nchi

  1. papag

    JamiiForums Tanzania Zote ni nje ya nchi

    Mmenipata?
  2. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Jambau wa Singida apewe tuzo ya heshima na NCHI kwa kuvumbua vipaji vya watoto na kuhakikisha wanakuwa wanariadha wakubwa duniani

    Kuna watu wachache sana duniani ambao pesa sio kipaumbele chao cha kwanza maishani. Yaani wanaweza fanya kitu bila kuzingatia maslahi yoyote ya kifedha. Mwalimu Jambau wa shule ya msingi Lighwa huko Singida ni miongoni mwao. Hauwezi kuzungumzia mafanikio ya wanariadha wakubwa toka mkoani Singida...
  3. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Tahadhari Juu ya Ahadi za Kazi Zenye Mishahara Minono Nje ya Nchi (Mtego wa Cambodia na Myanmar)

    1. Utangulizi i: Wimbi Jipya la Utumwa wa Kidijitali Ulaghai Mtandaoni: Matangazo ya kazi feki yameshamiri kwenye mitandao ya kijamii. Walengwa Wakuu: Vijana wasomi, wanaojua kompyuta, na wanaozungumza Kiingereza vizuri. Maeneo Hatari: Nchi za Kusini-Mashariki mwa Asia (Cambodia, Myanmar...
  4. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kuna tatizo gani TANESCO? Nchi nzima umeme umekatika

    Mbona hamtoi taarifa? Megawati 2000 na ushee za ziada Alafu mnakata umeme ?
  5. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Wakimbizi wa Ulaya kutoka Mashariki ya kati na nchi za kiislamu wana matatizo!!

    Angalia video hapo chini ndipo utajua Wafuga Midevu na Majini wana matatizo sana vichwani mwao!!
  6. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Kwa Hali hii, nchi itafakari kuhusu Maisha ya Raia Wake

    Juzi nilienda hospital moja ya serikali. Baada ya mlolongo mrefu wa huduma za hapa na pale, hatimae nikaelekezwa ilipo duka la dawa la hospital nkaenda kununua hapo. Nikiwa hapo katika foleni ya kununua dawa Kuna wagonjwa waliokuwa mbele yangu na wengine pembeni yangu ambao walishindwa kumudu...
  7. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Tanzania Nchi 10 Bora kwa Ukuaji Uchumi Duniani

    Tanzania imeendelea kujiweka katika ramani ya dunia baada ya kutajwa kuwa miongoni mwa nchi 10 zilizokuwa na ukuaji mkubwa zaidi wa uchumi duniani katika kipindi cha robo karne iliyopita. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, Tanzania imeorodheshwa pamoja na mataifa kama China, India, Vietnam, Ethiopia...
  8. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Rais Nyerere na Magufuli Walikataa, Rais Samia Usikubali Nchi Yoyote Kuingilia Sovereignty Yetu, Iwe ni US, UK or EU!, Kwani Marekani Ndio Nani, Nini?

    Wanabodi Leo naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo ni makala ya kuhimiza uzalendo kwa kutanguliza maslahi ya Taifa mbeli, kwa kumtia Moyo Rais Samia, na Watanzania, tusikubali vitisho vyoyote kutoka kwa nchi yoyote, kuingilia sovereignity yetu, na kutolea mfano Rais...
  9. passioner255

    JamiiForums Tanzania Tufanyaje ili tuitoe nchi kwenye hii laana ya damu?

    Kila mtu anajua nchi yetu imeingizwa kwenye laana ya damu Siku hizi mtu kutekwa na kuuawa imekuwa jambo la kawaida sio watu wa kawaida hata watu mashuhuri na wanasiasa. Viongozi wa dini wapo kimya ukiacha wakatoliki, wengi wanauunga mkono serikali iliyotufikisha hapa. Tukiacha hii laana...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Huku Hormuz, Kule Ebola, huku Vikwazo vya Marekani, CCM hawata tawala nchi

    Ni kosa kubwa kuua wananchi wako kisa madaraka, hawatalisaidia Jeshi na taasisi zingine wakati wa majanga... CCM walijijengea tabia mbaya kutosikiliza ushauri watu, sasa wajiandae kutengwa
  11. Insidious

    JamiiForums Tanzania Unahitaji siku ngapi kuomba kibali kabla ya kusafiri nje ya nchi kama Mtumishi?

    Habari wanaforum! Je inahitaji siku ngapi kabla ya safari yako kuomba kibali cha kusafiri nje ya nchi kama mtumishi kwenye mfumo wa e-vibali? Na documents gani zinahitajika?
  12. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Israel haijawahi kuvamia/Kuchokoza nchi yoyote duniani!!!

