nataka

Nataka is a village in Mirzapur, Uttar Pradesh, India.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nataka kuachana na mwanamke

    Ni muda mwingine tena. Anaomba ushauri huyu rafiki yangu mwanzoni alinishauri sana nioe tufanane ila nikamwambia mimi sina kazi na siwezi mtunza mke, leo yamemkuta. "Ni miaka minne sasa tangu ampate shemeji/wifi yenu ila kiukweli, mambo aliyofanya alipokuwa single ni makubwa na mengi kuliko...
  2. JamiiForums Tanzania Nataka shift kutoka DUCE niende main campus

    Hello, Je, mtu akitaka kushift kutoka DUCE kwenda main campus inawezekana? First year GPA 4.8 , na ni step zipi za muhimu za kufata. Reason: Kuna course ambazo hazipo Duce Bali zipo UDSM main campus kwa mwaka wa pili na wa tatu ambazo muhusika anataka to take along with his degree Thanks in...
  3. JamiiForums Tanzania Nataka kufunga biashara yangu naomba ushauri

    Mimi ni kijana wa miaka 22 nimemaliza chuo mwaka huu nina degree ya kodi, baada ya kumaliza chuo kuna sehemu ya biashara nilipata ya mgahawa iko pwani. Wiki mbili za mwanzo biashara ilienda vizuri lakini baada ya hapo kila tukipika chakula kikawa kinabaki maana kwenye suala la wateja baada ya...
  4. JamiiForums Tanzania Nataka kumfungulia mchepuko wangu duka la bidhaa za kike (urembo) na watoto. Nipeni ushauri kuhusu bajeti na mahala sahihi hapa dar

    Habari wakuu Niliwahi kuleta uzi humu kuhusu mke wangu niliempa mtaji akafanye biashara ya duka la kuuza urembo wa kike pamoja na saloon lakini akauwa ile biashara. Yule alikua anafanya biashara kisa wenzake wanafanya lakini nina mchepuko wangu huwa ananipoza nikiwa dar, yeye kiukweli anajua...
  5. JamiiForums Tanzania Ushauri: Nataka nianze kula kitimoto

    Nataka nianze rasmi kumla huyu mnyama anayechukiwa na watu zaidi ya bilioni moja ulimwenguni.. Nataka kujua anakuwa mtamu zaidi akiwa rosti au mkavu? Je nimsindikize na ndizi ama kaugali? Sipendi awe na mafuta mengi nipeni idea za kutosha
  6. JamiiForums Tanzania Nataka kuanzisha umissionari wa kupeleka Ukristo kutoka Afrika kwenda Ulaya na Marekani, naombeni mawazo

    Wakuu nimegundua Ulaya na Marekani kuna upagani mwingi sana. Wala hakuna ukristo kule ni zuga tu. Sina wasiwasi na uarabuni na china, Maana huko kwa utafiti wangu kuna wakristo kificho wengi sana ila wanaingia misikitini na kuswali kwa ajili tu ya usalama wao. Nimefikilia hawa wazungu kabla...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri: Nataka kuacha kubeti

    Habari za muda, Mimi ni kijana wa miaka 23 nimekuwa na uraibu mkubwa sana wa kamari (kubeti). Nilianza kubeti tangu 2015 kipindi nipo Form 2 kipind Primier Bet inaanza wale wa vikaratasi then nilistop kwa muda ila wakati nipo form 5 nikarud na uraibu ulianza. Japo nilishawahi kushinda...
  8. JamiiForums Tanzania Walioenda interview ya TRA UDSM mliingia na kutoka saa ngapi? Kuna mchezo nataka kuchezewa hapa

    Kabla sijafikiria vibaya, naomba nifahamu muda mlioingia na kutoka katika interview ya TRA UDSM, ahsanteni
  9. V

    JamiiForums Tanzania Wakulima wa mbaazi wilayani Kiteto wanalalamikia Viongozi wa Wilaya kuwa Madalali na kuwasababishia hasara

    Wakulima wa mbaazi wa hapa mjini Kibaya wanalalamikia kuwa viongozi wa Wilaya wameshindwa kulinda maslahi ya wakulima wa mbaazi Wilayani Kiteto na wao kugeuka ndio madalali wa zao hilo. Wakulima wamepima mbaazi zao toka wiki Moja iliyopita na bado hela hawajalipwa. Kibaya zaidi wao mbaazi yao...
  10. JamiiForums Tanzania Nataka kurudi shule(nisome IT) chuo gani kizuri bandugu?

    Dunia sasa hivi imehamia kwenye ( computer technology) nataka nisome IT, chuo gani kizuri? UCC au VETA? Kama ni ucc branch gani wapo vizuri? (Udsm au Posta?) Nataka kwanza nisome kozi yupi fupi za IT then baada ya hapo ndo nitafikiri nisome certificate then Diploma. Vitu vyangu vingi (...
  11. JamiiForums Tanzania Ndugu yangu amekuwa mlevi wa kupindukia, nataka nimpeleke sober house

    Natumai wote hamjambo humu. Nina ndugu yangu amekuwa mlevi wa kupindukia, hapo awali alikuwa ni mtu smart na mpambanaji wa maisha, sijui kitu gani kimemkuta, anakunywa pombe muda wote hata kazi ameacha kwa sababu ya pombe. Watu wengi wamenishauri nimpeleke sober house {Kwa kiswahili sijui...
  12. JamiiForums Tanzania Ushauri: Jirani yangu anataka kuuza nyumba ili akatafute maisha Uingereza ni sawa?

