nchi

  1. M

    Spika Tulia umewakosea sana wafanyakazi nchi hii, kuhusu Makato ya LAZIMA ya mishahara kwenda vyama vya wafanyakazi

    Ni aidha ni utamu wa Makato ya wafanyakazi, yamekolea na kupata walaji mpaka huko juu au Spika Tulia hajui chochote kuhusu sheria ya ajira na mahusiano kazini ya mwaka 2004. Ila inasikitisha Kwasababu Tulia ni mwanasheria na amewahi kuwa Naibu Mwanasheria Mkuu wa serikali. Hivi kweli, leo...
  2. P

    Wenye uzoefu wa kusafiri nje ya nchi kwa basi naombeni uzoefu

    Habari ndugu wana JF. Kama mada inavyosema. BInafsi nina mpango wa kufanya safari nje ya mipaka ya Tanzania 🇹🇿 kwa njia ya basi kwenda nchi za Sadc na Eac kwa dhumuni la kutalii(Kutembea). Tayari nina documents zote muhimu kama yellow fever, COVID-19 certificates na Passport. Naomba...
  3. B

    Crown Prince wa Iran - Nchi ya Iran kwa sasa ingekuwa Japan ya Mashariki ya Kati

    UTAWALA WA SASA IRAN UNAMULIKWA KWA KURUNZI KALI, NA SABABU ZA IRAN KUFADHILI VURUGU MASHARIKI YA KATI Interview na Crown Prince Reza Pahlavi mwana wa Shah wa mwisho wa Iran Shah Mohamed Reza Pahlavi https://m.youtube.com/watch?v=Gn_glW0wGQ8 Source : Valuetainment Crown Prince Reza Pahlavi...
  4. Unadhani huyu ni Mchezaji gani ambaye amecheza soka kwenye Nchi 7

    unadhani huyu ni Mchezaji gani ambaye amecheza soka katika Klabu 12 ndani ya Nchi 7 ikiwemo katika Bara la Ulaya na Asia?
  5. Mabango yote nchi nzima, sifa zote mitandaoni za Rais Samia, hata kwenye 10 bora kuwa na GDP kubwa hatumo?

    Business Insider Africa presents 10 African countries with the lowest GDP projection for 2023 as the year rounds off. This is according to the International Monetary Fund’s World Economic Output report for October. The IMF's basic case assumes that inflation keeps declining. GDP projections...
  6. Waziri Dkt. Ashatu Kijaji Awahimiza Wawekezaji wa Ndani na Nje ya Nchi Kutumia Fursa Zilizopo katika Mkoa wa Tanga ikiwemo Biashara, Kilimo, Viwanda

    Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.) alitoa rai kwa Watumishi wote wa Taasisi za Umma zinazohusika na utoaji wa leseni na vibali mbalimbali kwa Wafanyabiashara na Wawekezaji kutekeleza jukumu hilo kwa ufanisi bila kukwamisha biashara. Dkt. Kijaji ameyasema hayo Novemba...
  7. Namna Tanzania itakavyo nufaika kiuchumi katika mahusiano yake na nchi ya Romania

    TANZANIA imepokea Ugeni kutoka Nchi Ya Romania, yaani; State Visit... Tumetembelewa Na Rais wa Romania... Miongoni mwa maeneo Tunayo nufaika nayo Sisi Watanzania kwa Waromania, ni; Biashara Ya Maparachichi, Kilimo, Na Afya. Mikoa inayolima Maparachichi, Kama; Iringa, MBEYA Na Kilimanjaro, ina...
  8. B

    Matokeo ya viongozi dhaifu kuongoza nchi kubwa

    Wakati Babeli inaanza kuwa Taifa kubwa, haikuwa na raslimali nyingi kama vile madini, bandari, maziwa, eneo zuri la kijiografia, idadi kubwa ya watu, mbuga za wanyama, n k. Raslimali kubwa iliyokuwa nayo Babeli mpaka kufikia kilele cha mafanikio yake iikuwa ni uongozi imara na ubunifu wa raia...
  9. Hakuna nchi nzuri na rahisi kutafuta maisha na kupata hela kama Afrika Kusini

    Nawashangaa sana wabongo wanaoiponda South Africa. For your information hakuna nchi nzuri ya kutafuta maisha kama South Africa. Niambie kitu chochote unachokiogopa kuhusu South Africa nikupe solution. Mtaani kwetu kama hujawahi kukaa Sauzi hata kwa mwezi mmoja r.i hata mademu wanakuona fala...
  10. Nchi gani yenye uchawi mkali duniani?

