naweza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. magasi jnr

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua wapi naweza kununua LACTIC ACID NA CITRIC ACID

    Habarini wakuu, naomba msaada ni maduka yapi au maduka ya aina gani ninaweza kununua LACTIC na CITRIC ACID?
  2. Powder

    JamiiForums Tanzania Nielekeze wapi naweza ku download hii series ya Kikorea....!?

    Natafuta Korean series inayoitwa Arthdal Chronicles....! Nimehadithiwa habari yake kwa Uchache, kuhusu Igutu wenye Damu yenye rangi ya Zambarau...!!! Wapi naweza ku download hii series..!??
  3. mimi mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Nina idea ya Educational technology product... Wapi naweza pata msaada wa fund au partnership?

    Nina Idea ya product ya Educational technology. Ila ipo kwenye mahandishi mpaka sasa. Ni wapi naweza pata mfadhili au mtu wa kufanya nae partnership? Naombeni msaada wa mawazo.
  4. Akotia

    JamiiForums Tanzania Kuhusu wapi naweza kupima kipimo cha PCR jijini Dar?

    Ningependa kujua wapi naweza pata kupima pcr?majibu yanatoka kwa mda gani nikipima?na mwisho nataka kujua gharama zake?Nahitajika kujua kwa haraka ili niweze kusafiri kwenda Rwanda alhamisi. asanteni sana
  5. Zanaco

    JamiiForums Tanzania Biashara gani naweza kufanya nikaingiza pesa nyingi kwa siku bila mtaji?

    Habari wadau, Biashara gani naweza kufanya bila mtaji nikapata pesa nyingi, mwenye kujua nisaidie mawazo.
  6. At Calvary

    JamiiForums Tanzania Msaada je naweza kupata PC desktop kwa bajeti isiozidi 250k. Iwe core i

    Wakuu kwema. Kama mada inavyoeleza hapo juu. Ikiwa kuanzia generation ya 4 itakuwa better. Naombeni mwongozo.
  7. Mario Kempes

    JamiiForums Tanzania Je naweza kutumia king'amuzi cha Dstv cha South Africa hapa Tanzania?

    Naombeni wenye kujua mje mnijuze na je malipo ntalipaje nikiwa hapa nyumbani maana nimegundua king'amuzi cha Dstv cha South Africa ni gharama nafuu kulinganisha na hapa kwetu
  8. Mlolongo

    JamiiForums Tanzania Nina milioni tano, naweza pata kiwanja upande huu wa Dar es Salaam?

    Mfukoni (actually ni kwenye account ya TigoPesa) nina milioni tano taslimu. Natafuta kiwanja upande wa kuanzia Ubungo kwenda Goba, Salasala, Tegeta, Madale, hadi Bunju. Lakin pia Ubungo kwenda Kimara pande zote, Mbezi huko msakuzi, hadi Kibamba, Kiluvya. Kifupi tu nalenga maeneo ambayo ni...
  9. RRONDO

    JamiiForums Tanzania Naweza kujenga nguzo za kibaraza kwa matofali ya kulaza?

    Kwenu wataalam wa ujenzi. Naweza kujenga nguzo za kibaraza kwa matofali ya kulaza, yaani niachana na nguzo za nondo/zege? Juu nitaweka mkanda kama kawaida. Kiutaalamu ina madhara yoyote?
  10. P

    JamiiForums Tanzania Msaada: .Ni wapi naweza pata diagnosis ya anxiety disorder na gharama zake ziko vipi.

    Salaam wataalamu wa afya. Kama kichwa kinavyoelekeza naitaji msaada kuhusiana na anxiety disorder. Kwamba niwapi nawezafanyiwa diagnosis na gharama zake.
  11. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Dkt. Joseph Kasheku Msukuma: Sasa nina hadhi kubwa duniani kisiasa. Naweza kuitwa nchi yoyote kuwa msuluhishi wa kisiasa

    "PhD ya Siasa na Uongozi ni Shahada kubwa sana kimataifa, kwa kuwa Taifa lolote linaongozwa na siasa pamoja na uongozi. Mimi kwa sasa naweza kuitwa Marekani, Liberia, India kama kuna mgogoro na kwenda kusuluhisha, hizi PhD ni chache sana duniani" Dkt.Joseph Msukuma
  12. A

    JamiiForums Tanzania Msaada; Naweza vipi Kupata API ya benki ya NMB.

