Natafuta tender za kutengeneza Milango ya Mbao za Mkongo

Guru Master

JF-Expert Member
Jan 14, 2017
226
594
Nimekuwa nikifanya biashara ya kutengeneza Milango ya mbao za Mkongo toka Mkoani Tabora. Kama unahitaji wewe Binafsi au unaweza niunganisha na Makampuni ya Ujenzi naomba tuwasiliane tuongee biashara.

Mbao ni za Mkongo. Haziliwi na wadudu na Haziozi nadhani kwa wajuzi wa mbao wanazifahamu hbr yake ni zaidi ya Mninga.

Unanipa vipimo na dizaini ya mlango. Tunakubaliana naleta kwako kuanzia milango 10 na kuendelea.

Karibu.

IMG-20210722-WA0042.jpg

IMG-20210722-WA0037.jpg

IMG-20210722-WA0042.jpg

images (50).jpeg

images (48).jpeg

images (45).jpeg

images (43).jpeg

images (42).jpeg

images (53).jpeg
 
Nimekuwa nikifanya biashara ya kutengeneza Milango ya mbao za Mkongo toka Mkoani Tabora. Kama unahitaji wewe Binafsi au unaweza niunganisha na Makampuni ya Ujenzi naomba tuwasiliane tuongee biashara...
Hakuna picha ya milango uliyowahi kutengeneza tuone picha?

Gharama za kutengeneza mlango mmoja zipo vipi?
 
wewe jamaa unazingua kinoma title inasema mkongo na habari yako pia umesifu mbao ya mkongo kuliko mninga apa katika kureply comment unasema mbao mninga hueleweki.
Mpaka hapa najaribu kuangalia ambacho kinaweza kuwa kimekukwaza hata sioni. Maana usipende kukasirika kasirika si jambo zuri kiafya. Lina athari kubwa sana jaribu kUwa na mtizamo chanya. Usipende kuzinguka bila sababu. Uwe na wakati mwema.
 
sio kukwazika unajua kuwa apo itakuja tumika pesa na sio makaratasi na kila mtu anakuwa na aina ya utafutaji wake wa pesa wengine mazingira tu ya kupata iyo 450k ni magumu sasa wewe ukiwa kama fundi elezea vitu kitaalamu sio kusema mimi nakwazika unatakiwa uwe na business ethics sasa apo mbao ipi ni mninga au mkongo?
 
Nadhani maelezo yanajieleza ukiacha kwenye kichwa cha habari ambako palikuwa specific. Ukiona sehemu wameandika Chaina inapatikana hapa ukienda unakutaa na chapati,maandazi ,vitumbua vipo.

Unapokuja mteja unasema nahitaji mbao flani. Unatengenezewa kulingana na uhitaji wako. Mbao zilizopo ni hizo Aina Tatu. Mninga unafahamika zaidi kwa watanzania wengi lakini mbali na mninga kuna Mbao nyingine.

I dont see does this affect you by any means. When you are talking about ethics. Or business ethics , aint none broken. You get what you want. And thats not wrong. Pardon my french.
 
Back
Top Bottom