Wapi naweza kupata top za milango na fremu za mninga kwa bei nafuu?

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
29,482
40,495
Wapi naweza kupata, fremu na top za milango ya mninga kwa bei nafuu; top isizidi 200,000/=, na fremu isizidi 90,000/=; hiyo gharama iwe mpaka kufikisha eneo la ujenzi, Arusha.

Milango na fremu 16pc, ila kazi inaweza kufanyika kwa awamu.​
 
Kigoma ama tabora, but unajipa stresstu
 
Back
Top Bottom