Kwa hili jini ilikuwa halali Mayele akimbie nchi

Mjukuu wa kigogo

JF-Expert Member
Sep 19, 2023
201
439
Ukweli usemwe Fiston Kalala Mayele aliona mbali uwepo wa Huyu Mwamba ndio maana alikimbia. Kumbuka Jean Baleke alimshinda Mayele ufungaji Bora huko ligi kuu ya DRC misimu mitatu iliyopita!

FB_IMG_1695306875802.jpg

 
Ukweli usemwe Fiston kalala Mayele aliona mbali uwepo wa Huyu Mwamba ndio maana alikimbia.Kumbuka Jean Baleke alimshinda Mayele ufungaji Bora huko ligi kuu ya DRC misimu miwili iliyopita!

View attachment 2757234
Vijana wa Rage, huwa mnafurahisha sana.

Kwanza kumfananisha Mayele wa Young Africans, na sasa Pyramids ya Misri! dhidi ya mchezaji anayecheza kwa mkopo kwenye timu inayoendeshwa kienyeji kama simba, ni kumkosea adabu.
 
Vijana wa Rage, huwa mnafurahisha sana.

Kumfananisha Mayele wa Young Africans, na sasa Pyramids ya Misri! dhidi ya mchezaji anayecheza kwa mkopo kwenye timu inayoendeshwa kienyeji kama simba, ni kumkosea adabu.
Harafu ukiyaona magoli aliyofunga kwa mtu timamu huwezi kuja humu ukafungua Uzi wa kijinga kama huu

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom