naweza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyamwage

    JamiiForums Tanzania Eti hapo naweza cheza game la ETS 2 bila kugandaganda

    Wataalamu nahitaji msaada wa utambuzi wa uwezo wa hiki kifaa kabla sijayakanyaga maana nataka kulipia
  2. hp4510

    JamiiForums Tanzania Naweza kutumia NS - 2 gear box oil?

    Wakuu Habari Hivi naweza kutumia CVT NS 2 kwenye Gear box ya nissani teana ambayo Recommended yake ni Matic J? Fundi mmoja ananiambia CVT NS 2 inaingia kwenye Gear box yoyote ya nissani na fundi mwingine anasema Gear Box ya Nissani inatakiwa kuwekwa Matic J oil Msaada tafadhari
  3. Muhammad01

    JamiiForums Tanzania Milioni 3 naweza kuanzisha biashara gani?

    Mtaji wa milioni 3 naweza kuanzisha biashara gani kwa mji wa Dodoma. Naombeni mawazo yenu wakuu.
  4. EvilSpirit

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza pata shule yenye mahitaji maalum?

    Nipo Mbeya kuna mtoto wa ndugu yangu ana changamoto ya kuongea(bubu) nataka kufahamu shule ambayo inapokea watoto wa namna hii
  5. ZVI ZAMIR

    JamiiForums Tanzania Msaada: Wapi naweza kupata Maziwa ya watoto wadogo ambayo ni Protein Free (hypoallergenic infant formula milk)

    Habari ya kazi Wakuu. Ndani ya mkoa wa Dar es salaam, maziwa hayo yasiwe ya Soya au Almond. Kwa kampuni yoyote ile inayozalisha maziwa ya watoto.
  6. Smith Rowe

    JamiiForums Tanzania Naweza kupata gari la mizigo linalotoka Morogoro to Moshi.?

    Habari wazee, Nahitaji usafiri ijumaa ijayo nina vitu vichache(vitu vya ndani) vya kusafirisha kutoka Morogoro(mzumbe) kwenda Moshi(himo) siku ya ijumaa ya wiki ijayo ya tarehe 7 mwezi wa 7. Usafiri wa magari ya mizigo inayotoka mikoa yoyote ila inapita morogoro au hata kama gari linaanzia...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Nina mtaji wa milioni 2 nifanye biashara gani ili nipate faida?

    Milioni 2 naweza fanya biashara gani ambayo utanisaidia kupata pesa ya kula kila siku na akiba angalua 10000 kuweka? Mimi ni single mama ninaehitaji kujishughulisha ili niishi vizuri na mwanangu. ====== Michango wa mdau
  8. Superbug

    JamiiForums Tanzania Nikiweka fixed deposit 10M naweza kulipwa kiasi gani na bank kila mwezi?

    Wataalamu wa bank, je naweza kuweka deposit kiasi cha hela kama 10m halafu kila mwezi bank inanilipa riba? Na je watanilipa kiasi gani kila mwezi? Wakati huo hela yangu ipo tu bank?
  9. Maleven

    JamiiForums Tanzania Naweza nikamtibu mpenzi akaacha uongo?

    Huyu binti nampenda sana lakini anatabia ya kuongea uongo sanan kuna muda najipa imani kua ataacha lakini baada ya muda yanajirudia. Shida nyingine hata ukimuuliza ni mgumu ku admit kwamba amekosean anahisi kama yuko katika nafasi ya haki kuongea alichoongea. Nifanyeje? Moyoni nampenda ila...
  10. El marabiosh

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza apple ipod?

    Wapi naweza kupata apple ipod mpya ya aina hii
  11. music mimi

    JamiiForums Tanzania Namna gani naweza kuomba pesa za Corporate Social Responsibility kwenye makampuni?

