nayo

Nayo is a village in Bhamo Township in Bhamo District in the Kachin State of north-eastern Burma.

View More On Wikipedia.org
  1. C

    JamiiForums Tanzania Wananchi wanalazimishwa kuipenda CCM, hivyo wanaipenda kwa hofu na unafiki. Haipo mioyoni mwao kabisa na kupingana nayo ni kutafuta mauti

    Ushahidi wa hili ni katika kupiga kura kwakuwa ni tendo la hiyari na halina kutafutana, hawapigi kura kabisaa na hawana fikra hizo za kupiga kura kwa hiyar yao wenyewe ndio maana Ikiwa hakuta kuwa na kura za kupika zitakazo wekwa na wasimamizi wa vituo kwenye masanduku ya kupigia kura kama...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa kuwa platform atayobakia nayo kuendeleza chuki kwenye jamii ni lile kanisa lake, mamlaka zimfungie huduma hiyo tuone jeuri anaitoa wapi

    Friends and Our Enemies, GWAJIMA,ni mtu mwenye akili fyatu,na ni mtu ambae kwa mustakabali wa maslahi yake atafanya chochote ili mradi afanikishe malengo yake. Tumeona hapo nyuma namna ambavyo amekuwa anaitumia platform ya kanisa lake kukashifu viongozi na kulumbana na watu wa aina mbali...
  3. JamiiForums Tanzania Usiku wa leo kuna members watakuwa bize kugombania kuanzisha uzi wa Berkane Vs Simba, hii nayo ni tatizo la afya ya akili

    Kuna members watakuwa wako bize kugombania kuanzisha uzi wa fainal kati ya Berkane vs Simba Hili nalo ni tatizo la afya ya akili, kwanini msisubirie lisaa limoja kabla ya mechi ndio mfungue uzi? Maana hata uchambuzi wa mechi mara nyingi huanza lisaa limoja kabla ya mechi. Fun enough...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Akili mnemba (Artificial Inteligence) Waafrika tumezaliwa nayo sema basi tu elimu yetu tulishindwa kuiweka kwenye mfumo

    Akili mnemba (AI) siyo kitu kigeni saana! Afrika kwa asili tumezaliwa nanuwezo mkubwa wa kuunda akili mnemba sema basi tu hajui kuendeleza au kuweka vitu vyetu katika mfumo. Maana rasmi ya akili mnemba ni akili bandia! Lakini ukiniuliza mimi fundi SAMICO nikueleze kwa kina hii akili bandia...
  5. JamiiForums Tanzania Kati ya maajabu niliyokutana nayo Duniani yapo sita ambayo mpaka Leo yanaishi kwenye fikra zangu

    Kati ya maajabu niliyokutana nayo Duniani yapo sita ambayo mpaka Leo yanaishi kwenye fikra zangu. 1.ilikuwa kati ya miaka 96 ad 98 wakati mdogo niliona nyoka ana vichwa viwili niliogopa sana..hii ilikuwa Moro vijijini. 2.miaka hiyo hiyo nikiwa kwa bibi maeneo ya kibungo juu kuna siku mvua...
  6. JamiiForums Tanzania Yafuatayo ni makundi ya watu (wengine siwezi kuwaita binadamu) ambayo sina huruma nayo kabisa

    Kuna mipaka ya ubinadamu ambayo baadhi ya watu huivuka kwa makusudi, wakiacha nyuma maumivu, mateso, na chuki inayowasha moto wa hasira moyoni mwangu. Kuna makundi fulani ya watu, hata wakilia mbele yangu, wakilia kwa machozi ya damu, bado sitaweza kusikitika. Na kama ningekuwa na lita 20 za...
  7. JamiiForums Tanzania Ni wazi kujiondoa kwa G55 kuna ajenda ya siri ya kutaka kuyumbusha chama lakini hii nayo inampigia promo Lissu duniani kote

    Kila mmoja anajua na hata ualaya wanajua Lissu amehamasisha uwepo wa uchaguzi huru na wa haki nchini, sasa anae waelewa hawa G55 aje anieleweshe wanapinga nini ? kwenye mabadiliko hayo na progamu hiyo ya chama. Ukiangalia vizuri hawa G55 wana ajenda ya siri nyuma ya pazia au wametumwa na mtu...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Law School matokeo yametoka, je wamefeli kama miaka yote? Mwenye nayo atuwekee hapa

    Yametoka usiku huu. Mwenye nayo atuwekee hapa tafadhali Mitihani ya Law Shool imekuwa changamoto kubwa sana kwa vijana wetu. Wanafeli kama vile hawajawahi soma sheria.
  9. JamiiForums Tanzania Hivi nguo ya ndani unaichukuliaje? Upo serious nayo au unavaa yoyote tu iliyo karibu?

    Unavyotoka lazma unakuwa makini sana na kivazi unachotupia juu. Ndio. lazma ujipitishie kioo kuhakiki kama kivazi kimekaa vema au kinahitaji marekebisho, lazma uhakiki kama dizaini ya nguo, rangi na kila kitu zinaenda sawa na wewe. Je kwa chupi unaipa umakini huohuo au unavaa tu unayoiona ipo...
  10. JamiiForums Tanzania Hukumu ya mahakama mtuhumiwa

    Mtu anaweza kufunga kula chakula kwa mwaka mmoja na akabaki hai na salama. Mr Angus Barbiel, mwanaume wa Scotland, alifunga kula chakula (akiwa nyumbani kwake) kwa siku 382 kuanzia tarehe 14 June 1965 hadi tarehe 30 June 1966. Katika muda huo alikuwa anatumia tu maji, chai, kahawa na vitamins...
  11. JamiiForums Tanzania Syria ikipenda wanaweza kuwafunza adabu Israel nayo ikaanza kuwaheshimu binadamu wenzao

    Inachofanya Israel kwa mataifa jirani ni utovu wa nidhamu mkubwa na kudharau utu wao.Mtua anayekudharau kupitiliza na kukuvunjia heshima lazima utafute mbinu naye umfedheheshe hadharani. Kuingilia mambo ya ndani ya Syria kiasi hiki ni jeuri kubwa ambayo inapasa kujibiwa kwa namna bora...
  12. JamiiForums Tanzania Azam Tv nayo imegeuka Tawi la CCM !

    Kama unafuatilia Azam Tv kwa sasa.. Zile habari Hasi za chadema mfano wale G55 ndio wanazitangaza kwa urefu sana. Lakini habari zenye Chanya kwa chadema huwa wanazitangaza kwa ufupi sana au kuzikata kata.. Tena zile habari muhimu za Chadema hawazipost kabisa . Mfano tukio la kukamatwa kwa Mh...
  13. JamiiForums Tanzania Fani gani ambayo unatamani ungekuwa nayo

    Tupeni michongo ya fani mbalimbali ambazo ulikuwa unatamani uzipate ila kwasasa imekuwa changamoto, Ili vijana tuishi nazo
  14. JamiiForums Tanzania Ni fani gani ukiwa nayo huwezi kulala njaa, popote duniani?

    Harakati za kuvuka boda zinaendelea Nikiwa kama up coming graduate, baada ya masomo siwezi kukaa bongo land Bora nikasafishe mitaro UK au Sweden huko kama vipi niwe mlinzi Dubai kuliko kuangaika bongo Kwa wale wataalamu na diasopora ni fani ipi nikiwa nayo nchi yoyote hata kama sijui Lugha...
  15. JamiiForums Tanzania Dr manyaunyau ameishiwa maajabu aliyokuwa nayo?

    Imenishangaza kuona ule ugomvi wa mganga maarufu wa miaka hiyo nani hakumfahamu Dr Manyaunyau? Akipigwa na mganga mwenzie mabanzi ya kutosha huku akitishiwa kubutuliwa na risasi pia wakiwa msibani kwa msanii Carina. Nimebaki najiuliza hivi yale mazingaombwe yake ya kuchezesha sijui jini nani...
  16. JamiiForums Tanzania Mipasho imeibuka nchini Marekani iwapo kilichotumika kuwapiga Houth ndicho chenyewe,kwani matokeo ni tofauti.Pentagon nayo imepiga kimya.

    Mabomu makubwa kuliko yote yanayomilikiwa na jeshi la Marekani kabla ya yale ya nyuklia ni aina ya GBU-57/B Massive Ordnance Penetrator (MOP). Baadhi ya maafisa wa jeshi la Marekani wamethibitisha kuwa mabomu hayo yameshatumika mara kadhaa dhidi ya Houth tangu mwaka jana baada ya kutumwa kwa...
  17. JamiiForums Tanzania He! Kumbe Quran nayo ilipangwa vitabu, Machapisho na Ayyah zake na binadamu kama ilivyo kwa Biblia

    Shalom, Salam alaikum. Baada ya kusoma Biblia kuanzia Genesis Hadi Revelation nikaamua kuanza kusoma pia Quran (Mwaka huu). Ila Huwa napenda kufahamu chanzo, uandishi Hadi uwasilishaji wa kitabu kabla ya kuanza kukisoma kitabu hicho (Napima uzito). Na Hiki ndicho nilichogundua kwa upande wa...
  18. JamiiForums Tanzania China yatangaza nyongeza ya asilimia 84% ya ushuru kwa bidhaa za Marekani

    Kazi bado inaendelea ni vuta nikuvute kati ya utawala wa Trump na nchi ya China katika vita vya ushuru. BREAKING: 🇨🇳🇺🇸 China announces additional 84% tariff on US goods. https://x.com/WatcherGuru/status/1909925306560885110?t=-ienhln5-MyLFFrJ4DBwBQ&s=19
  19. JamiiForums Tanzania Ndg zetu katika Imani hii kucheza namna hii nayo imeandikwa kwenye kitabu kitukufu Quran?

    Sina mengi video inajionyesha japo zipo nyingine sijapenda kuziweka hapa.
  20. JamiiForums Tanzania Kituko cha John Mrema: Adai Kuwa Kwenye Nakala ya Waraka Rasmi wa Chadema Aliyo Nayo Maneno "No Election" Hayamaanishi "Hakuna Uchaguzi"

    John Mrema Mkutano wa John Mrema wa Chadema na waandishi wa habari leo umefichua mengi kuhusu dhamira yake na wanaomtuma. Anasema kuwa wao hawapingi msimamo rasmi wa chama kwa kuwa kwenye waraka rasmi wa Chadema alio nao maneno NO ELECTION hayamaanishi HAKUNA UCHAGUZI. Anachomaanisha ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…