Ni dealer yupi hapa bongo anauza au kupitia yeye naweza kupata gari mpya 0 kilometer ?

Billionaire wa Betting

JF-Expert Member
Apr 5, 2022
1,086
2,136
Habari wakuu, naomba kujua kwa hapa bongo ni dealer yupi anauza au kupitia yeye naweza kupata gari mpya kabisa yaani 0 kilometer.Gari hizi ni Kama,
1. Mercedes Benz S class (2022)
2. Audi A8(2022)
3. Lexus LS (2022)
4. BMW 7 SERIES (2022)
5. Volvo s90 (2022)
6. Volkswagen Atlas (2022)
7. Genesis G90(2022)
8. Range Rover Sport (2022)

Raha ya gari jipya ukiwa na nidhamu unaweza kuendesha kwa hata miaka 10 likiwa vizuri kabisa
 
Toyota na CFAO zamani DT Dobie.
 
Huwa hakuna gari unapokea ikiwa na 0 km au mileage
Nimeendesha sana gari mpya na mileage ya chini kabisa ilikuwa 3miles
0 hakuna mkuu asikudsnganye mtu

Hii dhana wengi wanasema eti 0 km
Sasa haina driving test itoke kiwandani tu ibebwe uletewe ama

Audi A8 ni £78000 mpya 2022 bei 235m kabla ya usafiri na ushuru
Kweli umeonyesha nia ya magari mapya ila bei zake kama una uwezo huo ni simu moja tu au email na malipo tu
 
Habari wakuu, naomba kujua kwa hapa bongo ni dealer yupi anauza au kupitia yeye naweza kupata gari mpya kabisa yaani 0 kilometer.Gari hizi ni Kama,
1. Mercedes Benz S class (2022)
2. Audi A8(2022)
3. Lexus LS (2022)
4. BMW 7 SERIES (2022)
5. Volvo s90 (2022)
6. Volkswagen Atlas (2022)
7. Genesis G90(2022)
8. Range Rover Sport (2022)

Raha ya gari jipya ukiwa na nidhamu unaweza kuendesha kwa hata miaka 10 likiwa vizuri kabisa
DT dobie sijui CFAO.wapo hapo vingunguti nyerere raod.hao naona ndio dealers wa magari hayo ya zero Kms.Ungetaja kampuni ya Toyota,ungeenda pia Toyota
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom