Katibu mkuu wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mohammed Khamis Abdulla ameyasema hayo katika hafla ya uzinduzi wa minara 758, Maunganisho ya Mkongo wa Mawasiliano katika Wilaya 85 na leo 10 Aprili, 2026 jijini Dodoma.
Kwa mujibu wa tafiti iliyofanywa na Cloudwards 2026 ikihusisha nchi 171 ikitathmini viwango vyao vya udhibiti wa mtandao kwa kutumia vigezo vya; matumizi ya majukwaa ya mitandao ya kijamii, upatikanaji wa maudhui mbalimbali ya kisiasa na kidini, kanuni zinazohusu matumizi ya VPN pampja na...
Kwa masikitiko makubwa sana
Viongozi tuliokuwa nao kwa sasa wamekosa TIJA.
Nadhani kwa mara ya kwanza kwenye Taifa letu tumeweza kuwa na rais mwenye uwezo mdogo sana
Natambua wapo wanaonufaika na incompetence ya Samia , to them , ni stepping stone kufikia malengo yao :
Kwenu CCM wenye akili...
Ktk akili zao wanaamini nchi za magharibi zitakuwa na nguvu mpaka dunia inaisha.
Wamelishwa aina flani ya msimamo na propaganda
Hawajui historia vizuri. Wamezaliwa wameona basi akili zao zinaishia hapo
Chama cha Reform UK kimetishia kuzuia utoaji wa visa kwa raia wa nchi zinazodai fidia kutokana na utumwa. Nigeria, Ghana, Kenya, Jamaica pamoja na nchi nyingine 15 za Afrika na Karibiani zinaweza kuathiriwa.
Zia Yusuf, msemaji wa masuala ya mambo ya ndani wa chama hicho, amesema madai ya fidia...
Chama cha Reform UK kimesema kuwa kitapiga marufuku utoaji wa visa mpya kwa watu kutoka nchi zinazodai fidia ya utumwa kutoka kwa Uingereza, iwapo kitapata nafasi ya kuunda serikali ijayo. Zia Yusuf, msemaji wa masuala ya mambo ya ndani wa chama hicho, aliiambia The Daily Telegraph kuwa wito wa...
Hivi wakuu mnaionaje Marekani
Achana na maisha expensive, gharama kubwa za matibabu, mauaji mengi, school shootings, extreme sprawling cities and everything
Ukifikiria kiundani Marekani ina success nyingi sana kwa kweli
Mfano kwenye
1. Entertainment
Marekani mziki wao ni always Global hits...
Kama kuna jambo moja kubwa tulilojifunza kutoka vita ya Iran, vita ya Ukraine na kutekwa kwa Maduro, basi somo hilo ni, njia pekee ya kujihakikishia usalama kama nchi ni kumiliki silaha za nyuklia.
Ni ukweli uliobayana kuwa kama huna mabomu ya nyuklia, pamoja na teknolojia ya kuweza kuyarusha...
Mazungumzo ya wachungaji, mashehe, wanasiasa ni kana kwamba mwanaume kukoswa pesa ni jambo la kujitakia na uzembe.
Mtu wa namna hii hupuuzwa na kushambuliwa kama ni mvivu hata kama ni kipindi cha mpito anapitia.
Hii tabia inawaweka wanaume wenye changamoto za kiuchumi katika hali ngumu sana...
Tangu yalipofanyika maandamano na baadaye vurugu wakati wa uchaguzi wa Oktoba 29, 2025 na baada ya hapo, kumekuwa na hofu kubwa kwa wananchi kutokana na kuongezwa kwa ulinzi wa polisi na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ).
Maandamano yaliyokabiliwa kwa nguvu na polisi na JWTZ yalisababisha...
Hivi duniani kuna nchi ina mind-blowing infrastructure kushinda China
Barabara na highways
Reli (railway systems)
Viwanja vya ndege (airports)
BRT system
Train stations
Bandari (ports & harbours)
Nishati (energy infrastructure)
Maji na usafi (water & sanitation)
Mawasiliano...
Kama nchi ilikua na akiba ya kutosha ya mafuta inakua vip bei inapandishwa ghafla ina maana stock iliyokuepo imeisha ? au wameamua kupandisha bei ya mafuta kwa kutazama soko la Dunia wakati nchini tuna reserve ya kutosha kwa bei ya zamani!!
Ikiwa nchi ilikua na akiba ya kutosha tulitegemea bei...
Baada ya viongozi wakuu wa iran kuuwawa kila siku
Sasa IRGC-Walinzi wa Mapinduzi ya Iran walitangaza kwamba kuanzia kesho saa 20:00 saa za Tehran, mauaji yoyote zaidi ya afisa mkuu wa Iran yatasababisha kulipiza kisasi dhidi ya orodha ya makampuni makubwa.
Taarifa hiyo inataja makampuni ikiwa...
Yaani nchi hii mambo ya sheria za mambo madogo madogo ya maisha ya kila siku ya watu hadi inakera sasa. Mara sheria ya hiki,mara ya kile, mara sijui nini,hadi sasa tunakuwa sheria state. NI kweli sheria ni muhimu katika kufanya watu wawajibike katika uhuru wao, lakini kwa hapanchini naona sasa...
Kila nikiisoma Katiba ya nchi yetu kuwa misingi ya uchumi wa nchi yetu ni ya kijamaa na nchi hii mifumo yake inadhibitiwa na wakulima na wafanyakazi, huwa nashangazwa kabisa.
Hivi ni kweli kuwa nchi yetu inaendeshwa kijamaa na wakulima na wafanyakazi ndiyo wenye sauti na mamlaka ya mwisho...
Mwezi Agosti mwaka 2021, China ilizindua Mpango wa China na Afrika wa Kujenga Jumuiya yenye mustakbali wa pamoja kwenye mambo ya mtandao wa internet, na kuwa jukwaa la kwanza la Maendeleo na Ushirikiano kwenye mambo ya mtandao wa Internet kati ya China na Afrika. Ushirikiano huo ni mwendelezo wa...
Tovuti ya Travel And Tour World ya Marekani hivi karibuni ilitoa makala, ikisema China imekuwa moja ya nchi zinazowavutia zaidi watalii wa kimataifa duniani.
Takwimu zinaonesha kuwa mwaka 2025, idadi ya watalii walioingia nchini China ilizidi milioni 150, ambalo ni ongezeko la zaidi ya asilimia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.