naweza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata fund au sponsorship ya ku-print kitabu changu?

    Nimeandika vitabu vya financial education, women empowerment na girls rights maalum kwa ajili ya watoto. Pia nna vitabu vya Kiswahili kwa wageni kujifunza. Sina pesa ya designing na kuvichapisha. Ni wapi naweza kupata msaada wa aina yoyote nichape vitabu vyangu? Ikiwezekana kwa makubaliano maalum.
  2. Afrocentric view

    JamiiForums Tanzania Ni wapi kwa Dar naweza kupata psychedelics kama ayahuasca mushroom (Psilocybin), LSD au DMT?

    Wasalaam wakuu. Carl Jung alizama kwenye bahari ya psychedelics na kuandika vitabu vingi vilivyobadilisha maisha ya mamilion ya watu. Kwa upana pia ninataka kubadilisha maisha yangu kwa kuua Ego na kuwa mmoja na ulimwengu. Natamani kutranscend na kuwa katika level kuu itakayonifanya niishi...
  3. Mributz

    JamiiForums Tanzania Aliyeolewa akaachika miaka 7 sasa imepita ila hakupewa talaka, Anataka nimuoe. Je, naweza kumuoa?

    Naishi naye huu mwaka wa 3 bila ya ndoa. Hadithi yake ya nyuma ipo hivi " Alioelewa akiwa na miaka 17 baada ya kupewa ujauzito na uyo jamaa na wakaishi wote miaka 8 kwenye ndoa na kuzaa watoto wawili. Sababu ya kuachana uyo jamaa alianza kula madawa ya kulevya ndugu wakampeleka sober akarudi...
  4. Quraish Hussein

    JamiiForums Tanzania Je kuna chuo chochote cha urembo na mapambo maeneo ya Mwenge Dar es Salaam

    Ni maeneo gani katika mkoa wa dar es salaam hasa pande za mwenge kunaweza patikana chuo cha ufundi stadi kama kupamba au urembo.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Mkopo unaitajika: Je, naweza kupata mkopo usio na riba?

    Mambo vipi wana jukwaa mko poa, wazima nyote, nije kwenye shida yangu hii, nauliza naweza kupata mkopo wa kama sh laki moja bila riba, au kama riba ipo iwe nafuu kidogo, Kuna shida naitaji kuzitatua kidogo kama kuna uwezekano nikapata mkopo, kuhusu uaminifu ndo nguzo kuu, je naweza kupata...
  6. Equation x

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata top za milango na fremu za mninga kwa bei nafuu?

    Wapi naweza kupata, fremu na top za milango ya mninga kwa bei nafuu; top isizidi 200,000/=, na fremu isizidi 90,000/=; hiyo gharama iwe mpaka kufikisha eneo la ujenzi, Arusha. Milango na fremu 16pc, ila kazi inaweza kufanyika kwa awamu.
  7. G

    JamiiForums Tanzania Toyota Alpha niongeze vifaa vipi ili isiwe inatikisika ikipaki.

    Hello wanajukwaa. Nina Toyota Alpha huwa natoka nayo mara kadhaa niki Huwa ni my choice hasa pale napoenda sehemu na watoto ila huwa wanapenda kuruka ruka hasa pale nikiwa nimepaki kwenye foleni, kwenda kuwanunulia juice dukani, n.k. Hali ya kuruka ruka kwao inaleta mgandamizo na kuifanya...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli naweza kuingiza hela kupitia blog bila kutumia Google Adsense?

    Ni kweli kuwa unaweza kuingiza fedha au kujiingizia kipato bila kuwa na Google Adsense.Narudia tena ni ukweli. Baada ya kumaliza masomo ya advance nilizindua kitabu changu cha pili kiitwacho OPEN THE DOORS OF SUCCESS IN YOUR ACADEMICS. Lakini ndoto zangu zilikuwa ni kuwa mwandishi mkubwa wa...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Msaada makadirio ya bei na sehemu naweza kupata "curved monitor"

    natafuta 34" - 37" curved monitor, ndani ya Tanzania bei na wapi nawaza pata? sio lazima brand niliyo attach hapa cc
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kusafirisha vitu vya ndani kutoka dar es salaam kwenda Songea!

