natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Natafuta ajira wizara ya fedha

    Habari wadau..! Leo nimeona nisikae kinyonge niombe kazi hapa JF,maana nimesikia watu wanalipana 100milion kwa siku nchi hii. Sasa na mm naomba mwenye koneksheni ya wizara ya fedha tupeane natafuta kazi hata ya kufagia, tukale wote keki,Cv yangu ipo poa tu nina PhD ya wanyamapoli😂😂😂
  2. Mwanza kwetu pia

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu anayeweza kuwekeza kwa mtaji wa milioni 50 na kupata faida ya hadi milioni 70

    Ndugu wadau habari zenu kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, Mimi nipo Geita najishughulisha na biashara ya madini ya dhahabu offisi ni ya watu so Mimi ni msimamizi na wakati mwingine natoa ushauri pale inapobidi, ili kazi iwe yenye tija zaidi. Kwa upande wangu huwa tu nalipwa...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ndani ya Dar es Salaam

    Habari naitwa John Niko Dar natafuta kazi yoyote. Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu Kenya, ila kwasasa Niko likizo. Natafuta kazi yoyote. Kazi ya halali. Mawasilano yangu: +254781847643( WhatsApp) +255755938804 +255714540040
  4. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote halali kwa Arusha

    Mimi ni Civil technician kutokana na uhaba wa contract za ujenzi kwa sasa niko mtaani naombeni kwa yoyote anayeweza kunisaidia kazi yoyote halali. Note sichagui kazi hata kama unataka kazi ya kibarua sehemu niko tayari kufanya.
  5. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta Afisa Tarafa wa kubadilishana naye. Nije Morogoro aje Mwanza

    Wakuu hbarin za jion. Naomba afisa tarafa anayeweza kubadilishana kituo Cha kazi. Ajë mwanza me nishuke morogoro. Ahsanten
  6. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Tajiri wa Gari ndogo

    Habarini humu ndani, Mimi ni dereva natafuta tajiri mwenye gari ndogo, nifanye nae kazi mkataba ama hesabu ya siku. Asanteni
  7. H

    JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta kibarua au kazi yeyote ile halali

    Habari ndugu zangu. Mimi ni kijana wa kiume Elimu: Bachelor of science in mathematics and statistics. Ninatafuta kazi au kibarua chochote kile halali, hata kuwa msaidizi kwenye shughuli yeyote ile halali. Hata kazi za kuanzia jioni mpaka usiku sana nafanya. Ninaweza kufanya masuala yahusiyo...
  8. Extrovert

    JamiiForums Tanzania Natafuta supplier wa kuku wa kisasa

    Natafuta mfugaji wa kuku wa kisasa ambaye tutafanya biashara. Nahitaji kuku kwa wingi! Mwenye nao tafadhali tuwasiliane. Location awe Dar es Salaam! Capacity: 500 pcs per week Uzito: 1+KG Bei elekezi: 5,500-5,800
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja Dodoma maeneo ya Kisasa , Ipagala au Nzuguni

    Salaam wadau. Natafuta Kiwanja Dodoma maeneo ya Kisasa, Ipagala au Nzuguni. Kiwe kimepimwa na kiwe na hati kwa Matumizi ya makazi. aksanteni.
  10. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta Mke

    SIFA ZANGU Umri 36 Dini: Mkristo Elimu: Shahada ya Uzamili. Ajira: Mwajiliwa wa serikali. Urefu : 172cm SIFA ZA MWANAMKE Umri 30-36 Dini: Yoyote Kabila: Lolote. Elimu: Diploma na kuendelea. Kazi: Yoyote halali. NB: Mimi sina mtoto lakini yeye hata akiwa naye sawa tu.
  11. Mech engineer

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari, fixed budget ya 5.5m

    Habari za muda huu wakuu, anayeuza moja ya magari yafuatayo. Run x, Spacio, Rav 4, Ist haijalishi number ya gari as long as ni zima. Tukutane PM. Napendelea awe mmliki na sio dalali. Asanteni
  12. Mbaga Jr

    JamiiForums Tanzania Nina Diploma in Film Production, natafuta kazi

    Inasikitisha sana wakuu
  13. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi mikoa ya Nyanda za Juu Kusini. Nimesomea Diploma ya Ualimu

    Wakuu habari za saizi! Mimi ni kijana wa kiume, mhitimu wa diploma ya ualimu lakini bado sijafanikiwa kupata kazi. Hivyo naomba kazi yoyote ya halali ya kuniwezesha kuendesha maisha yangu. Iwe niliyosomea au yoyote nitakayoweza kuifanya. Mimi naishi Dodoma. Kama kazi ikipatikana mikoa ya...
  14. BILGERT

    JamiiForums Tanzania Natafuta vijana wa kazi za shambani

    Vijana wa kazi za shambani wanahitajika, wawe waaminifu. Eneo la kazi ni Iringa, nikipata vijana watatu wanatosha. Kazi kubwa ni kuhudumia mashamba ya maharage, kuanzia hatua ya kupanda, umwagiliaji, kuweka mbolea pamoja na kupiga dawa. Kazi ni ya msimu wa miezi miwili. Malazi, chakula na Afya...
  15. Elon Mzebuluni

    JamiiForums Tanzania House4Rent Natafuta chumba cha kupanga (double) maeneo ya Paloti, Arusha mjini

    Hello! Habari wandugu kama kichwa cha Uzi kinavyojieleza. Bajeti yangu 60,000 to 70,000. Asante.
  16. J0h13

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote iliyo halalishwa na Serikali yetu

    Natafuta kazi yoyote iliyo halalishwa na serikali yetu Kwa majina naitwa JOHN E BENDERA Ni kijana mwenye umri wa miaka 23 kwa sasa. Ni mchezaji wa mpira pia, ligi daraja la pili Tanzania. Ndoto zangu kubwa niliziwekeza katika mpira, lakini naamini mnajua mpira wetu apa nchini, si lazima...
  17. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mke

    Nipo kanda ya kati dodoma Umr 27 yrs ☆kazi: mganga njaa, dei waka kiraka a.k.a multipurpose ☆sina nyumba ☆ sina gari ☆elimu la saba Natafta msichana wa kuoa kuanzia miaka 18 up to 30 Ajue anakuja kupambana wote mpka tutoboe If you're interested, karibu inbox tuyajenge
  18. Bata Boy Official

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtaalamu wa kutengeneza App na website

    Habari wakuu? Niende moja kwa moja kwenye mada husika. Nina wazo zuri sana, ambalo nimeshaliandalia PROPOSAL tayari. Wazo hili utekelezwaji wake unahitaji APP na WEBSITE vyote kwa pamoja. Ila kwa bahati mbaya mimi sio mtaalamu sana wa mambo ya CODING na PROGRAMMING LANGUAGES, hivo nilikua...
  19. The Inspire55

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kujitolea ili nipate uzoefu ndani ya Mwanza

    Habari wakuu, Naitwa Juma naishi Mwanza umri ni miaka 21, nina taaluma ya ukemia upande wa madini {mineral processing engineer} na elimu yangu ni basic certificate in mineral processing na uwezo wa kukabiliana na udongo wenye changamoto nyingi, pia uwezo wa kusimamia usalama kazini (OSHA...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta muhudumu wa counter na Chef kwenye Bar

    Natafuta mhudumu wa counter wa jinsia ya kike,pia natafuta Chef mwenye uzoefu wa kuchoma nyama ya ngombe na samaki. Niandikie message 0782003685 usipige, nitapiga. Kazi iko Bukoba mjini.
Back
Top Bottom