Hatimaye kipindi cha theluji kimeisha Ukraine, ndio kete aliyokuwa amebaki nayo Mrusi

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,690
48,492
Urusi ilitegemea kutumia musimu wa baridi kali yenye theluji ili ijaribu kuiparamia Ukraine, ikapiga miundo mbinu ya umeme kwa kutumia mizinga ya kila aina, ila Ukraine wamekomaa mpaka musimu umeisha huku Mrusi akiwa ameganda anapambania kamji ka chumvi huko mbali Bakhmut.
===

Kyiv said that the country had "survived" a months-long onslaught of Russian strikes on critical infrastructure throughout winter, as Ukraine marked the first day of spring on Wednesday.

Since October Russia has been pummelling key energy facilities in Ukraine with missiles and drones, disrupting water, heating and electricity supplies to millions of people.

"On March 1, 2023, (Russian President Vladimir) Putin suffered his fifth major defeat since his full-scale invasion -- Ukraine defeated his winter terror," Foreign Minister Dmytro Kuleba said in a statement.

"We survived the most difficult winter in our history. It was cold and dark, but we were unbreakable."

Kuleba said Moscow's other defeats included Russia's failure to instil fear among Ukrainians, its failure to capture the capital Kyiv, multiple rounds of sanctions the West piled on the Kremlin and Ukrainian battlefield advances.
 
Ukraine na NATO sasahivi wanapigana vita vya msituni (goliler war) dihidi ya urusi.. ofisi na miundombinu yote ya kijeshi imesambaratishwa kabisa...
 
Mrusi huwa hasikii baridi, mrusi silaha zake zibaelea hazipiti kwenye baragu. Hii inaitwa mental disorder
 
Zaidi ya hapo, kumbuka juzi drone za ukraine zimetua Moscow mpaka putin jana ilibidi aitishe mkutano na security yeye akiwa chairman
Sawa,siku Ukraine wakiikomboa Bakhmut uje unipe mrejesho!
Hizo drones hazikufanikiwa kwani zilipigwa na hazikuwa na madhara!

Security council aliyoitisha Putin ni Kwa ajili ya Terrorist act iliyofanywa na Ukrainians walioingia Russia pembezoni na kuattack civilians!

Na Putin hilo ameliongelea na amesema watashughulikiwa ipasavyo!
 
Back
Top Bottom