Je, Afrika yenye utajiri mwingi inakuwaje bara maskini zaidi duniani?

Dr am 4 real PhD

JF-Expert Member
Jun 30, 2016
6,512
12,016
images (83).jpeg

images (84).jpeg

Je, Afrika yenye utajiri mwingi, inakuwaje bara maskini zaidi duniani, anauliza Captain Ibrahim Traore Raisi wa mpito wa Burkina faso.

Captain Ibrahim Traore ni Raisi wa mpito wa Burkina Faso baada ya kufanya mapinduzi ya kijeshi akiwa na umri wa miaka 35 tu.

Rais huyu wa mpito wa Burkina Faso anawashutumu viongozi wa Afrika kwa kua 'Omba Omba'

All in all, Viongozi wengi wenye maono ya ki Africanism Huwa hawana maisha marefu.

Endeleeni pumzika Kwa amani Hayati John Pombe Magufuli na Thomas Sankara maana mitazamo yenu kuhusu Bara la afrika kujitosheleza Kwa chakula, mikataba ya kilaghai na kuacha kua omba omba misaada nje mlitufundisha Kwa vitendo.

Nini nini maoni yako.
 
View attachment 2708308
View attachment 2708309

Vipi pamoja na utajiri huo wewe binafsi umefanikiwa kuutumia kuufanya ukoo wenu kuwa tajiri?!
 
matumizi ya akili (maarifa ujuzi) yakiwa duni + ubinafsi kwenye nchi yoyote hata mkiwa na utajiri wa rasilimali gani mtakuwa maskini tu. Kwa hiyo Africa ni maskini kwa kuwa matumizi ya akili ni duni mnoooo na ubinafsi ni mkubwa mnoooo. Wewe ukiwa kiongozi leo lazima uibe na uajiri ndugu marafiki zako tenda uwape wa karibu yako yaan kila kizuri ni wa kwenye circle yako! automatically nchi haiwezi pata maendeleo maana hamna ushindani. Afrika ukiwa na akili lazima utumikie maono ya wanasiasa automatically akili hii haiwezi zalisha chochote cha maana ni hasara tu. Nchi kama japani hawana natural resources zozote za maana but wana akili zinazotumika ipasavyo leo ni nchi ya tatu kwa uchumi mkubwa duniani na infact imeporomoka juzjuz tu ilikuwa ya pili. Nchi kama malaysia, south korea ni akili tu zimetumika ipasavyo leo hii wapo mbali.
 
Soma mkataba wa Bandari.
 
Vipi pamoja na utajiri huo wewe binafsi umefanikiwa kuutumia kuufanya ukoo wenu kuwa tajiri?!
Tatizo linaanzia hapa, kila mwanaume ameambiwa atakula kwa jasho hivyo kila mwanaume ilipaswa kupambana kwaajili yake na watoto wake na baraka za Mungu zingezagaa kwa kila mwanaume wa Africa maana anatimiza wajibu wake huku akidai baraka hizo yeye kama yeye, mwanamke aliambiwa utazaa kwa uchungu ikiwa na maana watoto wa familia yake yeye na mumewe wanaoweza kuwatunza lakini mwanamke wa Africa anazaa kwaajili ya nchi yake yaani anazaa ili ajaze nchi yake yote na ikiwezekana na nchi za wengine watoto wake wajae huko, na serikali za Africa baada ya kuona uzaifu wa watu wao basi wamewaacha waishi kwa shidashida hivyohivyo bila kuwakalipia wakae sehemu zao na familia zao zipate Raha na siyo dhiki, ukiongoza watu wanaojipenda wenyewe na kujipa Raha huwezi kuwapa shidashida wakakuacha salama, na huwezi kwenda kuahidi ahadi za kitoto kwa watu wanaojielewa.
 
