naweza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ni hatua gani kisheria naweza chukua dhidi ya uonevu wa kampuni ya EROLINK ?

    Habari wana Jamii Forums, samahanini kwa wale wenye ujuzi wa kisheria, naomba msaada juu ya ni hatua gani za kisheria naweza kuchukua kwa kampuni inayoitwa EROLINK. Kampuni imekua inaleta usumbufu sana kwa wafanyakazi wake, hasa pale mikataba yao ya kazi inapoisha, na uwa haiwasilishi...
  2. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Mapenzi kitu kingine, sikutegemea kama naweza kuja kuwa desa boy kwa sababu ya mapenzi

    Mrembo wangu anataka nimtafutie course outlines za course zote za LLB undergraduate. Nimejaribu but in vain.. Jamani Kama kuna mwanafunzi wa llb hapa na una course outline ya course yoyote please kindly share it with me nimpe shemeji yenu.. N.b : She graduated at UDSM more than ten yrs ago na...
  3. KENZY

    JamiiForums Tanzania Njia zipi naweza kutumia ili simu yangu isiweze kudukuliwa?

    Hello waungwana kama kichwa cha uzi kisemavyo msaada tafadhari ningependa kujua ni njia zipi naweza kuzitumia ili niweze kujilinda na udukuzi. Iwe kwa njia iliyobora zaidi,iwe online au offline na ni niia zipi naweza gundua kuwa nadukuliwa..? Ni hivyo tu..
  4. The Eric

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza pata boy friend jeans za mtumba

    Wakuu samahani sana kwema! Wapi naweza pata zile boyfriend jeans za mtumba za kina dada. Wandugu napata wapi kiwepesi ziwe za kupoint kwa wenye mabalo msaada wenu tafadhali nina uhitaji nazo. Mwenye taarifa anijuze. cc Tanayzer
  5. T

    JamiiForums Tanzania Wapi hapa Dar naweza kupata motor/mashine bora zaidi za kusaga nafaka?

    Habari zas sasa, Naomba kujua kutoka kwa wabobezi humu, wapi hapa Dar naweza kupata motor/mashine nzuri kwa ajili ya kusaga na kukoboa nafaka? Aina ipi ya ya motor, na vifaa vingine associated ni bora zaidi? Bei ni kiasi gani, na duka gani ambalo halina vifaa fake na la kuaminika naweza...
  6. Breaking bad

    JamiiForums Tanzania Ufaulu wa Div 2.11 PCM kwa DDC, naweza kupata chuo cha serikali kwa engineering?

    Msaada wakuu, Naweza pata MUST, UDOM, n.k Kwa civil au electrical engineer kwa ufaulu huo? Je, naweza soma kozi ipi nzuri nyingine?
  7. A

    JamiiForums Tanzania Niliacha chuo mwaka wa tatu, je naweza kupata hata cheti?

    Niliacha chuo kikuu mwaka wa tatu kozi yenye miaka minne.Je kuna uwezekano nikapata hata cheti kwa miaka hiyo mitatu?
  8. EINSTEIN112

    JamiiForums Tanzania Hivi Laptop ambayo haina KEYBOARD LIGHT naweza kuwekewa

    Heading imemaliza swali langu. Ni laptop aina ya HP Envy x360 15-aq005na
  9. A

    JamiiForums Tanzania Ni course gani naweza kusomaa kwa matokeo haya?

    Nimemaliza mwaka huu 2021 PCM division 2.12 na matokeo yafutayo: Physics D Chemistry S Advance mathematics B Naombeni ushauri ni course gani itafaa kwa ufaulu huo.
  10. A

    JamiiForums Tanzania Kwa matokeo haya naweza kusoma Medicine?

    Kwa matokeo haya je naweza kupata medicine hata vyuo vya private ukizingatia pia competition Physics D Chemistry C Biology D Bam C
  11. Zakamwamoba

    JamiiForums Tanzania Kiwanja cha meter 11x15 naweza jenga vyumba 3 na sehemu ya Parking?

