fanya kazi kwa bidii na kamwe huwezi kubabaishwa wala kupoteza muda kung'ang'ana na hao wana mazingeumbwa gentlemanView attachment 3586126
Weka comment nzuri inayoendana na Siasa itakayo maanisha hii picha. Mshindi namwekea bundle
Inategemea surrounding environment kama kuna kiti!Ujinga mwingi
kwani wangemuwekea kitu huyo jamaa akae ili amuhoji kirahis ingekuwaje
Angepose ata kwenye byke kimtindoInategemea surrounding environment kama kuna kiti!
Utapeli uko wapi hapa?View attachment 3586126
Weka comment nzuri inayoendana na Siasa itakayo maanisha hii picha. Mshindi namwekea bundle
Hii ndiyo comment yenyewe haichekeshi ila Ina ujumbe halisi Maana wazo la kubebana hapo bila njaa hulipatiNjaa ni uchochezi wa ubunifu
Wangemuwekea kiti akae,hata huu uzi usingeanzishwa,Ujinga mwingi
kwani wangemuwekea kiti huyo jamaa akae ili amuhoji kirahis ingekuwaje