Naweza kupata gari la mizigo linalotoka Morogoro to Moshi.?

Smith Rowe

JF-Expert Member
Sep 18, 2018
3,315
5,425
Habari wazee,
Nahitaji usafiri ijumaa ijayo nina vitu vichache(vitu vya ndani) vya kusafirisha kutoka Morogoro(mzumbe) kwenda Moshi(himo) siku ya ijumaa ya wiki ijayo ya tarehe 7 mwezi wa 7.

Usafiri wa magari ya mizigo inayotoka mikoa yoyote ila inapita morogoro au hata kama gari linaanzia morogoro kuelekea moshi.

Naomba kufahamishwa vitu vichache sana nasafirisha.

Au kama unafahamu wanaohusika na usafiri wa mizigo maeneo ya morogori nifahamishe nimetafuta nimekosa.
 
Back
Top Bottom