Wapi naweza kupata fund au sponsorship ya ku-print kitabu changu?

Stv Mkn

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
328
273
Nimeandika vitabu vya financial education, women empowerment na girls rights maalum kwa ajili ya watoto. Pia nna vitabu vya Kiswahili kwa wageni kujifunza. Sina pesa ya designing na kuvichapisha.

Ni wapi naweza kupata msaada wa aina yoyote nichape vitabu vyangu? Ikiwezekana kwa makubaliano maalum.
 
Wewe kama mwanaume unaweza jua girls right?

Umeandika kwa lugha gani? Unaonaje swala la kukopa mkopo ili uweze kuprint Vitabu vyako.
 
Wewe kama mwanaume unaweza jua girls right?

Umeandika kwa lugha gani? Unaonaje swala la kukopa mkopo ili uweze kuprint Vitabu vyako.
Yes nazifahamu girls'rights. Hata wewe ukitaka kuzifahamu ni rahisi sana zipo kila sehemu hata umu mitandaoni sio elimu ngeni sana.

Kuhusu kukopa sipo tayari kwa sasa maana biashara aianzishwi na mkopo mkopo uja kuistrengthen.
 
Sasa Kama ziko mtandaoni why would I buy your book if I could easily read them online?
This is a tricky question think before you answer. .
 
Sasa Kama ziko mtandaoni why would I buy your book if I could easily relax them online?
This is a tricky question think before you answer this. .
Ni vitabu kwa ajili ya watoto wewe sio target market. Hapo hakuna tricky question coz siendi toa elimu ngeni kwa watoto naenda kufanya uwasilishaji tofauti, unajua decodable books zinakuwaje?
 
Katika biashara isiyolipa Tanzania ni biashara ya vitabu! Watanzania hawana hulka ya kujisomea labda uende Chuo Kikuu cha Dar walazimishe kiwekwe kwenye mitaala. Vinginevyo kiwe e-book mtandaoni waki download Amazon upate fedha zako!
 
Ni vitabu kwa ajili ya watoto wewe sio target market. Hapo hakuna tricky question coz siendi toa elimu ngeni kwa watoto naenda kufanya uwasilishaji tofauti, unajua decodable books zinakuwaje?
Mimi ni mzazi pia ninaweza kuwa mwekezaji kwenye idea yako. Unanijibu kwa jeuri wakati nakuliza vizuri tu
 
Kama financial education why usiitumke iyo elimu ili upate pesa ama unajua tu kuongea sema practical zero?
The talk is the cheapest that can be performed by anyone.

Nimeku challenge tu baba usi maindi najua wasomi kazi Ni shida Bora tunajilawaza mtandaoni kidogo ili tuisogelee siku yetu ya kwenda kula vinono kwa baba
 
Una authority behind ya unachokiandika au kwenye auandishi, mfano Diamond akiandika kitabu kuhusu mziki kitanunulika tu au Mkapa na Reg Mengiwalikuwa na authoy behind je wewe hauna authority wala audience unawezaje kuuza
 
Back
Top Bottom