    Wakuu Kama kichwa kilivotanabaisha hapo juu,Kuna mahali nina kaplot ka ukubwa wa Meter 11x15 nataka nianze kukafanyia kazi.je naweza fyatua kanyumba ka chumba tatu na eneo la parking likabaki?
  12. Lager

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza pata mkopo?

    Wapi naweza pata mkopo wa laki mbili na nusu itakuwa vizuri zaidi kama kuna site za online zinaweza toa mkopo maana sitarajii kukaa na mkopo huo kwa muda mrefu ni kitu fulani tu nakikamilisha ndani ya wiki then pesa husika inarudi. Msaada tafadhari.
  13. Jemimah cindy

    JamiiForums Tanzania Helo am new here,

    Helo am new here, naomba muongozo wa jins gani naweza kupost bidhaa zangu za sofa cover kwa kitengo cha biashara, asanteni
  14. B

    JamiiForums Tanzania Bugarika, Mwanza: Maji bado changamoto kwa miaka 60 ya CCM madarakani

    Ni kilomita 3 tu kutoka Ziwa Victoria mpaka Bugarika jirani na Bugando Hospital. maji bado ni changamoto kwa miaka 60 ya CCM madarakani poleni kwa ndugu zangu wa Mahina kilomita 7 mnaochota majitiririka kwenye mitaro. Lengo langu ni kumkumbusha Rais Samia kwamba hata Marais walopita wote...
  15. KIBEBENYEKE

    JamiiForums Tanzania Je, naweza kuomba chuo tena baada ya kumaliza mosomo kama mwaka wa kwanza?

    Naumba ushauri ndugu zangu mm nasoma chuo kikuu ila nipo mwaka wa mwisho na semester ya mwisho je naweza kuomba tena chuo kwa kozi nyengine kama mwaka wa kwanza na baada ya kumaliza semester hii kukubaliwa kuendelea na kozi nyingeni kwa mwaka huu mpya wa masomo uko Bado sijagraduenti.
  16. music mimi

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza pata Fonts za bure kwa ajili ya illustrator?

    Natafuta mtandao naoweza download font za bure. Nahitaji sana font ya eurostile extended, gill sans std na chica gogo nf bold.
  17. EvilSpirit

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata simu hii (Nokia 1680c)?

    Kama heading inavyojitanabaisha ninatafuta simu hii inayoitwa Nokia 1680c ambayo ilitoka mwaka 2008.Niliwahi kutumia simu hii kuanzia 2009 mpaka 2013. Ilikuwa ni simu nzuri kimuonekano, kitendaji na kiumadhubuti. Badala ya kuwa na simu ndogo zisizoeleweka kama tecno au itel nimeona ni bora...
  18. Mumlii

    JamiiForums Tanzania Hivi naweza kuanzisha biashara ya kutoa huduma ya usafi bila mtaji?

    Naipenda kutoa huduma ya usafi wa majumbani, ofisni. Je, naweza kuanzaje ili nifike malengo? Kwa anayejua naomba mawazo maoni, mitazamo? Kwenye hii biashara ya usafi.
  19. Mtepa wa Mtepaza

    JamiiForums Tanzania Nina elimu ya Kidato cha nne naweza kupata scholarship nchini Canada?

    Habari zenu wadau wa jamii forum, samahani, kiu yangu ni kufanya kazi nje hasa nchi ya Kanada na elimu yangu ni kidato cha nne kwa ufaulu wa division 3 nimemaliza mwaka 2015 masomo ya sanaa,kulingana na tafiti yangu ndogo nimeona wengi hupitia kwa njia ya masomo ili kufika huko Je, kulingana na...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Nahitaji ushauri maeneo yapi mkoa wa Dar es Salaam naweza pata chumba kizuri masters kwa bei poa?

    Naombeni mnisaidie ni maeneo yepi ktk mkoa wa Dar naweza pata chumba kizuri cha masters kwa bei nzuri ya kizalendo or n maeneo yepi dsm unaweza mshauri mtu akapange chumba na kuanza maisha.
Back
Top Bottom