Alubati
JF-Expert Member
- May 29, 2016
- 6,867
- 15,805
Tugawane nchi katikati mikoa 13 kila upande ili kila mtu aishi kwa amani anapopenda, CCM wabaki na kipande chao (pamoja na Zanzibar)waishi kwa hii katiba yao na mifumo yao ya maisha , majeshi yao na watu wao wanaoipenda, na sisi twende na kipande chetu cha mikoa 13 ,tukaunde majeshi yetu, katiba yetu , na vitu vyetu tunavyotaka.
Kuishi maisha kama ya sasa kwakweli tumechoka, kila mtu aende upande wake. Mbona sudani kuna kusini na kaskazini? Na sisi tugawane.
Kuishi maisha kama ya sasa kwakweli tumechoka, kila mtu aende upande wake. Mbona sudani kuna kusini na kaskazini? Na sisi tugawane.