Hivi TRA watakubali ku register kampuni ikiwa ofisi nataka ziwe nyumbani?

Naanto Mushi

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
6,236
15,603
Habarini wakuu,

Kama kuna mtu ana uelewa na hichi kitu nitaomba msaada.

Nahitaji ku register kampuni au biashara. Ila kuna mara ya mwisho nilisajili biashara nilivooenda TRA kwa ajili ya TIN ya biashara walitaka niwapatie mkataba wa pango la biashara.

Na baada ya kuwapa wakaanza kupiga mahesabu yao ya sijui withholding tax n.k

Ni mda umepita, nataka kusajili kampuni au biashara ila sasa changamoto yangu ni kwamba ofisi ya hiyi biashara au kampuni nataka iwe nyumbani kwangu kulingana na nature ya shughuli nazotaka fanya.

Sasa naulizia itakuwa ni proper kama wasema nilete mkataba basi nikapeleka huo mkataba wa upangishaji wa nyumba?

Ntaomba ushauri kwa hilo kwa sababu ndo kitu kinanikwamisha.

Asanteeni sanaa
 
Habarini wakuu,

Kama kuna mtu ana uelewa na hichi kitu nitaomba msaada.

Nahitaji ku register kampuni au biashara. Ila kuna mara ya mwisho nilisajili biashara nilivooenda TRA walitaka niwapatie mkataba wa pango la biashara.

Na baada ya kuwapa wakaanza kupiga mahesabu yao ya sijui withholding tax n.k

Ni mda umepita, nataka kusajili kampuni au biashara ila sasa changamoto yangu ni kwamba ofisi ya hiyi biashara au kampuni nataka iwe nyumbani kwangu kulingana na nature ya shughuli nazotaka fanya.

Sasa naulizia itakuwa ni proper kama wasema nilete mkataba basi nikapeleka huo mkataba wa upangishaji wa nyumba?

Ntaomba ushauri kwa hilo kwa sababu ndo kitu kinanikwamisha.

Asanteeni sanaa
Inakubalika kabisa. Kuna barua utaandika kwamba unatoa nyumba yako itumike kama ofisi bure na hakuna ada ya pango ambayo ofisi italipa. Ila lazima uambatanishe copy ya hati ya hiyo nyumba na jina kwenye hati liwe na mmojawapo wa wamiliki wa hiyo kampuni. Ni hivyo tu. Nenda ofisi ya TRA uwaulize watakuambia namna ya kufanya. Wasikulazimishe kuwa ofisi ilipe pango maana hapo watataka ulipe withholding tax. Waambie nyumba unaitoa bure.
 
Dah,hii waligoma kabisa kabisa aisee.

Labda kama wamebadili recently.
 
Hilo sio tatizo , unachotakiwa kufanya ni kuangalia nyumba kama yako eneo ulilopo ungekuwa unapanga ungelipa kiasi gani!?,hakuna Sheria inayozuia nyumba yako kuwa ofisi ila lazima wajue thamani ya kupanga nyumba kama hiyo mitaa hiyo, ikibidi jiandikie mkataba kwamba wewe mwenyewe unailipia nyumba yako labda laki 3 Kwa mwezi, umuhimu wake ni kwenye makadirio ya kodi kwa mwaka kulingana na biashara unayoifanya.

Mfano mzuri ni kwa mfano upewe zawadi ya gari Japan, China au U.k uilete bongo, kwenye kikokotoo cha T.R.A hakuna formula ya gari la kuzawadiwa. Watalipigia hesabu thamani yake huko lilikotoka na utalipia sawa na mwingine aliyelinunua huko.

N.B. Jitahidi kila utakachokiandika ukishusha thamani, weka gharama za chini itakusaidia wakuweke kundi gani la kodi. Ukijichanganya waweza kukadiriwa kodi sawa na Mo Dewji kwa mwaka. T.R.A sio watu wazuri kabisa.
 