Umaskini au utajiri ni Perception tu

Hamna kitu kama utajiri na umaskini

Jamii zinatofautiana namna zinavyotafsiri umaskini au utajiri
Rhesus factor zaman kwenye jamii za watu masikini walikua wanasema ni UCHAWI
Kabla ya uvumbuzi wa ANT_D injection

Hapo ndipo utagundua tofaut ya umaskini na utajiri
 
Tatizo linaanzia hapa, kila mwanaume ameambiwa atakula kwa jasho hivyo kila mwanaume ilipaswa kupambana kwaajili yake na watoto wake na baraka za Mungu zingezagaa kwa kila mwanaume wa Africa maana anatimiza wajibu wake huku akidai baraka hizo yeye kama yeye, mwanamke aliambiwa utazaa kwa uchungu ikiwa na maana watoto wa familia yake yeye na mumewe wanaoweza kuwatunza lakini mwanamke wa Africa anazaa kwaajili ya nchi yake yaani anazaa ili ajaze nchi yake yote na ikiwezekana na nchi za wengine watoto wake wajae huko, na serikali za Africa baada ya kuona uzaifu wa watu wao basi wamewaacha waishi kwa shidashida hivyohivyo bila kuwakalipia wakae sehemu zao na familia zao zipate Raha na siyo dhiki, ukiongoza watu wanaojipenda wenyewe na kujipa Raha huwezi kuwapa shidashida wakakuacha salama, na huwezi kwenda kuahidi ahadi za kitoto kwa watu wanaojielewa.
Mkuu Asante sana Kwa kumpa ELIMU Huyu jamaa ulie m quote..
 
Wakati huohuo nayeye anakuwa ombaomba kwa Urusi. Unakimbia beberu moja na kwenda kwa lingine, utaendelea kupandwa tu.

Ben Mkapa alishasema, kama kuna mtu anadhani nchi inaweze kuendelea kwa misaada (iwe ya Marekani, China au Urusi) basi mtu huyo ni mpumbavu.
Yeye anayaita mashirikiano all in all Ili a survive kwenye mfumo wa kidunia Ina mbidi aache kwenda Ant_clokwise na mifumo ya kidunia....
 
matumizi ya akili (maarifa ujuzi) yakiwa duni + ubinafsi kwenye nchi yoyote hata mkiwa na utajiri wa rasilimali gani mtakuwa maskini tu. Kwa hiyo Africa ni maskini kwa kuwa matumizi ya akili ni duni mnoooo na ubinafsi ni mkubwa mnoooo. Wewe ukiwa kiongozi leo lazima uibe na uajiri ndugu marafiki zako tenda uwape wa karibu yako yaan kila kizuri ni wa kwenye circle yako! automatically nchi haiwezi pata maendeleo maana hamna ushindani. Afrika ukiwa na akili lazima utumikie maono ya wanasiasa automatically akili hii haiwezi zalisha chochote cha maana ni hasara tu. Nchi kama japani hawana natural resources zozote za maana but wana akili zinazotumika ipasavyo leo ni nchi ya tatu kwa uchumi mkubwa duniani na infact imeporomoka juzjuz tu ilikuwa ya pili. Nchi kama malaysia, south korea ni akili tu zimetumika ipasavyo leo hii wapo mbali.
Kujinasua kwenye hili haina budi kuwekeza kwenye ELIMU ELIMU ELIMU.........
Na ndio maana Ili kujinasua wasomi wetu wengi huamua kua ma puppets na ukisema ukwel mchungu unatafutiwa zengwe mpak utakata tamaa
 
View attachment 2708308
View attachment 2708309

Je, Afrika yenye utajiri mwingi, inakuwaje bara maskini zaidi duniani, anauliza Captain Ibrahim Traore Raisi wa mpito wa Burkina faso.

Captain Ibrahim Traore ni Raisi wa mpito wa Burkina Faso baada ya kufanya mapinduzi ya kijeshi akiwa na umri wa miaka 35 tu.

Rais huyu wa mpito wa Burkina Faso anawashutumu viongozi wa Afrika kwa kua 'Omba Omba'

All in all, Viongozi wengi wenye maono ya ki Africanism Huwa hawana maisha marefu.

Endeleeni pumzika Kwa amani Hayati John Pombe Magufuli na Thomas Sankara maana mitazamo yenu kuhusu Bara la afrika kujitosheleza Kwa chakula, mikataba ya kilaghai na kuacha kua omba omba misaada nje mlitufundisha Kwa vitendo.

Nini nini maoni yako.
Kusimulia hizo hadithi hakubadili umaskini Wala kuvaa vikombati na kujitutumua hakumuongezei akili
 
Back
Top Bottom