Je, hapa naweza athirika kwenye nguvu za kiume? Maana pia siwezi "Jichukulia Sheria Mkononi"

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
5,357
11,503
Sisi wengine tunapata mbunye kwa nadra sana. Sababu hatuna pesa na hatuna mvuto. Sasa unajikuta tu muda mwingi unaona watoto wakali ila huwezi kuwala.

Basi mashine inasimama mpaka masaa mawili au matatu imekakamaa tu...mishipa imevimba inakuwa inashtuka shtuka muda wote kama imekumbwa na degedege... Inasimama inauma sana.

Je haina athari? Maana nawaza hivi si ninaitesa M.B.O.O kwa kweli?kama siitendei haki. Nami nitafanyaje maana waya mkali. Unaishi kwa sister unawezaje tongoza mademu wazuri January hii?

Nami tatizo langu nachagua sana...halafu kujichukulia sheria mkononi sipendi hata kidogo. So nasubiria tu niipate yenyewe ya ukweli. Ila nawaza je sitoathirika na hii hali ya uhitaji kwa muda mrefu? Maana naumia sana. Inasimama mpaka nahisi inataka kupasuka.
 
Ongeza u serious kidogo, na wasifu wako ongezea nyama haina haja ya kusema unakaa kwa dada! alaf post love connect.. huwezi amin kuna wadada nao wanatafta mtu kama wewe! Wahi fastaaa.. utupe mrejesho

Tahadhari kuna madume yana id za kike! Ukipata au ukipatwa utuambie.
 
Back
Top Bottom