Sio kweli. Unaandika concent kwamba unatoa nyumba yako itumike kama ofisi na hakuna shida. Mimi natumia nyumba yangu kama ofisi na sijasumbuliwa kwa hilo.
Asante mkuu.. ila mimi nimepanga nyumba ya kuisha na ndo nataka kuitumia hiyo hiyo kama address ya biashara, kwahiyo hata hiyo itakuwa haina shida?
 
Inakubalika kabisa. Kuna barua utaandika kwamba unatoa nyumba yako itumike kama ofisi bure na hakuna ada ya pango ambayo ofisi italipa. Ila lazima uambatanishe copy ya hati ya hiyo nyumba na jina kwenye hati liwe na mmojawapo wa wamiliki wa hiyo kampuni. Ni hivyo tu. Nenda ofisi ya TRA uwaulize watakuambia namna ya kufanya. Wasikulazimishe kuwa ofisi ilipe pango maana hapo watataka ulipe withholding tax. Waambie nyumba unaitoa bure.
Asante sana mkuu, kwa case yangu mimi, nyumba ninayoishi ni ya kupanga na ningetaka hiyo hiyo niitumie kama address ya kwenye biashara... si hiyo pia inawezekana? Kwa maana ya kwamba wakidai mkataba wa pango nataka kuwapa mkataba wa kupangisha hiyo nyumba..
 
Hilo sio tatizo , unachotakiwa kufanya ni kuangalia nyumba kama yako eneo ulilopo ungekuwa unapanga ungelipa kiasi gani!?,hakuna Sheria inayozuia nyumba yako kuwa ofisi ila lazima wajue thamani ya kupanga nyumba kama hiyo mitaa hiyo, ikibidi jiandikie mkataba kwamba wewe mwenyewe unailipia nyumba yako labda laki 3 Kwa mwezi, umuhimu wake ni kwenye makadirio ya kodi kwa mwaka kulingana na biashara unayoifanya. Mfano mzuri ni kwa mfano upewe zawadi ya gari Japan, China au U.k uilete bongo, kwenye kikokotoo cha T.R.A hakuna formula ya gari la kuzawadiwa. Watalipigia hesabu thamani yake huko lilikotoka na utalipia sawa na mwingine aliyelinunua huko.
N.B. Jitahidi kila utakachokiandika ukishusha thamani, weka gharama za chini itakusaidia wakuweke kundi gani la kodi. Ukijichanganya waweza kukadiriwa kodi sawa na Mo Dewji kwa mwaka. T.R.A sio watu wazuri kabisa.
hivi ni hii dalasa la saba yangu ndo sielewi au? hv kwann wanakadiria mtu kodi? sio kwamba ni miyeyusho hii? kwann isiwe FDA risiti akawa nayo kila mtu ili wapate chao. Au ni ngumu kwa necha ya wabongo?
 
Hilo sio tatizo , unachotakiwa kufanya ni kuangalia nyumba kama yako eneo ulilopo ungekuwa unapanga ungelipa kiasi gani!?,hakuna Sheria inayozuia nyumba yako kuwa ofisi ila lazima wajue thamani ya kupanga nyumba kama hiyo mitaa hiyo, ikibidi jiandikie mkataba kwamba wewe mwenyewe unailipia nyumba yako labda laki 3 Kwa mwezi, umuhimu wake ni kwenye makadirio ya kodi kwa mwaka kulingana na biashara unayoifanya. Mfano mzuri ni kwa mfano upewe zawadi ya gari Japan, China au U.k uilete bongo, kwenye kikokotoo cha T.R.A hakuna formula ya gari la kuzawadiwa. Watalipigia hesabu thamani yake huko lilikotoka na utalipia sawa na mwingine aliyelinunua huko.
N.B. Jitahidi kila utakachokiandika ukishusha thamani, weka gharama za chini itakusaidia wakuweke kundi gani la kodi. Ukijichanganya waweza kukadiriwa kodi sawa na Mo Dewji kwa mwaka. T.R.A sio watu wazuri kabisa.
Asante sana mkuu ... mimi kwa case yangu bado nipo nyumba ya kupanga na ndo ningetaka kutumia huo mkataba kama address pia ya biashara, i hope hiyo pia inakubalika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom