
My people,
Si kila anayetaka amani kwasasa hajaumizwa na yale yaliyotokea 29 Oct na yanayoendelea sasa hivi ikiwemo utekaji
Natambua kwa baadhi yenu mnaweza kumuona kila mtaka amani na mpinga harakati za fujo ni adui wa Taifa hili,ukweli ni kwamba kila mpenda amani na mpingaji fujo ni mzalendo...
Moja kwa moja kwenye mada.
Najua viongozi wa jwtz wako humu.
Jwtz wenyewe (askari wenyewe) wako humu.
Nawapongeza sana kwa kutuliza hali ya nchi. Ni wazi, bila jwtz kuwa deployed mitaani kwa wingi, polisi peke yao wasingeweza kutuliza hali ikawa vile ilivyokuwa jana D9.
Pamoja na hayo...
Wadau,
Tumeshuhudia aina mpya ya "Uhuru Day." Badala ya sherehe, miji iligeuka kuwa "Ghost Towns" (Miji ya Kimya), ikiwa imejaa wanajeshi na polisi. Hakukuwa na maandamano ya wazi kwenye maeneo mengi, lakini biashara zilisimama, na hofu ilitanda.
Uchambuzi wangu unaonyesha kuwa huu ulikuwa...
Mimi siisapoti CCM ila ni Mwafrica mwenye IQ kubwa Sana
Najiuliza na nacheka
Mange , Dangwa n.k hawa vilaza kweli wanaweza kukomboa nchi.!!!?
Mkiendele na huu ujinga wakuwasikiliza watu waliojikatia tamaa na wajinga mtakuja kupata shida ya Akili
Yule Mange kilaza aliyevujisha video ya prof...
Sisi bado tupo tu, wakifungua nchi sisi hao barabarani sisi hatujaondoka wala haibadilishi chochote lazima sababu kuu za maandamano zitatuliwe kwanza.
Waambieni sisi tupo sana
Kitendo cha serikali kutumia nguvu kubwa kuminya uhuru wa watu kuandamana na badala yake watu wametii na kuamua kukaa ndani, hapo kiuhalisi walioshinda ni wale walioamua kukaa kimya .
Ni sawa unagombana na mtu unajimaliza kwa kila kitu, unamsukuma mtu, una mdhihaki, una mtusi lakini mtu huyo...
Yes. Serikali lazima iende mbele, miradi muhimu yote lazima iendelezwe na miradi mipya lazima ianzishwe. Option ni moja tu kukusanya kodi kwa wingi.
Kuna watu wanaitwa wamachinga wako Dar es salaam na majiji mengine wanateneza faida nyingi sana kuliko hata baadhhi ya wafanyabiashara wenye...
Tatizo la CCM na Samia ni kiburi tu. Familia 99% nchi 1%. Je hii ina maana gani kama nchi
1. Mzunguko wa Pesa umepungua na utapungua kwasababu uwekezaji umepungua, watalii wamepungua na uwekezaji utapungua. Kwa mfanya biashara sasa atapata riba ya juu sana kama anakopa bank za nje kuja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.