naweza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mfianchi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtandao gani naweza kutumia kwenye Smart Tv hapa Tanzania

    Wadau nisipoteze muda wenu, nauliza nje ya mkoa wa Dar Es Salaam ni mtandao wa kampuni ipi ya intaneti/simu ambao naweza kutumia kuangalia netflix au huduma za streaming kwenye smart tv hasa tulio wilayani. Kwa jiji la Dar Es Salaam najua Zuku ndio wana unafuu kiasi bahati mbaya wilayani hatuna...
  2. Waibi fredy

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza pata hii bidhaa ya kuvunja mawe

    Hello wapendwa nina kaprojet kangu ili nifanikishe nahitaji hii bidhaa inayoitwa DEXPAN ambayo inatumika kuvunja mawe au miamba migumu. Wapi naweza pata.
  3. Kipenzi Changu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naweza kufanya group WhatsApp Call kwa watu zaidi ya 30?

    Hello watu kazi. Naombeni msaada nawezaje kufanya group call ya WhatsApp kwa participants zaidi 30? Nina group kubwa la wajasiriamali sometimes tunahitaji kufanya mjadala, tunashindwa kwa sababu ya limit ya paricipants
  4. JAMBONIA LTD

    JamiiForums Tanzania Huduma ya online copy haipo katika website ya nida

    Habari wakuu, huduma ya online copy haipo katika website ya nida ila kuna wataalam huwa wanauwezo wa kuzipata. Hivi ujanja gani wa kiteknolojia hutumika?
  5. Kumar Singh

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa budget ya 350k naweza pata simu aina gani mpya?

    Habari zenu wakuu Kwa budget ya 350K naweza pata simu aina gani mpya madukani?. Pia naomba kujuzwa specifications zake kama RAM, storage, battery life, pamoja na anroid version.
  6. ankol

    JamiiForums Tanzania Naweza tumia Neutral kwenye mteremko?

    Habarini wandugu, Je kuna madhari yoyote niki engage Neutral gear kwenye automatic transmission nikiwa nashuka mlima ili nisave wese?
  7. Ignas lyamuya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata setup ya Efootball 2022?

    Wapi naweza kupata setup ya efootball 2022?
  8. AFRICAN POWER

    JamiiForums Tanzania Msaada: Wapi naweza kupata mbegu za Safflower au Katamu?

    Habari wadau wa kilimo. Naomba kufahamishwa sehemu inapopatikana mbegu ya zao la Safflower au Katamu kwa jina jingine?
  9. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wapi naweza pata wino fake Canon Image Runner 1325ir

    Habari wadau, Mimi hata sitaki maneno meng in short ni kwamba nina kaz kubwa nataka kuprint ila uwezo wa kumudu wino wa laki 7 sina naombeni msaada wapi naweza kupata wino fake Natanguliza shukrani
  10. Erasto guy

    JamiiForums Tanzania Kutokana na matokeo haya, naweza kuapply chuo gani?

    Habarin wanajf Mimi ni muitim wa kidato Cha sita kwa combination ya HGL baada ya matokeo kutoka nimepata division 3 ya 13 yaani History-D Geography-D E language-E GS-S Je, kutokana na ufaulu wangu naweza kuapply chuo gan? Na coz ipi? Naomben msaada wenu tafadhari
  11. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kujifunza lugha ya KIARABU

    Wakuu nimepata fursa ya biashara ya kuuza Mkaa katika nchi wanazozungumza Kiarabu Egypt, Oman, Bahrain, Kingdom of Saudi Arabia, UAE na Qatar. Ili kurahisisha mawasiliano nimeona nijifunze lugha pendwa. Wapi naweza kujifunza kwa Dar es Salaam? Gharama sio tatizo. **Walimu wawe professional...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata mbegu ya Azzolla jijini Mbeya?

    Ninaomba kwa mlioko Mbeya jiji nielekezeni mahali ninaweza kuipata mbegu ya Azolla. Nataka nijaribu kuotesha kwa ajili ya kuku na bata. Nimeambatanisha na picha ya mmea wenyewe!👇👇
  13. luangalila

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza pata vibao vya posti kodi bei poa?

    Kwema wadau Naomba kuuliza ni wapi hapa jijin Dsm naweza pata vile vibao vya posti kodi vilivyo kuwa poa kama vile vya awamu ya kwanza (vile vya enzi ya Mama Tibaijuka) Maana hapa mtaan kuna wapuuzi wana vibao vyao wana viuza ila ajabu izo namba yaan utazan mtoto wa darasa la kwanza ndio...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kuchapisha vitabu vikubwa kwa bei rahisi?

    Habari wadau nina kitabu kina page 4000 Huku posta sehemu ya bei rahisi kuprint 200 4000 x 200 = 800000 laki nane Heeeh si ni balaa hili naombeni msaada
  15. R

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kununua vitabu vya Taasisi za Serikali?

    Habari wadau, Naomba kuuliza wapi naweza pata vitabu hard copy vya serikali sio PDF soft copu ivo vipo online naweza kuvipata all time mm nataka hard copy mfano TPA tarrifs nk. Shukrani.
  16. R

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata muundo wa Serikali za Tanzania na Zanzibar?

    HABARI WAKUU, SERIKALI AU TAASISI YOYOTE DUNIANI LAZIMA IWE NA STRUCTURE Ipo hivi serikali yetu ina OFISI YA RAISI, OFISI YA MAKAMU WA RAISI na OFISI YA WAZIRI MKUU Chini ya hao kuna wizara TAASISI zote km TBA, TRA, TANESCO, BOT zipo chini ya wizara Apo kuna mpangilio mfano BOT yupo chini...
  17. Josephat Sanga

    JamiiForums Tanzania Nauliza sehemu wanayokodisha vifaa hivi vya michezo ya watoto

    kama Kuna mtu anajua vinapokodishwa naomba tuwasiliane DM
  18. I

    JamiiForums Tanzania Nadhani naweza nkapata msongo wa mawazo utakaonipeleka pabaya

    Nimeweka sana juhudi kwenye kujijengea maisha lakini nguvu zote hazijafua dafu. Muda huu nimelala apa kitandani ila usingizi sipati kwa maana nipo kwa baba wakati ilinipasa niwe nafanya harakati za kuoa kwa umri wangu. Nimetafuta sana mtu wa kunifadhili mtaji nifanye biashara ninayoifaham vyema...
  19. geofrey senyagwa

    JamiiForums Tanzania Niliagiza mzigo Aliexpress lakini nilikuwa sijafungua sanduku la posta. Je, naweza kuupata?

    Habari zenu wakuu niliagiza parcel kupitia aliexpress na mzigo unaonesha umesha wasili kwenye destination country shida inakuja nilikurupuka kuagiza mzigo kabla ya kuwa na sanduku la posta je naweza kuupata kweli mzigo au ndo imesha kula kwangu? Naomba msaada wa ufafanuzi juu ya hili wajuzi
  20. ANT DRUGS

    JamiiForums Tanzania Wapi hapa Mwanza naweza kupata smart TV nzuri?

    Wakuu naomba kujua location nzuri naweza kupata Smart TV nzuri Inche 32.Nina 450,000 mkononi. Pia ni kampuni gani nzuri zaidi? Shukrani
Back
Top Bottom