nchi

  1. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Kulingana na Uislamu, nchi ya Waisraeli/Wayahudi ni ipi?

    Wakuu. Kulingana na Uislamu, yaani Quran na Hadithi-nchi/eneo la Waisraeli/Wayahudi ni ipi?
  2. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Israel ni nchi ya Wayahudi, soma Hesabu 34:1-15

    Katika Hesabu 34:1-15, Mungu anampa Musa maelekezo mahususi kuhusu mipaka ya Nchi ya Ahadi (Kanaani) ambayo Waisraeli walipaswa kuimiliki. Mipaka hiyo imegawanywa katika pande nne kuu: Kusini: Huanzia Bahari ya Chumvi, kupita jangwa la Zini hadi kijito cha Misri na kuishia Bahari ya Kati...
  3. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Jinsi wizi wa house boy ulivyoisababishia nchi hasara kubwa za kiuchumi

    Mnamo 1989, house boy wa ki-Thai aliyekuwa akifanya kazi katika jumba la kifalme la Saudi Arabia huko Riyadh aliiba mamia ya pauni za vito, ikiwa ni pamoja na almasi ya bluu ya karati 50. Alisafirisha nyara hizo hadi Thailand ndani ya vacuum cleaner kupitia kampuni ya usafirishaji ya DHL. Saudi...
  4. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Waisreal wanakimbia nchi yao kuukwepa moto wa Iran

  5. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Iran imesitisha mashambulizi kwa nchi za kiarabu kwa masharti. Mashambulizi kwa Israel na Marekani yataendelea kama kawaida

    Rais masudi pezeshkian wa Iran Leo ametangaza kusitisha mashambulizi kwa nchi jirani za kiarabu kwa masharti kwamba wasiruhusu anga wala ardhi zao kutumika kushambulia Iran. Lakini msemaji wa jeshi la Iran nae akasisitiza kuwa mashambulizi dhidi ya Israel na marekani yataendelea kama kawaida...
  6. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kuna mambo yanayoendelea duniani yanaweza kuwaathiri watu hata kama hayafanyiki kwenye nchi yao moja kwa moja.

    Sijiui wenzangu ila mimi na kuwa muhanga sana. Kipindi cha ugaidi kimetufanya wasafiri kunyimwa viza sana. Ilipokuja kuanguka kwa uchumi wa dunia sehemu niliyokuwa nafanya kazi ofisi walifunga. Ilipokuja ugonjwa wa COVID-19,biashara nyingi zilishindikana kutokana na mipaka. Ilipoingia vita...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Arusha: Rais Samia akishiriki Mkutano wa 25 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Machi 7, 2026

    Arusha: Rais Samia akishiriki Mkutano wa 25 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Machi 7, 2026 https://www.youtube.com/live/3RbAlFDqO8o?si=HGGpUx5hggEDEQa6 Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni, amechaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)...
  8. Chance ndoto

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania ndiyo nchi rahisi zaidi duniani kwa mgeni kuishi kienyeji bila vibali na asichukuliwe hatua yoyote?

    Nimefuatilia sana mienendo ya nchi yetu na nikagundua jambo la kusikitisha: Tanzania imekuwa kama 'shamba la bibi'. Yaani ni nchi pekee ambayo mgeni anaweza kuingia kama mtalii, akapanga nyumba, akafungua kijibiashara au kuanza kazi za 'consultancy', na akaishi miaka mitano bila kuguswa na...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mawaziri EAC Wakutana Kukamilisha Maandalizi ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi

    Mkutano Maalumu wa 59 wa Baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) umefanyika leo tarehe 5 Machi 2026 jijini Arusha, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya mwisho ya Mkutano wa 25 wa Wakuu wa Nchi wanachama wa Jumuiya hiyo utakaofanyika tarehe 7 Machi 2026. Mkutano huo ambao umepokea na...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Makatibu wakuu EAC wakutana kwa maandalizi ya Mkutano wa 25 wa Wakuu wa Nchi

    Makatibu Wakuu wa Nchi Wanachama za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wanaosimamia masuala ya mtangamano wamekutana katika Makao Makuu ya Jumuiya hiyo jijini Arusha, ikiwa ni muendelezo wa maandalizi ya Mkutano wa 25 Wakuu wa Nchi Wanachama wa EAC utakaofanyika tarehe 7 Machi 2026 jijini Arusha...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Makatibu wakuu EAC wakutana kwa maandalizi ya mkutano wa 25 wa wakuu wa nchi

    MAKATIBU WAKUU EAC WAKUTANA KWA MAANDALIZI YA MKUTANO WA 25 WA WAKUU WA NCHI Makatibu Wakuu wa Nchi Wanachama za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wanaosimamia masuala ya mtangamano wamekutana katika Makao Makuu ya Jumuiya hiyo jijini Arusha, ikiwa ni muendelezo wa maandalizi ya Mkutano wa 25...
  12. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Kuna nchi Afrika inazifikia Iran, North Korea kwenye maendeleo ya kiteknolojia?

    Kuna nchi Afrika inazifikia Iran na Korea Kaskazini nchi zilizoishi kwenye vikwazo vya kimataifa kwa muda katika maendeleo ya sayansi na teknolojia ?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Yani kiongozi wa nchi anaejitamba ana jeshi bora anauawa ndani ya sekunde 60, kuna jeshi kweli hapo ?

    Ni ngumu kuamini kiongozi anaejisifu ana jeshi bora kauawa ndani ya sekunde 60 katika mashambuliz ya ufunguzi.
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Maandalizi ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi za EAC yaanza jijini Arusha

    Mkutano Maalumu wa 59 wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) umeanza katika Makao Makuu ya Jumuiya jijini Arusha, ikiwa ni maandalizi ya Mkutano wa 25 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya hiyo unaotarajiwa kufanyika tarehe 7 Machi 2026 jijini Arusha. Mkutano huo Maalumu wa...
  15. Joshua Mbezi

    JamiiForums Tanzania Wachawi wa nchi hii naombeni msaada wenu

    Kila nikiwaza hatima yangu na ya taifa langu naona njia nyingi haziwezi kutuletea suruhu Mfano njia za Kisayansi/teknolojia Sisi kama taifa bado tupo nyuma sana hatuna mbinu Bora za kisayansi za kutuwezesha kutatua changamoto zinazotukabiri, Kisiasa/kidemokrasia Kwenye siasa naona...
  16. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Katika miaka michache iliyopita kumekuwa na matatizo ya kuporomoka kwa maadili katika nchi yetu

    Wakuu, Akizungumza leo Februari 28, 2025 Jaji Mstaafu na Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Warioba alisema katika miaka ya hivi karibuni kumekuwa na mmonyoko mkubwa wa maadili lakini Hayati Kardinali Pengo alikuwa ni mtu anayekumbusha umuhimu wa maadili
  17. O

    JamiiForums Tanzania Endapo Muungano utavunjika, mali za Wazanzibar wanazomiliki Tanganyika zitataifishwa au zitaendelea kuwa mali halali za nchi nyingine iitwayo Zanzibar

    Uhai wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar unakaribia kufika ukingoni. Kuna manung’uniko makubwa sasa kutoka pande zote mbili za Muungano; mwanzoni yalikuwa zaidi upande wa Zanzibar, lakini hivi karibuni Watanganyika wameanza kuona hasara za Muungano huu. Waliotufikisha katika hali hii si...
  18. kavulata

    JamiiForums Tanzania Demokrasia ni lango kuu la migogoro Afrika, hakuna nchi imenufaika

    Demokrasia na haki inaanzia majumbani kwenye ngazi ya famila, inalelewa mashuleni, inakomalia vyuoni na kuanza kutumika Ikulu, taasisi za serikali, mahakamani na bungeni. Juzi niligombana sana na mke wangu kwasabu alimpiga sana mtoto wetu wa miezi 8 eti kwa mujimu wa yeye alitenda kosa la...
  19. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Kidiplomasia imekaaje, eti unaenda nchi nyingine kuteka watu, hii ni kama STATE OF WAR....unatangaza vita

    Kuna mambo mengine ya kipumbavu sana. Nimekua nasoma habari za mmoja wa wanaharakati wa Tanzania kunusurika kutekwa huko nchini Nairobi, na mmoja wa watekaji amekimbia na wengine wamekamatwa. Nimekua najiuliza hii kidiplomasia imekaaje? Je sio ni kama kitendo Cha uvamizi kwenye nchi husika...
  20. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Kukamatwa kwa watekaji watanzania na meli ya madawa ya kulevya ni wazi Tanzania imeingia kwenye list ya nchi yenye wahalifu wa kimataifa

    Kukamatwa kwa watekaji watanzania na meli ya madawa ya kulevya ni wazi Tanzania imeingia kwenye list ya nchi yenye wahalifu wa kimataifa. Haya ndio malipo ya Serikali haramu mnategemea nini ? Watekaji hawa huko kenya wanakamtwa tu nje ya nchi na sio kwenye shamba la bibi huku hawakamatwi vipi...
Back
Top Bottom