    Kuna nchi ni mahiri duniani kwenye ulingo wa nguvu za giza. Licha ya kwamba Tanzania 🇹🇿 kuna maeneo na ngome konki kama Gamboshi, Pemba, Tanga, Sumbawanga, Nyamafuland nk lakini sisi si chochote wala lolote na uchawi wetu wa makaratasi. Huko kwingine kunatàjwa Haiti 🇭🇹, Santa Domingo, India...
  11. K

    Mikataba ya $300 ya kuwa Housegirl Uarabuni haina tija kwa nchi

    Serikali inatia aibu wakati mwingine. Imejikita kuwasaidia madada wa Tanzania kuwa housegirls huko Uarabuni badala ya kuwasaidia diaspora ambao wanafanya kazi za maana na wenye uwezo wa kusaidia nchi kama sheria zikiwekwa sawa. Hatutaweza kuendelea kwa $300 kwa mwezi! Na unyanyasaji na...
  12. R

    Msimu wa mafua: Waafrika tunalaumu wazungu kuchelewesha maendeleo, tunashindwaje kugundua dawa ya mafua baada ya miaka 60 ya uhuru wa nchi zetu?

    Msimu wa mafua: Mafua ni ugonjwa wa tropics in most cases. Tunawalaumu wazungu kwa kila underdevelopment tuliyo nayo. Sasa ni miaka zaidi ya 60 tangu nchi nyingi za kiafrika zipate uhuru wake. Tunashindwaje kugundua dawa ya mafua ambayo yanasumbua sana wananchi wetu? =========== A cold is a...
  13. B

    Kama unataka utajiri kwa nchi maskini, ingia kwenye siasa; Kama unataka kuwa mwanasiasa kwa nchi tajiri, kuwa tajiri kwanza

    Ukweli mchungu sana kwamba katika nchi za kishenzi ili uwe tajiri, basi uingie kwenye siasa. Lakini katika nchi zinazojielewa kama Marekani na nchi za Ulaya, ili uwe kiongozi wa kisiasa lazima uwe vizuri kiuchumi, yaani ni lazima uwe tajiri. Hii hali huwa na athari mbaya kwa nchi zetu kwa...
  14. Z

    Nchi za kiarabu mnatakiwa kuwashawishi HAMAS haraka kuwaachia mateka wa kiisrael na kukubali kushindwa

    Nchi za kiarabu na mnatakiwa kuwashawishi HAMAS haraka kuwaachia mateka wa kiisraeli ili kuokoa maisha ya wanachi,watumishi wa afya huko Gaza Kwa makosa ambayo HAMAS ilifanya kujenga mahandaki ya kujifichia na kupanga mashambulizi chini ya hospitali shule,kambi za wakimbizi , na israel kuapa...
  15. Nchi za kiarabu na viongozi wa kiislamu wakutana Saudi Arabia na kutoka na tamko moja la kuitaka Israel isitishe vita

    Pamoja na upungufu wa matamko hata hivyo wachambuzi wa masuala ya kisiasa wamesifu namna mkutano huo wa leo ulivyoonesha umoja dhidi ya Israel Katikati ya mkutano huo katibu mkuu wa umoja wa nchi za kiislamu amelaumiwa na wachambuzi hao kwa kutumia sana maneno yenye kuonesha kuna maatumaini kwa...
  16. Marekani inanufaikaje na misaada inayoipatia nchi maskini?

    Marekani ni nchi tajiri, hiyo inafahamika! Pamoja na hayo, bado kuna raia wake wasiokuwa na makazi wala chakula, ambao wanaishi kwa kuomba omba. Lakini ndiyo nchi inayoongoza dunianai kwa kutoa misaada. Nini sababu ya Marekani kuzisaidia nchi zingine wakati kuna raia wake wanaohitaji...
  17. S

    Makonda hatoboi. Kauli zake zinawaudhi "wenye nchi"

    Kama unadhani wananhi wote tuna hadhi na haki sawa unajidanganya. Nchi hii Ina wenyewe na kila anayetaka kuwa kiongozi ni lazima akubalike na hawa watu. Makonda katoa kauli zinazowakwaza na kuwachokonoa wenye nchi. Kauli kama "hata nishikiwe bastola sitamakana Magufuli", "kama umestaafu kaa...
  18. Hivi green guard ni jeshi usu? Kwanini mnapigia saluti Makonda na kuvunja sheria za nchi?

    Eti mnapiga saluti kama askari wa majeshi yetu. Acheni uduanzi wa kuvunja sheria za nchi. Kifungu cha 8E cha sheria ya vyama vya siasa inazuia kuunda vikundi kama green guard.
  19. Nchi kumi za kutembelea katika kipindi cha miaka mitano

    Umepanga kutembelea nchi ngapi katika kipindi cha miaka 5 ijayo? Binafsi, ninapenda sana kusafiri, lakini kwa sababu ya kiwango cha kipato, bado sijazimaliza hata nchi za Afrika Mashariki. Mpaka sasa, nchi nilizokwishatia miguu yangu ni Kenya, Uganda na Burundi. Ikimpendeza Mungu, mwishoni...
  20. Ari Shebet: Hakuna ladha ya kuishi katika Nchi hii ya Israel

    Ni mwandishi wa gazeti la Haaretz Allah ajaalie ushindi kwa Ndugu zetu wapalestina Moderator ,nawaombeni sana, msifute au kuhamisha nyuzi zangu, mmezidi sasa! Kila nikianzisha thread za maovu/uhalifu wa MAZAYUNI mnakimbilia kuuondoa au kuupeleka kwingine, leo nimeleta taarifa ya maovu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…