    Natamani kutuma maombi ya CSR yani corporate social responsibility kwenye makampuni yaliyo karibu yangu hata yaliyo mbali. Ila sijui nifanyeje ili maombi yangu yawafikie na wanizingatie Mwenye kufahamu naomba anisaidie ujanja nifanyeje? Na wanahitaji nini ? Kama nna idea ya project...
  12. Aaliyyah

    JamiiForums Tanzania USHAURI:Kama namna naweza kuzuia na hali hii

    Natumaini wazima Naomba niwashirikishe hili jambo linanisumbua sana Miaka ya nyuma nilikuwa kwenye mahusiano na kijana mmoja tulikuwa tunapendana sana,nilikuwa Niko chuo nae alikuwa anafnya kazi kwenye private sector tulivumiliana baadae nikamaliza nae akapata kazi serikalini tukaanza kuweka...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Ni hatua zipi za kulipia kufungiwa Umeme na TANESCO?

    Baba yangu amepewa control number alipe 320960 Ili aunganishiwe umeme. Nataka kumlipia kupitia Airtel money nielekezeni hatua za kufuata.
  14. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Ni wapi naweza kununua Dye ya kurudisha (refurbish) rangi za nguo?

    Dye ni unga au maji maji ambayo hutumika kubadili rangi, tuliyoizoea wengi ni ya nywele inaitwa picco, pia huwa kuna dye maalum kwajili ya nguo ambayo hutumika kurejesha rangi ya nguo hasa hizi jeans na cardets. Ni wapi naweza kuipata?
  15. R

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kununua machine za kuchakata plastics?

    Habari wadau, Natafuta machine za kuchakata plastics kuwa flakes naweza kuzipata wapi kwa Kariakoo? Pet bottle flakes ceushing machine. Pet bottle label remover. Pet bottle neck ring remover. Pet bottle washing machine. Pet bottle dry machine. Pet bottle flakes compressor
  16. John Sin

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kwa matokeo haya naweza kuwa lecturer?

    Kama kichwa cha habari kinavojieleza mimi ni mwanafunzi mwaka wa pili chuo X degree ya ualimu( bachelor of science with education) semester ya kwanza nilipata GPA 3.5 semester ya pili 4.2 na semester ya tatu 3.2 lakini najua na ninauwezo wa kupata 3.6 kutokana na bado sjafanya field ( teaching...
  17. Emanueli misalaba

    JamiiForums Tanzania Wana JF mashati haya naweza kupata duka lipi kwa Dar es Salaam?

    Bila shaka hamjambo wana Jf, nisiwachoshe nahitaji mashati kama haya niliyoambatanisha na hii thread kwa hapa Dar. Natanguliza shukurani zangu.
  18. Ahmed Saidi

    JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kike ambae naweza muoa hapo baadae

    Assalamu alaykum Wana jamiiforums Bila kupoteza muda, baada ya kupitia mengi katika maisha ya uhusiano sasa naona ni muda muafaka kwangu kurudi katika maisha ya kutafuta mke. Sifa. 1. Asiwe katika mahusiano 2. Dini: Awe muislamu, mchamungu, mwenye kuvaa hijab ya kisheria na mfanya ibada. 3...
  19. machafuko jr

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza pata mashine za kubetia

    Heri ya pasaka wakuu, Nina uhitaji wa zile mashine za kubeti premier bet au yeyote wapi naweza kupata wakuu. Nipo mjini Dar es Salaam Asanteni.
  20. Mshua's

    JamiiForums Tanzania Kwa bajeti ya 10M - 12M naweza kupata gari gani used kutoka Japan?

    Wakuu habari za asubuhi. Ni matumaini yangu mmeamka salama siku hii ya pasaka. Nina mpango wa kununua gari kwa bajeti ya Tshs 10M - 12M. Nipo mkoani na ni mara yangu ya kwanza kumiliki gari. Nina familia ya watu 6 yani wife watoto 3 na house girl. Matumizi yangu ni kuendea kazini, kuwapeleka...
Back
Top Bottom