Nchi kumi za kutembelea katika kipindi cha miaka mitano

GoldDhahabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2023
4,695
6,398
Umepanga kutembelea nchi ngapi katika kipindi cha miaka 5 ijayo?

Binafsi, ninapenda sana kusafiri, lakini kwa sababu ya kiwango cha kipato, bado sijazimaliza hata nchi za Afrika Mashariki.

Mpaka sasa, nchi nilizokwishatia miguu yangu ni Kenya, Uganda na Burundi.

Ikimpendeza Mungu, mwishoni mwa mwaka huu nitaenda Rwanda na South Africa.

Kwa sababu safari ya South Africa itakuwa kwa basi, nitaweza kupitia nchi kadhaa, labda Zambia, Zimbabwe, n.k. Bado sijaamua route, lakini huenda nikaenda kwa basi nikarudi kwa ndege, au vinginevyo.

Kwa hiyo, nimeziengua Rwanda na S. A kwenye nchi za kuzitembelea katika miaka mitano ijayo. Ninahesabu nimeshazitembelea.

Hizi ndizo nchi nitakazozitembelea katika kipindi cha miaka mitano kuanzia 2024:
1. Misri

2. Nigeria

3. Dubai - ( UAE)

4. Israel

5. Ugiriki

6. Uturuki

7. China

8. Uingereza

9. Marekani

10. Canada.

Natamani kwamba ifikapo Disemba 2028, niwe nimeshazitembelea nchi zote hizo hapo juu, na zaidi, ikiwezekana.

Wewe umepanga kutembelea nchi zipi?
 
Tupe na bajeti yako na vyanzo vyako vya fedha,,isije ikawa unaota.
 
South Korea na China.
 
1E7152E1-6D89-4196-9331-EE300432C793.jpeg

nataka niende china
 
Basi sawa.....utalii nyumba ya keyboard.
 
Tupe na bajeti yako na vyanzo vyako vya fedha,,isije ikawa unaota.
Mkuu, bila kuota, siyo zile ndoto za kuota kutokana na shibe, namaanisha kuota kwa kukusudia, utakuwa sawa na marehemu.

Mimi ni mwajiriwa, mkulima na mfanyabiashara.

Kuhusu bajeti, malengo kwanza, halafu hayo malengo ndiyo yachochee kutafuta njia ya kuigharamia.

Sijui kama nimekujibu kwa usahihi mkuu🙏
 
Kabla ya kwenda nje ya Tanzania natamani nimalize kuizinguka Tanzania yote Kwa gari binafsi.
Napenda kusafiri safari ndefu kuliko kitu kingine chochote duniani huwa moyo wangu unapata Amani sana
Mkuu, wewe umeshafika mikoa mingapi?

Kwa Zanzibar niliishia Unguja. Pemba nitaenda wakati mwingine nipatapo fursa.

Kwa upande wa Tanganyika, nimebakiza mikoa miwili tu, Mtwara na Lindi. Nilikuwa na mpango wa kufika huko mwaka huu lakini nimeamua kuahirisha hadi mwakani. Muda kama hautaniruhusu.
 
Back
Top Bottom