nayo

Nayo is a village in Bhamo Township in Bhamo District in the Kachin State of north-eastern Burma.

View More On Wikipedia.org
  1. britanicca

    JamiiForums Tanzania Yawezekana CHADEMA hawajaelewa nguvu waliyo nayo! Waache kusikiliza kila mwanaharakati, Chama makini mambo yao uamriwa ndani wala si watu wa nje,

    Kuna haka ka Tabia ka kubeza nguvu na sacrifice za watu! Hasa jasho kwenye vyama! Naona CHADEMA mmeanza kujisahau kisa tu mtu mmoja ambaye anataka ambition zake zitimie Mimi ni CCM mfu niwe wazi, ila Ninapenda kuona CHADEMA ikiendelea kuimarika zaidi na zaidi kwa kuwa ndo chama mbadala, achana...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Wameigeuza 7/7 kutoka kuwa Siku ya Maonesho ya Biashara Mpaka Kuwa ya Maonesho ya Silaha. 8/8 Nayo Wataigeuza?

    Tanzagiza inabadilika kwa speed ya ajabu kupindukia! Watanzagiza walizoea kuiona siku ya 7/7 kuwa siku ya maonesho ya biashara, ghafla imebadilishwa na kuwa siku ya maonesho ya silaha, huku wahusika wakuu wakiwa ni wauaji wanaotumika kudhulumu haki za watanzagiza. Bila shaka wanaowatumia...
  3. Fbn

    JamiiForums Tanzania Waziri katambi ina maana mpaka waziri wako mkuu kutumia chama na swala la mwenge umesitisha si umejumuisha CCM nayo.

    Wana JF wenye kudadavua maana mambo ya serikali yanatumia CCM. Na yeye kauli zake kadai mpaka CCM.Kama tukiamua msumeno utumike kweli japo katiba sijui kama ni muelewa maana hata wajibu wa sheria na katiba za nchi sijui kama anaelewa. kuanzania sasa mwiguru na wengine wote CCM mshakatazwa kama...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ukiona unaihangaikia sana ujue siyo ya kwako mwenye nayo haiombi

    Shikamoo wakuu kama kichwa cha habari hapo juu. Ukiona mke wako anakunyima unyumba na hana time na wewe ujue hana hisia na wewe. Mwanamke anayekupenda lazima akumiss na hasiti kukuomba akiwa na ugwadu bila hata kutumia nguvu. Maana hisia za mwanamke zipo juu kuliko za wanaume.
  5. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Mama mwenyenyumba anataka niichape ili nimpe laki 1 ana shida nayo

    Ni mrembo, ni nurse by professional. Ameniambia nisimkopeshe anaogopa kuniahidi uongo ila yuko tayari kunipa niichape. My take: Naona kabisa amekwama kweli hivyo nimepanga kumpa hiyo hela ila nisimpige mkuyenge au ntakuwa nimezingua kimaadili? (Maadili ya kibaharia)
  6. Inside10

    JamiiForums Tanzania Wataalamu hii nayo ni kanzu ⁉️

    N.B Huyu ni nani huko dar?! Naona yupo main table na bosi kusaga
  7. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania PNA: Tuheshimu Mawazo ya Wengine Hata Kama Hukubaliani Nayo!, Simai ni Jasiri, Shujaa, Hoja ya Yuda ni ya Msingi, Asibezwe, Asikilizwe Afafanue!.

    Wanabodi, Angalizo la Nyuzi Ndefu JF ni user generated forum, ina members wa aina zote na kazi yake ni kuhabarishana, kuelimishana na kuburudishana, na kati ya members hao, kila mmoja anashughuli zake za kumuingizia kipato kuendesha maisha yake, hivyo wao wanaandika jf kama past time tuu, mimi...
  8. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Kesho nayo ni siku

    Leo imeisha hivyo, Katika mizunguuko yangu ya siku hatimae nimerejea nyumbani, nimerejea nikiwa na maumivu ndiyo! Ni maumivu ya uchovu wa kazi lakini pia ni maumivu ya kukosa bila kuambulia chochote yaani nimetoka patupu Basi najisemea siku hazifanani kesho nayo siku Ndio hivyo wakuu.
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mmasai anayeshutumiwa kumuua Mchina inavutia kimedani. Nipo interested nayo kuona kile jeshi letu litafanikiwa na kwa muda gani

