Habari yenu Mimi ni Kijana mjasiriamali na ni mtaalam wa computer haswa Hardware na Software naomba kama Kuna mtu mwenye Keyboard ⌨️ ya Dell Vostro 3500 aniuzie pia unaweza kunicheki WhatsApp 759115313
wadau nahitaji mteja wa kuaminika wa vanilla kavu. naanza na kg 120 zilizopo. mwenye offer nzuri ya nje au ndani atoe mchango wake kwa mjasiriamali mimi. mteja awe dar au bukoba
Yesu alitembea na mke wake kutoka Nazareth kwenda mpaka Jerusalem kuhesabiwa na wakakosa mahali pa kulala, kutoka Jerusalem mpaka Bethlehem alipozaliwa Yesu, distance zote nazijua na umbali wake na jinsi ilivyokuwa" - JOB NDUGAI
Duuuh 😥😥😥😥
Huyu ni yeye kama yeye wala sio side effects za chanjo
Habari wakuu!
Mimi ni MWALIMU wa shule za msingi na awali,
Natafuta kazi kwenye shule hizo:-
1.nina DIPLOMA IN EARLY CHILDHOOD EDUCATION
2.nina CERTIFICATE IN INFORMATION AND COMMUNICATION TECHNOLOGY.
3.NI MWALIMU WA MZURI :-
*GEOGRAPHY
*KISWAHILI
*ENGLISH
*SCIENCE...
Waungwana nimekuja kwenu, anayeweza anisaidie nipate kazi ya kujitolea nipo tayari kufanya kazi sehem yoyote ile, ilimradi ni kuwa na sehem yakunihifadhi na kula tu
🙏🙏🙏
Habari za muda huu ndugu zang wa JamiiForums mimi ni kijana wa kiume nina umri 23 nina Diploma in Pharmacy (Pharmaceutical Technician) but bado sijapata leseni nategemea kufanya mtihan mwez wa kumi naishi shinyanga naomba mwenye kuweza kunipa connection au kuniajiri katika Pharmacy ya jumla au...
Mimi mhitimu wa shahada ya kwanza ya uhasibu ( Bachelor degree of accounting-IFM) ,Mwenye uzoefu wa mwaka mmoja katika fani ya uhasibu.pia nina uzoefu katika application za MS Exel,MS word , MS PowerPoint, typing .
Kwa sasa nafanya CPA (T) nipo intermediate level
Nipo dar es salaam pia naweza...
Habari za asubuhi ndugu!
Mimi ni kijana wa kitanzania ninaishi Dar jinsia (me), elimu (shahada ya teknolojia na mawasiliano) nimekuja humu ndani kutafuta connection yoyote ya Kazi/au sehemu ya kujitolea kwenye taasisi yoyote iliyo na uhitaji wa mtu mwenye fani yangu.
Nipo tayari kujitolea...
Wapendwa habari, mimi ni mama mwenye miaka 35 natafuta Rafiki wa kiume mwenye anaishi na vvu, nahitaji mwenye hali kama yangu ili kuepusha unyanyapaa.
Vigezo awe 35 na kuendelea awe mchapakazi, msafi pia yaani anayejipenda na awe na hofu ya Mungu.
Habari Wakuu. Kuna hizi loud speaker ndogo ya kushika mkononi ambazo kwa mfano ukienda sokoni wafanyabiashara huzitumia kutangazia bidhaa zao au wengine hupita nazo mitaani kutangaza kwa mfano dawa za kuua wadudu.
Nipo Arusha nimejaribu kuulizia kwenye maduka kadhaa sikupata. Anayejua wapi...
Wakuu habar zenu
natafuta mtu wa ku-share anaye eneo la kufanyia biashara
mm binafsi sina uwezo wa kukod fremu ya biashara na nikalipia pekeyangu
sasa naomba kama kuna mtu ana fremu ya biashara na yuko tayali ku-share basi itakuwa vizur
biashara nayotaka kufanya ni ya TIGO PESA, MPESA kwa...
Habarini za asubuhi watu wote wa humu ndani.
Mimi ni mdogo wenu nimejitokeza mbele yenu kuomba ajira yoyote itakayoniwezesha kupatapa kipato halali.
Elimu yangu ni degree katika maswala ya TEHAMA. Nipo tayari kufanya kazi mahali popote ndani na nje ya Tanzania.
Habari wakuu. Nimejifunza udereva mikoani, kwa sasa nahitaji mtaalam wa kuendesha town center anipe mafunzo, gari itakuwa yake, kwa sasa bado sijaagiza gari yangu.
Malipo maelewano
Piga 0713 039 875
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.