    Wakuu nina ofisi inayonajishughurisha na software development, Juzi nimepata mteja ambaye anataka "School Management System" lakin anataka malipo yakifanyika kwenye account ya shule yaonekane kwenye system. Na hili ili liwezekane nilazma nipate API ya bank ya account husika. Kama kuna mtu...
  13. Saa 7 mchana

    JamiiForums Tanzania Patents right ambazo zimeshatolewa au bado zipo hai Tanzania

    Wakuu habari zenu, Nauliza kua ni wapi naweza pata orodha ya patents rights ambazo zimeshatolewa bongo mpaka siku ya leo. Nawasilisha
  14. Travis 1

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata Baseball bat ndani ya Kenya au Tanzania?

    Nina shida ya hizi Baseball bat, kwa anaefahamu sehemu naweza pata l.
  15. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naweza kulipia leseni ya Udereva TRA kwa njia ya simu?

    Habari! Nimepoteza leseni ya udereva, nimekamilisha taratibu zote za kupata mpya (renew). Wamenipa kile kikaratasi chenye maelezo mafupi na tin number. Ni lazima kulipia palepale wanapokuambia ukalipie au naweza kulipia kwa njia ya mitandao ya simu? Thanks
  16. Kijana Wa Dar

    JamiiForums Tanzania Maeneo gani hapa Dar naweza pata mwanamke wa kizungu?

    Je nikijichanganya mitaa ipi hapa nitakuwa na nafasi kubwa kukutana na wazungu wengi na hatimaye nikaopoa mchumba ? Nahitaji kuanza kucheza mechi za kimataifa ili niwe balozi Msaada please
  17. E

    JamiiForums Tanzania Nina 5,000,000 tu. Naweza kununua gari ipi ikiwa na hali nzuri?

    Waungwana nimechoka kutembea kwa mguu, nina ka milioni 5 nilitaka nitafute ka miguu minne nipumzike shida kutembea, ila sina uzoefu na mambo ya magari ni aina zipi za magari naweza kununua ikiwa na hali nzuri kwa hiyo bei?
  18. Super Charged

    JamiiForums Tanzania Ni wapi naweza kupata Kiwanja cha chini ya milioni 4 kwa Dar es Salaam?

    Habari Wana JF, Natafuta Kiwanja Dar es salaam Cha bei poa Chini ya Mil 4 Vigezo; Eneo liwe lina upatikanaji wa maji na umeme Pasiwe mbali sana na Mji(Ndani ya dar es salaam) Eneo la kutosha vyuma ya vyumba 3 na choo 2.
  19. I

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kuomba grant ya Tsh 500M kwa ajili ya project yangu?

    Habarini wanaJF, Ningeomba muongozo mahala pa kuwasilisha project yangu kwa ajili ya kuomba grant ya kuitekeleza hapa Tanzania. Project hii itagharimu takriban Tsh 500M na pia kama kuna mtu angependa kuwekeza ni project ya uhakika ambayo itarudisha ela yake. Nasubiri muongozo wenu wakuu.
  20. Niache Nteseke

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Hivi, Naweza Kutumia Laptop kupita simu?

    Wakuu. Heshima kwenu. Kama mada inavyojieleza wakuu nahitaji kutumia Laptop kutokea kwenye simu wakuu. Vitu gani vinawezekana na vipi haviwezekani...? Naweza kuona interface ya laptop kwa bluetooth nikafanya ninachoweza kufanya kwenye laptop kwa kutumia simu yangu...? Kama ipo hiyo app...
Back
Top Bottom