Kwa bajeti ya 10M - 12M naweza kupata gari gani used kutoka Japan?

Mshua's

JF-Expert Member
May 22, 2013
801
546
Wakuu habari za asubuhi.

Ni matumaini yangu mmeamka salama siku hii ya pasaka.

Nina mpango wa kununua gari kwa bajeti ya Tshs 10M - 12M. Nipo mkoani na ni mara yangu ya kwanza kumiliki gari. Nina familia ya watu 6 yani wife watoto 3 na house girl.

Matumizi yangu ni kuendea kazini, kuwapeleka watoto shule, kwenda kanisani Jumapili na familia, kwenda mjini kununua mahitaji, na mara moja kwa mwaka kwenda kuwasalimia wazee kijijini.

Kutoka mahali ninapoishi hadi kazini kuna umbali wa 2Km rafu road, kwenda shuleni 3Km (1km rafu, 2Km rami), mjini 4Km (1Km rafu, 3Km rami), kanisani 2Km rafu road na kijijini kwa wazee ni 1150Km, takribani 70 rafu road baada kutoka mkoani.

Naomba ushauri kwa bajeti tajwa hapo juu naweza kupata gari gani inayoendana na matumizi yangu? Nikipata inayotumia mafuta kati ya 10Km - 15km/1Lt inaweza kunifaa.

Natanguliza shukrani za dhati.
 
Ist itakua poa spacio gari za kishamba achana nazo
Umeambiwa anatembea roughroad km 70 unamwambia achukue babywalker. Mkuu wewe magari huyajui huwezifananisha spacio na ist hata siku moja.

Ist kwanza ni 7 seater hata ukisanya njian unapata hela za kutosha. Pia ni gari kubwa acha ist kamebanana ndani, kwenye rough road ina stability na ni nzito kidogo kuliko ist na imekaa kiume zaidi kuliko ist
 
Wakuu habari za asubuhi.

Ni matumaini yangu mmeamka salama siku hii ya pasaka.

Nina mpango wa kununua gari kwa bajeti ya Tshs 10m - 12m. Nipo mkoani na ni mara yangu ya kwanza kumiliki gari. Nina familia ya watu 6 yani wife watoto 3 na house girl.

Matumizi yangu ni kuendea kazini, kuwapeleka watoto shule, kwenda kanisani Jumapili na familia, kwenda mjini kununua mahitaji, na mara moja kwa mwaka kwenda kuwasalimia wazee kijijini.

Kutoka mahali ninapoishi hadi kazini kuna umbali wa 2Km rafu road, kwenda shuleni 3Km (1km rafu, 2Km rami), mjini 4Km (1Km rafu, 3Km rami), kanisani 2Km rafu road na kijijini kwa wazee ni 1150Km, takribani 70 rafu road baada kutoka mkoani.

Naomba ushauri kwa bajeti tajwa hapo juu naweza kupata gari gani inayoendana na matumizi yangu? Nikipata inayotumia mafuta kati ya 10Km - 15km/1Lt inaweza kunifaa.

Natanguliza shukrani za dhati.
Ist
 
Asee ni Lami sio Rami sawa
 
Umeambiwa anatembea roughroad km 70 unamwambia achukue babywalker. Mkuu wewe magari huyajui huwezifananisha spacio na ist hata siku moja
Ist kwanza ni 7 seater hata ukisanya njian unapata hela za kutosha. Pia ni gari kubwa acha ist kamebanana ndani, kwenye rough road ina stability na ni nzito kidogo kuliko ist na imekaa kiume zaidi kuliko ist
Mshamba wa magari alafu hajui ushamba wake
 
Back
Top Bottom