Hivi ni kweli naweza kuingiza hela kupitia blog bila kutumia Google Adsense?

Dec 17, 2022
73
43
Ni kweli kuwa unaweza kuingiza fedha au kujiingizia kipato bila kuwa na Google Adsense.Narudia tena ni ukweli.
Baada ya kumaliza masomo ya advance nilizindua kitabu changu cha pili kiitwacho OPEN THE DOORS OF SUCCESS IN YOUR ACADEMICS. Lakini ndoto zangu zilikuwa ni kuwa mwandishi mkubwa wa vitabu.

Nikaanza kuzunguka mitandao ya kijamii niwe na namba za waandishi wengine wa vitabu,ili nijifunze mengi.Nilikutana na Daudi Lubeleje ambaye alikuwa anatoa mafunzo ya uandishi wa vitabu kwa gharama ya shilingi 18,000.
Kipindi hicho sina hata hela,niliongea nae nkamwomba walau niwe na mimi najifunza,Akanikubalia.

Kwenye kozi aliongelea kuwa mwandishi bora wa vitabu unahitaji kuwa na BLOG.Ndo kwanza sijui,alinifundisha juu ya blog nikaelewa hadi nkafungua yangu. Upendokitundu

Nkaiunganisha blog yangu na adsense ila ndo kama ilvyokawaida hawakubali lugha ya kiswahili.
mwanzoni nlikuwa nauza vitabu vyangu nlkuwa napata fedha,kwani post zangu nlkuwa naziweka kwenye whatsapp group langu.
IMG_20230209_083132.jpg

Nimejifunza mengi mno kuhusu BLOG,ikiwa una blog ya kiswahili na unawaza uachane kufanya blog nakuhakikishia usifute.Bado kuna njia nyingi mno za kujiingizia kipato kupitia blog.Nmchukulie mfano mwalimu wangu Daudi Lubeleje ,yeye hana Adsense hivyo anafundisha watu kozi na anajiingizia kipato.
Ushauri wa bure kuna hiki kitabu kinaitwa HOW TO BECOME SUCCESSFUL BLOGGER WITHOUT GOOGLE ADSENSE.Usikikose.
1.jpg

Ukikwama mahali usiache kunambia,kuna email yangu ndani ya hicho kitabu.Hicho kitabu kinapatikana kupitia link hii GetValue, Inc | A Global Online Digital Information Products Retailer
Ikiwa kweli upo serious na unahitaji kujiingizia kipato hicho kitabu kisome walau chukua siku 10 hadi 15 kukiosma.
Unaweza pia kunitafuta kupitia email yangu nyingine: upendokitundu24@gmail.com Nitakusaidia kwa moyo kama nilivyosaidiwa. Chagua kuongeza maarifa au kubaki ulivyo.
 
Inawezekana Lakini sio rahisi kiivyo inabidi upate mwalimu mzuri atakaye kuongoza

Mwalimu mzuri ni wewe mwenyewe, ikiwa utajua ni nini haswa unafanya kwenye blog yangu kama unauza bidhaa au unauza vitabu au dawa na mengine mengi.

Lakini pia ni muhimu kuwa na brand yako. Mimi mwenyewe ilinichukua safari ya mwaka mzima hadi nkaanza kuona matokeo. Nlkuwa nishakata tamaa kabisa. Hivyo nna uhakika na nnchokisema na ni kweli safari ni ngumu, kuliko watu wanavyoiongelea kirahisi.

Na ni moja kati ya suala nililoliongelea ndani ya hicho kitabu. Naamini kitakusaidia.
 
Inawezekana Lakini sio rahisi kiivyo inabidi upate mwalimu mzuri atakaye kuongoza
Kuna watu wengine wanatamani kuwa na blog lakini hawaelewi namna wanaweza hutengeneza au wanakosa mda wa kuandika contents zao.

Natoa pia fursa mimi mwenyewe nakutengenezea blog yako na kukuandikia content kisha unanilipa kila mwisho wa mwezi.

Ukihitaji unaweza kunitafuta kwa kutumia SMS kwenda namba 0746650818. Ukihitaji pia nikufundishe, nitakufundisha kama Mtanzania mwenzangu.
 
Njia ambayo iko vizuri ni Facebook Ads tu. Haichagui lugha wala kitu kingine. Na AdSense ilikuwa tamu zamani, lakini sasa hakuna mtu anayepata pesa na AdSense akitarajia watazamaji kutoka Tanzania. Tunafanya hivyo kwa kujenga tovuti au programu, kisha tunazifanya zisionekane nchini Tanzania. Badala yake, tunaziweka nchi zenye ubora kama Marekani, Afrika Kusini, Dubai, na kadhalika. Mara tu utakapotengeneza, usiwe mchumi, weka pesa na bajeti. Hata dola elfu moja itakupa matunda makubwa.

Nimeamua kuweka bajeti ya dola elfu tatu na nimepata faida ya dola elfu kumi na mbili kwa mwezi tu.
 
Facebook ads si inakuhitaji uwe Na Facebook page?
 
wewe utakua mzoefu, SA ndio kuna hela

Njia ambayo iko vizuri ni Facebook Ads tu. Haichagui lugha wala kitu kingine. Na AdSense ilikuwa tamu zamani, lakini sasa hakuna mtu anayepata pesa na AdSense akitarajia watazamaji kutoka Tanzania. Tunafanya hivyo kwa kujenga tovuti au programu, kisha tunazifanya zisionekane nchini Tanzania. Badala yake, tunaziweka nchi zenye ubora kama Marekani, Afrika Kusini, Dubai, na kadhalika. Mara tu utakapotengeneza, usiwe mchumi, weka pesa na bajeti. Hata dola elfu moja itakupa matunda makubwa.

Nimeamua kuweka bajeti ya dola elfu tatu na nimepata faida ya dola elfu kumi na mbili kwa mwezi tu
 
Kuna watu wengine wanatamani kuwa na blog lakini hawaelewi namna wanaweza hutengeneza au wanakosa mda wa kuandika contents zao.

Natoa pia fursa mimi mwenyewe nakutengenezea blog yako na kukuandikia content kisha unanilipa kila mwisho wa mwezi.

Ukihitaji unaweza kunitafuta kwa kutumia SMS kwenda namba 0746650818. Ukihitaji pia nikufundishe, nitakufundisha kama Mtanzania mwenzangu.
Angalia hii mwalimu MWANAJAMII TANZANIA , tofauti na AdSense naweza kupataje ya ela ya bando..?
 
Back
Top Bottom