Naomba Ushauri: Nataka kuacha kubeti

Dullah694

Member
Jan 20, 2021
31
48
Habari za muda,

Mimi ni kijana wa miaka 23 nimekuwa na uraibu mkubwa sana wa kamari (kubeti). Nilianza kubeti tangu 2015 kipindi nipo Form 2 kipind Primier Bet inaanza wale wa vikaratasi then nilistop kwa muda ila wakati nipo form 5 nikarud na uraibu ulianza.

Japo nilishawahi kushinda nilibetia mpaka pesa ya michango kama Tsh. 90,000/- nikala Tsh. 180,000/- but nilikua sibet sana sababu shuleni unabanwa kutumia simu.

Nilivyofika chuoni ndio uraibu ukazidi baada ya kumiliki smartphone, nikawa mraibu sana wa kubeti nikahamia kwenye virtual bet mpaka Aviator la Sportybet nako nilipoteza tu.

Naombeni ushauri namna gani niweze kuacha kubeti maana najitahidi nashindwa.
 
Kubet ni kama punyeto mkuu usipopata nguvu za iman toka kwa mwenyezimmungu huponi ila bora kubet kwa mfano nishazoea siku hizi mpaka niwe na hela nyingi let's say million 3 ndo niwe naweka Mikeka ya 10,000 au 50000 au laki 2.

Ila kama najua niko below 100000 mfukoni aisee sibet buku buku hizi naonaga michosho tu...bet odds ndogo high stake ndo kdg nimeona safi ila team zikishaanzia tatu tu aisee umeliwa
 
Habari za muda,

Mimi ni kijana wa miaka 23 nimekuwa na uraibu mkubwa sana wa kamari (kubeti). Nilianza kubeti tangu 2015 kipindi nipo Form 2 kipind Primier Bet inaanza wale wa vikaratasi then nilistop kwa muda ila wakati nipo form 5 nikarud na uraibu ulianza.

Japo nilishawahi kushinda nilibetia mpaka pesa ya michango kama Tsh. 90,000/- nikala Tsh. 180,000/- but nilikua sibet sana sababu shuleni unabanwa kutumia simu.

Nilivyofika chuoni ndio uraibu ukazidi baada ya kumiliki smartphone, nikawa mraibu sana wa kubeti nikahamia kwenye virtual bet mpaka Aviator la Sportybet nako nilipoteza tu.

Naombeni ushauri namna gani niweze kuacha kubeti maana najitahidi nashindwa.
Usiache kubeti, serikali inataka kodi yako ili igharamie miradi.
 
Betting ni ajira kama ajira nyingne kwann uache au ushapata kazi ....kama una kazi acha ila kma huna itumie kama fursa ya maendeleo ....watu tunamiliki magari na magorofa kwasababu ya betting
 
Back
Top Bottom