    Kumekuwa na dhana potofu zinazoenezwa na Wafuga Midevu na Majini wakiongozwa na Mzee wa UHARO Ritz na mjinga mwenzako zitto junior wakidai kuwa Israel ni wachokozi na wanavamia nchi zingine. Nami nimeamua leo kuwapa ukweli kuwa Israel haijawahi kuichokoza/kuishambulia nchi yoyote duniani...
  13. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Kikwete ana changamoto zake ila ndiyo Rais bora kuwahi kutokea nchi hii

    NI JAKAYA KIKWETE; Jana nilitoa picha ya Marais 6 wote waliowahi na wanaoendelea kuongoza Taifa letu nikichukua mitazamo yenu kuhusu nani kwano unampa namba 1-6 kwa utendaji. Kwangu mimi (wenyewe wanaita mimi kama mimi) kwanza nitatoa heshima kwa Marais hayati Nyerere na Mzee Ruksa kwa kuwapa...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Matusi Anayotukana Sugu na CHADEMA Majukwaani Yametosha Sasa. Msajili unasubiri Nini Kusitisha Mikutano Ya CHADEMA Nchi Nzima? Angalia Matusi Ya Leo

    Ndugu zangu Watanzania, Mpaka sasa ,mpaka muda huu mpaka wakati huu sielewi ni kwanini na kwa sababu ipi Msajili wa vyama vya siasa hajasitisha na kuilima barua CHADEMA ya Kusitisha mikutano yote ya hadhara Nchi nzima pamoja na ile ya Ndani . Kinachoendelea na kufanyika kwa sasa katika...
  15. Joshua Mbezi

    JamiiForums Tanzania CCM kwanini hamfanyi hii challenge kama kweli mna mapenzi ya dhati na Nchi Yetu?

    Siku hizi viongozi wa chama na serikali wamekuja na mtindo wa kuandaa mashindo na challenges mbalimbali za kimifumo, andiko nk Na lengo la mashindano hayo wao wanasema ni kulenga kutatua changamoto zinazolikabiri taifa letu mfano wa challenges zilizowahi kufanyika ni pamoja na...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Nchi za ulaya na kuukataa uislam

    Na baada ya Taifa la Poland kutangaza kupiga marufuku kujengwa kwa Misikiti "Mosques" ,Na kupinga kupiga adhana basi nchi nyingi za Ulaya zimeanza kufuata nyayo hizo. Na nchi kama Uingereza watu zaidi ya 100,000 waliandamana pale London, Ili kupinga uwepo wa imani hio kwenye Taifa hilo, hio...
  17. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya raia wa China yanaendelea kuharibu taswira ya nchi yetu

    Jeshi la polisi lifanye uchunguzi mapema ,tuwahakikishe usalama wawekezaji. Suala la mchina aliyeuawa mabibo Dar ni suala ambalo linaweza kuwapa hofu wawekezaji juu ya usalama wao nchini kwetu na kufanya tukose wawekezaji hasa wa nchi kubwa kama china. Lakini kampuni hizi zisimamiwe kampuni...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Nchi haina upungufu wa Umeme, Ina ziada—Changamoto ipo kwenye Uimarishaji wa Gridi

    "Sasa hivi nchi yetu haina upungufu wa umeme, ina ziada ya umeme. Na kama kuna eneo umeme bado unakatika-katika, tatizo sio upungufu. Sasa tatizo lililopo ni kwamba, gridi ile ilitengenezwa kwa ajili ya mtawanyo mdogo. Tulivyoongeza mtawanyo, tumeongeza na uzalishaji, lazima pawe na uimarishaji...
  19. Q

    JamiiForums Tanzania Madhara ya nchi itakapowekewa vikwazo na Marekani

    Nchi inapowekewa vikwazo na Marekani hukabiliwa na uhaba mkubwa wa fedha za kigeni, kuporomoka kwa sarafu yake, na uhaba wa bidhaa muhimu kama dawa na vyakula. Kisiasa, nchi hiyo hutengwa kimataifa, hupoteza ushawishi kwenye diplomasia, na huingia katika hatari ya machafuko ya ndani kutokana na...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Soko la Maua la Dounan ni pepo ya duniani inayovutia wageni kutoka nchi mbalimbali

    Soko la Maua la Dounan, lililoko Wilaya ya Chenggong, mji wa Kunming, Mkoa wa Yunnan, ni soko kubwa zaidi la biashara ya maua barani Asia. Soko hili lenye shughuli nyingi huvutia wageni kutoka nchi mbalimbali kutokana na aina zake nyingi na za kustaajabisha za maua. Wakati huohuo soko hili...
Back
Top Bottom