mwanyaluke
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 473
- 1,450
Nazungumza hili nikiwa na hasira kidogo, kwa wale tunaofanya biashara tuwe wakweli awamu hii tunaombwa rushwa kinguvu na mafisa wa serikali, jana nilikuwa napambania passport ofisi za uhamiaji, kilichonishangaza ni kijana mdogo tu ananiambia" bros ukitoa kama laki mmoja mimi nakupambania chap, ukifuata utaratibu bros itakuchuka muda" nimejiuliza sana huyu hanifahamu, ni mgeni pale uhamiaji lakini ana confidence, haoni noma yoyote.
Ni kweli kipindi cha Magufuli tulikuwa tunaombwa rushwa lakini sio kishamba hivi, sometimes unakwenda ofisini unawachimba mkwara tu na vitu vinaenda haraka hujatoa hata mia, saizi wanaitoa wapi hii confidence, nini kimefanyika hadi wasiwe wanaona aibu, nikiwaza mimi ni mwalimu sina mahali pa kuchukua rushwa, naumia nenda mipakani pitisha mizigo yako halafu huna mtu utaona moto.
Maafisa hawawazi kukusumbua na kukuomba rushwa, nini kimetokea serikalini hadi imekuwa hivi, ni magizo toka juu au loophole tu imekuwa hivi, serikali inachuka hatua gani au ndio kila mtu ajiapambanie, NB sina chuki na samia wala sikuwahi kumpenda magufuli ila nahisi kuna jambo lipo hovyo awamu hii.