nayo

Nayo is a village in Bhamo Township in Bhamo District in the Kachin State of north-eastern Burma.

View More On Wikipedia.org
  1. H

    JamiiForums Tanzania Tume nayo inaogopa kumhoji Mafwele!?

    Hii tume nayo inamuogopa mafwele!? Huyu măfwele waandamanaji walimtaja kama sehemu ya hasira zao kwakua ametajwa kama mtekaji na mashaidi kama Sativa, wanaharakati wa kenya na uganda waliotekwa pia wamemtaja Lini tume itamuita!? Au kwenye script waliyo pewa hayumo
  2. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya misemo ya makapuku wenzangu

    "aah wapi, hayo mapiza na mabaga wanayokula na mimi ninae kula matembele vyote vitaishia kuwa mavi tumboni" "usione mtu amekuwa tajiri kiasi hicho wewe, watu wanalala na nyoka kitandani, wewe unaweza?" "usione dar hii watu wengi hali ngumu, lile sanamu la askari pale posta ndilo linalonyonya...
  3. Tundusami

    JamiiForums Tanzania Ni karaha gani au kero gani unakutana nayo wakati wa tendo la mapenzi?

    Tuambizane ni kero gani unakutana nayo wakati wa kufanya mapenzi? Mi kero nayokutana nayo ni kukuta mwanamke haoneshi ushirikiano hata ukitaka kumgeuza dog hataki kero ya pili mwanamke ambaye uke wake unatoa harufu mbaya na pia kinywa chake kichafu unashindwa hata kumla denda.
  4. Hharyson

    JamiiForums Tanzania Hii haikushindi kuanza nayo - Vyumba vitatu. Tunahusika na design hadi Ujenzi

    CHECK OUT THIS SIMPLE AND COMPACT SEBULE KUBWA NZURI ,DINNING ,OPEN KITCHEN ,1SELF BEDROOM,1SINGLE BEDROOM ,AND MASTER BEDROOM WITH CLOSET ,PUBLIC TOILET CALL US +255624004650
  5. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Abdul Malik acha dharau kiasi hicho kwa Watanzania. Egypt nayo ni Afrika na sisi siyo Hopeless

    Abdul Malik xxxxx tupo naye ubalozini akiwa ni Mwambata wa Balozi wa Egypt hapa nchi X. Tulikuwa na meeting na katika maongezi tukizungumzis mambo kadhaa wa kadhaa akaanzisha mazungumzo about siasa za Tz na last election. Bahati mbaya nilimwambia mimi ni mfanyabiashara from Tz sikumwambia hasa...
  6. haszu

    JamiiForums Tanzania Kuna mwanaume mida hii kalala na boxer aliyoshinda nayo mchana…

    Boxer umezunguuka nayo wee, usiku unaoga, unarudia boxer hiyo hiyo, mkiulizwa mnasema mwanaume unakuaje na boxer nyingi, je hicho sio kichaa? nyie ndio mnaumwa fungus kisha mkikutana na wadada mnawaambukiza. Mwanaume usafi, kua na boxer za kutosha and keep your closed parts clean and dry...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Yajue madola 5 yenye nguvu kama Marekani baadae yakaporomoka

    madola 5 ya kijeshi, yakiwa na maelezo ya mwaka yalipoanza kutawala kwa nguvu na mwaka yalipoporomoka: 1. Dola la Roma (Roman Empire) Mwanzo wa utawala wenye nguvu: 27 KK (chini ya Augustus Caesar) Kuporomoka: 476 BK (Dola la Roma ya Magharibi) Maelezo: Jeshi lake lilitawala Ulaya, Afrika...
  8. Fbn

    JamiiForums Tanzania Ina maana Wikipedia nayo imekaataa uchaguzi na hakuna Rais Tanzania

    Who are you sasa kazi unayo nendeni wikipedia mkaone wasifu wake hatambuliki kuwa ni raisi 2025. Na wameshamsagia kunguni ya wasifu wake kwenye wikipedia.
  9. H

    JamiiForums Tanzania Kero gani umewahi kukutana nayo katika ofisi za umma?🇹🇿

    Watanzania wengi wanategemea huduma mbalimbali kutoka kwenye ofisi za umma—iwe ni kupata vyeti, leseni, mikopo, huduma za afya, elimu, ajira n.k. Lakini bado yapo malalamiko mengi kuhusu namna huduma hizi zinavyotolewa. Tuchambue kwa pamoja: Je, kero zipi umewahi kukutana nazo katika ofisi ya...
  10. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mitandao ya YouTube, TikTok na Signal imeliwa kichwa kama X na Telegram. Facebook, Instagram na WhatsApp kufuatia?

