Naweza kutumia NS - 2 gear box oil?

hp4510

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
6,455
6,330
Wakuu Habari

Hivi naweza kutumia CVT NS 2 kwenye Gear box ya nissani teana ambayo Recommended yake ni Matic J?

Fundi mmoja ananiambia CVT NS 2 inaingia kwenye Gear box yoyote ya nissani na fundi mwingine anasema Gear Box ya Nissani inatakiwa kuwekwa Matic J oil

Msaada tafadhari
 
matic J inatumika kwa Conventional transmission kama hiyo teana na xtrail first gen.

NS 2 inatumika kwa CVT

Hao mafundi hayajawakuta bado.

Dooh, sasa my question is

Nawezaje kujua kama hii gear box ni ya NS au ya Matic J?
 
Wakuu Habari

Hivi naweza kutumia CVT NS 2 kwenye Gear box ya nissani teana ambayo Recommended yake ni Matic J?

Fundi mmoja ananiambia CVT NS 2 inaingia kwenye Gear box yoyote ya nissani na fundi mwingine anasema Gear Box ya Nissani inatakiwa kuwekwa Matic J oil

Msaada tafadhari
Asikudanganye mtu eti zinaingiliana...weka iliyo recommended na gari yako
 
Back
Top Bottom