    Wajuvi,wajuzi,wakulungwa na makontawa na matycoon mnaitwa huku mtoe ushauri. Nina jirani yangu huku Morogoro ni mmama wa makamo, alienda Dar kibiashara lakini katika pitapita zake amekutana na kampuni posta wanasaidia kuprocess watu kwenda nje. Sasa amepewa plan ya kuunganishwa kwenda UK...
  13. JamiiForums Tanzania Nataka kufungua mgahawa ambao utakuwa maalum kwa kuuza Biriani tu maeneo ya Kinondoni

    Salaams wana jamvi. Mimi ni mdau wa miaka mingi humu ila sio mara nyingi kuwa active lakini huwa napitia sana baadhi ya thread zinazohusu biashara na ujasiriamali. Mimi naishi maeneo ya Kitunda relini na by profession ni Graphics designer ila tangu nikiwa kijana mdogo (teenager) miongoni mwa...
  14. JamiiForums Tanzania Nataka kutengeneza Sexy Voice Kwa audio msaada please?!...

    Samahani wale ma IT na computer science mlioko huku Nataka kutengeneza Sexy Voice Kwa kutumia audio, ndio na edit nini au kuna app gan natumia?! Mume Yuko mbali so lazima nimpagawishe🏃🏃🏃🏃
  15. JamiiForums Tanzania Wana MMU, kijana wenu yanataka kunishinda tena, nataka sasa kuwa 'senior bachelor'

    Hello bila shaka mu wazima, poleni kwa wale wenye changamoto za hapa na pale, Mola awape ujasiri wa kukabiliana nao na kuushinda! Niende moja kwa moja kwenye mada, nina mchumba wangu, nimemtambulisha mpaka nyumbani na kwa ndugu zangu, sijawahi kufanya hivi kwa mwanamke yeyote, hiki ni kiashiria...
  16. JamiiForums Tanzania Mwezi wa 10 nataka kupanda ndege nakuja Dar. Naombeni ramanI ya kutoka uwanja wa Nyerere hadi Mbezi

    Wakuu za jioni. Mwenzenu nataka kujipongeza (Kwa jinsi mambo yanavyoenda kadri nilivyotarjia) Kwa kupanda ndege kutok mbeya Hadi Dar via Precision air maana hizo zingine nimeon gharama sana. Sasa nikifika uwanja wa nyie napita wapi na wapi hadi kufika mbezi?
  17. O

    JamiiForums Tanzania Msaada nataka kujua kwanini mbegu zinarudisha nje baada ya kusex na wife mi kama 15 mpaka sekunde 40 au dk1

    Mke wangu mbegu nyingi humtoka baada ya kusex naye nashindwa kuelewa maana bado hatujapata mtoto na mimi ndo mtoa bikira karibia mwaka sasa Embu nipeni shule maana hasikii maumivu yoyote kama nilivyo ambiwa kuwa kunaweza kukawa na kitu kama kidole kina zuia mbegu kwenda mbele
  18. B

    JamiiForums Tanzania Nataka kwenda kuoa Zanzibar

    Habari zenu wana jamvi. Nisiwachose sana. Ni hivi, sauti yangu ya ndani inanishuhudia nioe mwanamke wa kizanzibari.. Kuhusu dini Mimi ni Mkristo mwenye vinasaba vya uislamu. Nipo tayari kusilimu wakati wowote ule. Kwanza I am not even a church going person. Ukristo wangu ni ukristo wenye...
  19. JamiiForums Tanzania Hivi TRA watakubali ku register kampuni ikiwa ofisi nataka ziwe nyumbani?

    Habarini wakuu, Kama kuna mtu ana uelewa na hichi kitu nitaomba msaada. Nahitaji ku register kampuni au biashara. Ila kuna mara ya mwisho nilisajili biashara nilivooenda TRA kwa ajili ya TIN ya biashara walitaka niwapatie mkataba wa pango la biashara. Na baada ya kuwapa wakaanza kupiga...
  20. JamiiForums Tanzania Kuna mwanamke amepanga kuniroga ili uume wangu usifanye kazi baada ya kumwambia nataka tuachane, naomba msaada nimdhibiti.

    Habari wajameni, Kwa unyenyekevu kabisa wapendwa, jokes aside please, nakuja mbele yenu kinyonge na kuomba msaada. Kuna mdada mmoja wa kimag'hati niko nae kwenye mahusiano miezi kama mitatu. Huyu manzi yuko Bomba sana yaani bonge la pisi kali na shoo anaweza sana. Tatizo lake limetokea hivi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…