    Habari za jumapili! 1. Wiki kadhaa zilizoisha taarifa za kuuawa mchina zilizagaa mitandaoni. 2. Mshukiwa wa mauaji hayo akiwa ni mtu mmoja ambaye jina lake halikutajwa isipokuwa kabila lake la maasai. Hii ni kusema taarifa inaripotiwa mchina auawa na mmasai. 3. Wamasai ni moja ya Makabila...
  10. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Baada ya Ukraine kuzishambulia vinu vya kuchakata mafuta leo hii Russia nayo ya shambulio makazi ya Raia

    Urusi pia ilirusha makombora mawili ya masafa ya kati ya Oreshnik yenye risasi za MIRV kuelekea eneo la Kiev, huku picha zikionyesha athari nyingi za kuingizwa tena karibu na Bila Tserkva kusini-magharibi mwa mji mkuu. Rais Volodymyr Zelenskyy na Ubalozi wa Marekani walikuwa wameonya saa chache...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Asante Mungu kwa hii Nyota Kali uliyonibariki nayo, japo nakiri inatusababishia tuchukiwe, turogwe na tuonewe wivu sana

    Yote yaliyosemwa hapa yamenitokea na yanaendelea pia kunitokea kila Siku kwani nina Shuhuda za kutosha. Asante sana Mwenyezi Mungu kwa hii Tunu yako kubwa ambayo uliichagua iwe ndani yangu Mimi GENTAMYCINE. Kwa wale ambao mnajijua mna hii Nyota kama yangu na ambayo imesemwa hapa kama ukitaka...
  12. ShesRise_1

    JamiiForums Tanzania Disappointment Pain Hits Different Unakabiliana nayo Vipi?

    Maumivu ni nini? Maumivu ni hisia ya uchungu au usumbufu ambayo mwili, moyo au akili huipata pale kuna tatizo, jeraha, ugonjwa au emotional stress Sometimes pain is physical and sometimes it’s deep inside the heart Kuna aina kuu mbili za maumivu Maumivu ya mwili Mf: Kuungua Kukatwa Kuumwa...
  13. Stability

    JamiiForums Tanzania Tila tila ndio mpango mzima kwa wadada sasa hivi, kila mmoja wao anapenda kuwa nayo

    Tila tila ni michirizi ya mahaba iliopo kwenye mapaja muda mwingine kusogea hadi kwenye makebo Acha ile ilio komaa na kutengengeza longitudes, no kuna hii ilo sexy sana hata watoto wa mjini wanaijua😁
  14. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hii ni aina gani ya bunduki alieonekana nayo mlinzi wa raisi mapema leo baada ya kashi kashi katika hafla ya chakula cha jioni?

  15. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wanawake wenye makebo makubwa wanazidi kuongozeka kwa kasi tanzania? Kuna wakati wanawake waliokuwa nayo kawaida au flat kabisa

    Najjiuliza ni genetics, diet,? Ama nini? Kwa maana wadada wenye mishepu inazidi kuwa kwa kasi kulko miaka ya 90, 2000 huko
  16. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Pasi hii umedumu nayo kwa muda gani?

    Kuna pasi alafu kuna hii pasi Ya kwako imedumu kwa muda gani?
  17. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Koko Beach nayo ishauzwa?

    Hizi kelele wanazopiga hawa vijana hapa ni sawa na kelele za chura ambazo haziwezi kumzuia tembo kunywa maji. In fact kwasaasa kinauzwa kila kitu Vikubwa vimeshauzwa vyote Vya kati vimeshauzwa vyote sasa ni zamu ya vidogo Wiki iliyopita tulishuhudia uuzwaji wa shule kule Kurasini DSM. Kabla...
  18. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania Watu wa Forex , hii pullbacks strategy inaonekana ina faida sana, kuna mwenye uzoefu nayo?

    Katika demo account, nimefanya trades 53 na kati ya hizo 40 zimeleta profit kwa kutumia hii pullback and breakout strategy. Sasa natafuta vitabu na articles mbalimbali ili nifanye specialization kwenye hii strategy naona ni rafiki sana. Kabla sijaiingiiza kwenye real money naombeni muongozo...
  19. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Ni tabia gani inakukera ukikutana nayo unapotumia usafiri wa basi?

    Katika harakati za masuala ya safari nimebahatika kupanda basi moja kutoka mkoa X, kero kubwa ni huu mrundikano wa abiria wanaolala kwenye korido kiasi cha tulioketi kukosa hata nafasi ya kunyoosha miguu. Vipi na wewe unakereka kama mimi? Au tabia ipi inayokukera wewe?
  20. Eratosthenes

    JamiiForums Tanzania NIDA NA MADENI YALIYOKUWA LINKED NAYO

    Naomba kujua namna naweza kutrack taasisi yoyote ya mikopo iliyo linked na namba ya nida!
Back
Top Bottom