    Wakuu, Mpaka sasa motandao ya Youtube, TikTok na Signal imeliwa kichwa, haipatikani mpaka utumie VPN, yote hii ikiwa ni kuzuia wananchi kupata taarifa wakati muhimu kabisa wa uchaguzi ambao wananchi wana haki na wanastahili kupata taarifa kujua kinachoendelea katika siku muhimu inayoenda...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Hivi TV nchi 32 kushuka chini nayo ni ya kununulia Tv guard

    Wakuu hii imekaaje unafikiri Tv nchi 32 kushuka chini inafaa kununuliwa Tv guard au nayo ni kama simu tu,
  12. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Changamoto gani ulikutana nayo baada ya kumpokea ndugu au rafiki kutoka mkoani

    Hi Wakazi wa dar ni changamoto Gani ulikutana nayo baada ya kumpokea rafiki, ndugu, jamaa na kukuomba umsindikize au umtembeze mjini Wa mkoani wengi wakifika dar wanataka kwenda kitambaa cheupe na kariakooo Tuje kwa hawa wanaomba kwenda kariakoo wana kuwaga wajuaji sana huyu aliomba...
  13. Ex Spy

    JamiiForums Tanzania Shtuka, WhatsApp inaweza kuwa 'Surveillance tool' unayotembea nayo

    Kuna mambo kadhaa katika activities za WhatsApp yanayoweza kufuatiliwa (tracked) hata kama kuna usimbaji fiche wa mwisho-hadi-mwisho (end-to-end encryption), hasa kupitia ukusanyaji wa data-mama (metadata) (kama vile ni nani uliyewasiliana naye, lini, na anwani yako ya IP), udhaifu wa kifaa...
  14. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Yanga nayo ni timu ya machawa

    Msigwa kaharibu shughuli yote raia wamechukia sana
  15. Desierto

    JamiiForums Tanzania Kuna tabia gani ulikuwa nayo ila umejikuta tu haufanyi tena

    Mm nilikuwa na uraibu wa karata na drafti ilikuwa haipiti siku sijafanya hii michezo ila kwa sasa hata nikikuta watu wanacheza sitamani tena kucheza kabisaa.
  16. C

    JamiiForums Tanzania Eti Kwamba TANZANIA nayo ina inteligence,kwamba tunavyombo vya ulinzi na usalama vyenye uzalendo kwa Taifa lao! Hebu acheni dhihaka.

    Uzalendo wa kweli si kupambana na wananchi na raia wanao toa maoni pinzani dhidi ya mwenendo usio ridhisha wa serikali yao waliyo ipa dhamana . Bali ni kupigania usalama wa taifa na rasilimali zake zote kwa maslahi ya taifa na na raia wake ndivyo ilivyo kwa mataifa mengi duniani yanayo piga...
  17. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sugu: No Reforms haikuanza na CHADEMA. No Reforms walianza nayo wananchi kwenye Chaguzi kadhaa zilizopita

    Wakuu, Akizungumza leo, Sugu amesema kuwa agenda ya No Reforms No Elections haikuanzishwa na CHADEMA bali wananchi kwenye Chaguzi kadhaa zilizopita. Sugu amesema kuwa kwenye Chaguzi zilizopita Wananchi walikataa tamaa kwenye Uchaguzi kwani walianza kukataa kujitokeza kupiga kura Msikilizeni hapa
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nikiwa kama 'Mtanzania Mganda' naomba Dua zenu leo Watanzania ili Uganda Cranes nayo ifuzu, kwani leo ina Mtihani mkubwa sana Mandela Stadium

    Yaani Timu zote Tatu zina nafasi ya kupita ila iIiyo tu Mtegoni hasa Kimahesabu ni Uganda (Uganda Cranes) mtuombee.
  19. Bams

    JamiiForums Tanzania Tulia Alikejeli Wanaotekwa na Kuuawa, Tuamini Kuwa Nayo Yalikuwa Ni Maelekezo Maekezo?

    Tumeambiwa kuwa marehemu Ndugai alizuia pesa ya matibabu kwa Lisu, na kisha kumsimamisha ubunge kwa madai kuwa ni mtoro, huku Dunia nzima ikijua kuwa Lisu yu mgonjwa, tena mgonjwa majeruhi, akipitia hali hatari ya maisha yake. Sababu ya kufanya hivyo, tumeambiwa kuwa Hayati Ndugai alielekezwa...
  20. Bibianna

    JamiiForums Tanzania Fatma Mwasa: Rais Samia ametoa TZS327bn kwaajili ya barabara za mkoa wa Kagera| Angalia hii orodha uone kama kuna barabara inakuhusu kwa safari zako

    https://www.youtube.com/live/sypEPTFaiCI?si=GsKjBWqJIDu50RpP Uboreshaji wa Miundombinu ya Barabara Mkoa wa Kagera Katika Kipindi cha Rais Samia Katika hotuba yake kwa wanahabari, Mkuu wa Mkoa wa Kagera Bi Fatma Maswa amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita, inayoongozwa na Rais Samia Suluhu...
Back
Top Bottom