Milioni 3 naweza kuanzisha biashara gani?

Mkuu uliziiba? vipi njia uliyotumia kuzipata.
Japo mimi sio mtoa mada ila Swali la ulilomuuloza sijajua umeuliza kwa lengo gani, ila limekaa kama kejeli,

Ni kwmaba Kuna Njia nyingi mtu anaweza akawa anaingiza ela labda tuseme ni mfanyakazi wa serikali, au anafanya biashara fulan madhalani mtanadaon, ko anataka kuwekeza eneo lingine katika location nyingine ko kuuliza ivo anakuwa anatafuta Idea mpya alafu atachambua ipi inamfaa.

Lakini mwingine anaweza akawa anataka akope iyo milion 3 au mwingine mzazi wake amemauambia nakupa mtaji tafuta biashaara yakufanya ko ndo anauliza ili apate Idea
 
Fungua duka la mahitaji ya nyumbani au uza na badilisha mitungi ya Gesi.
Hapo kwenye mahitaji ya nyumbani penyewe kwa 3mil atafute tu frem isio bei mbaya, atafanya biashara.... Mahitaji ya nyumbani au bidhaa zinazohitajika kila siku ni biashara nzuri.
 
Back
Top Bottom