Habari nilikua naomba msaada wakupata qaswida ya Al Madrasat Raufu Rahim inaitwa zawadi nimeangaika sana YouTube sijapata naomba mwenye nayo anitumie 0693620048 wsp
Wateule wa nafasi za Ukuu wa Wilaya ambao inasemekana wamekataa uteuzi huo watatakiwa kutoa maelezo ya kwa nini wameshindwa kuripoti katika vituo vyao vya kazi kwa ajili ya uapisho.
Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Jenista Mhagama amesema...
Hii sio siri. Ni suala ambalo lipo wazi kabisa. Kuwa Godbless Lema hukukimbia mateso ya kisiasa. Bali baada ya kukosa ubunge 2020 ulitafuta fursa.
Leo hii unarudi kupigia mahehasabu ubunge 2025.
Kumbuka kuwa 2010 sio sawa na 2025. Nina maanisha kuwa Chadema tulivyokubalika 2010 sio sawa na leo...
KIBONGOBONGO HAYA NI MAFANIKIO MAKUBWA KWAKO KIJANA UKIWA NAYO.
Anaandika, Robert Heriel
Siandiki kukusifia, au kukufanya uridhike. Najaribu kukueleza kuwa lazima ukubali kuwa umepambana na ufurahie matunda ya Kazi ya mikono yako. Usiposhukuru Kwa hayo uliyonayo hutokuja kushukuru Kwa Yale...
Mkataba wa Leo Messi wa PSG unamalizika 2023 na huko Saudi Arabia, wanamtaka akajaribu bahati yake huko mara moja. Hata kabla ya mkataba wake kuisha.
Kama Al Nassr alivyofanya na Cristiano Ronaldo, Al Hilal sasa wanataka kumpa Messi pesa nyingi. Kulingana na 'Mundo Deportivo', klabu hiyo itampa...
CAF CONFEDERATION CUP 2022/2023
Group D:
1: TP Mazembe (RDC)
2: US Monastri (TUN
3: Young Africans S.C. (TAN)
4: Real Bamako (MLI)
Sasa hapo timu inayojiita ya wananchi ishindwe yenyewe tu kuongoza kundi. Hakuna timu hapo, na hiyo TP Mazembe imebakiza jina tu, imezembea sana!! Timu kali za...
1. Epuka na ujitoe kabisa kutoka katika Kundi la watu wenye mitazamo hafifu juu ya maisha yao.
2. Acha kuwa king'ang'anizi kwa wale waliokutenga katika maisha yako.
3. Kuwa mtu wa haki na upendo hata kwa watu usiowajua.
4. Kuwa mtu wa heshima na upendo kwa kila mtu.
5. Kubali kuishi na watu...
HII NDIO MAANA HALISI YA MWANAUME NI KICHWA CHA FAMILIA
Anaandika, Robert Heriel
Ukiwa kama kijana unayetarajia kuwa Baba, au ambaye tayari ni Baba na upo kwenye Familia yako. Shika Kwanza hizi nyundo;
i. Kuna mambo unapaswa kuwa nayo lakini Mkeo asijue unayo.
ii. Kuna mambo unapaswa kuwa...
Baada ya Kukamatwa Jana huko Mbagala alikojificha kwa Kosa la Kujeruhi kwa Ukatili kwa Kumkata Mgoni wake Sikio na Kidole cha Kati hii ndiyo Tuhuma inayomkabili Mfanyabiashara wa Mihogo Soko la Kawe Bwana Cherehani.
KOSA lake / TUHUMA yake ni
KUTAKA KUUA KWA KUKUSUDIA.
Na tayari ORDER...
Bado tunaweza kuwa na Sherehe za Siku ya Uhuru kwa bajeti yoyote ile iliyopangwa na mambo mengine yakaendelea kama yalivyopangwa.
Ni dharau kwa Watanzania wazalendo kama akina Cognizant (alias), Adorable, Angel kufuta sherehe za uhuru na kusema pesa zielekezwe katika matumizi ya jambo lingine...
Back in 2013 namkumbuka sana huyu dogo cheche zake kuanzia Dear Gamble, Mrs Superstar n.k, nilikuwa fan wake mkubwa, ukichanganya kule kuchana kwake kuchanganya swaggs kama young daddy.
Nimemiss zile flavour real kutoka kwa huyu dogo, nashindwa kuelewa tatizo liko wapi? Ameshindwa kabisa...
Nimewahi andika kuhusu hili, nimeona niliandike tena na kulimalizia.
Frustration ni hali impatayo mtu baada ya kushindwa kufikia malengo yake
Kwenye uzi huu tutaona jinsi watu mbalimbali wanavyo react dhidi ya kushindwa kufikia malengo.
1. Rationalization(Sizitaki mbichi hizi)
Moja ya tokeo...
Leo (13/11/2022) imetimia miezi miwili (siku 62) tangu yule mshambuliaji 'machachari' Fiston Mayele afunge goli katika NBC PL. Ikumbukwe Mayele ndiyo mchezaji pekee ambaye 'tunaimani' anaenda kutuvusha group stage ya CAFCC mbele ya Pyramid na TP Mazembe.
Wanayanga kipindi 'tunaendelea' kuhesabu...
Madude yanaendelea kumjongea Putin, alilianzisha wenzake wanamalizia, wamehakikisha amedhoofishwa na kataifa kadogo Ukraine, sasa hivi kiuchumi anaendelea kuangukia pua, halafu Warusi wenyewe wamemchoka na mavita yake yanayoendelea kuua watoto wao na kurudisha nchi nyuma, anafukuzia vijana...
Habari wana jukwaa hili. Naomba kujua ni mambo gani ambayo unapaswa kuyaeka sawa kwa wakati wa mwanzo kabisa wa kuanzisha biashara(Yenye mfumo wa kampuni), ili iweze kuleata tija, faida na uendelevu kwa miaka ijayo mbele. Hili nikimaanisha namna ya kuandaa hesabu zako kwa ajili ya kodi...
Watu wengi wanajua neno mipaka linamaanisha nini, lakini hawajui ni nini.
Mipaka ni njia ya kujitunza mwenyewe. Unapoelewa jinsi ya kuweka na kudumisha mipaka ifaayo, unaweza kuepuka hisia za kinyongo, kukatishwa tamaa, na hasira ambazo hujengeka wakati mipaka imeondolewa.
Hizi ni aina 5 za...
Yaani unakuta mtu anakaribia kufa unamuuliza "sasa mzee unatuachaje?" Anasema "muishi kwa amani na upendo"
Khaaaa... Amani na upendo hakuna mshiko? Mzee anakufa anawaachia Kauli tu. Maana ndiyo aliyo nayo hana mali.... Anaacha kauli na madeni.unakufa bado unawaachia shida. Si bora ungeishi...
Maisha magumu hayanaga hodi, ni vema mtu uwe walau una maandalizi yake maana lolote laweza tokea.
Kuna malezi haya ya dezo huwa naona ni hatari kwa watoto, ikitokea mara paap mzazi kafukuzwa kazi, biashara imeyumba, katoweka, n.k na hana ndugu wa kuendelea kumlea mtoto wake maisha ya dezo, basi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.