Ufaulu wa Div 2.11 PCM kwa DDC, naweza kupata chuo cha serikali kwa engineering?

crankshaft

JF-Expert Member
Jun 12, 2019
1,411
3,376
Msaada wakuu,

Naweza pata MUST, UDOM, n.k
Kwa civil au electrical engineer kwa ufaulu huo?

Je, naweza soma kozi ipi nzuri nyingine?
 
Unaweza, omba hasa MUST, sema madogo mnachelewa sana kuanza applications.
 
Msaada wakuu,

Naweza pata MUST, UDOM, n.k
Kwa civil au electrical engineer kwa ufaulu huo?

Je, naweza soma kozi ipi nzuri nyingine?
wewe omba, then utaona matokeo. Hata kama huna sifa, kama hujali 10,000 omba wakikataa si basi....
 
Back
Top Bottom