    Naombeni msaada ni njia gani cheap na salama naweza kutumia Kusafirisha vitu ya ndani kutoka Dar es salaam Hadi Songea!🙏🏼🙏🏼🙏🏼 Na Bei za usafirishaji zipoje?
  11. chiembe

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa computer, nina documents nyingi sana katika laptop, namna gani naweza kuzipanga iwe rahisi kuzipata in a friendly way!

    Nina thousands of documents, nyingine hata kuzipata ni kazi japo za muhimu. Kuna namna naweza kufanya? Au Kuna application inaweza kusaidia? Naiingizaje hiyo application? Any one with experience ?
  12. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Je, hapa naweza athirika kwenye nguvu za kiume? Maana pia siwezi "Jichukulia Sheria Mkononi"

    Sisi wengine tunapata mbunye kwa nadra sana. Sababu hatuna pesa na hatuna mvuto. Sasa unajikuta tu muda mwingi unaona watoto wakali ila huwezi kuwala. Basi mashine inasimama mpaka masaa mawili au matatu imekakamaa tu...mishipa imevimba inakuwa inashtuka shtuka muda wote kama imekumbwa na...
  13. Wababa13

    JamiiForums Tanzania Naweza kuomba uhamisho wa ndani ya Halmshauri bila ya kuthibitishwa kazini?

    Habari ya muda huu wadau na Heri ya Mwaka Mpya 2023 Samahani nauliza ivi Mtumishi wa Umma unaweza kuomba uhamisho wa ndani mfano toka Kijiji kimoja kwenda Kijiji kingine na huku bado haujathibitishwa kazini ndani ya Halmshauri iyo iyo unayofanyia kazi?
  14. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Naweza kuitumia unlimited supakasi ya voda kwenye simu?

    Habari zenu, nimeona hii huduma ikiwa inajadiliwa sana humu ndani na ningependa kujua kama naweza kuitumia kwenye simu ya mkononi? Ni kwa matumizi ya familia nikiwa nyumbani hasa kuanzia mida ya jioni lakini nikiwa ofisini nataka niwe nayo.
  15. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Fahamu jinsi ya kuanza biashara kwa mtaji mdogo (Mfano: Milioni 1)

    Habari za wakati huu, Ni matumaini yangu kwamba unaposoma uzi huu unatamani kuanzisha biashara yako mwenye.Katika kuandika uzi huu nimefanya assumption kadhaa ikiwamo kwamba wewe unajua kusoma na kuandika tu,Hauna ujuzi wowote ule ambao unaweza kuufanya na unaisha katika eneo ambalo lina watu...
  16. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Ni engine gani naweza funga kwenye Nissan civilian nje ya engine yake? Original

    Naomba kujuzwa ni type gani ya engine inaweza kufit kwenye Nissan civilian. Kwa ku Forge alimradi gari ifanye kazi.
  17. B

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza pata huduma ya car insurance kwa leo

    Wakuu habari. Gari yangu imeisha insurance bila kujua muda umeisha, naweza pata wapi huduma kwa siku ya leo. Ni third part Asanteni sana
  18. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Kuna namna yoyote naweza kuifanya ili mtoto wangu awe raia wa Zanzibar ili nimpunguzie mzigo wa uraia wa bara?

    Kila mzazi ana jukumu la kumpunguzia hali ya kusota mtoto wake kwa kumuandalia mazingira wezeshi, nami nataka niende extra mile ya kujaribu apate uraia wa Zanzibar. Kwa ninachokiona ni wazi kabisa uraia wa Zanzibar ukiulinganisha na huu wetu kama maji na mafuta, kuna privelledges katika uraia...
  19. Saa 7 mchana

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza pata CORN STARCH?

    Habari wakuu. Naomba kujua kuwa wapi naweza pata Corn Starch.
  20. Billionaire wa Betting

    JamiiForums Tanzania Ni dealer yupi hapa bongo anauza au kupitia yeye naweza kupata gari mpya 0 kilometer ?

    Habari wakuu, naomba kujua kwa hapa bongo ni dealer yupi anauza au kupitia yeye naweza kupata gari mpya kabisa yaani 0 kilometer.Gari hizi ni Kama, 1. Mercedes Benz S class (2022) 2. Audi A8(2022) 3. Lexus LS (2022) 4. BMW 7 SERIES (2022) 5. Volvo s90 (2022) 6. Volkswagen Atlas (2022) 7...
Back
Top Bottom