JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania
Natafuta mke
Kama kichwa cha habari, kinavyojieleza malengo yangu ni kuhakikisha mpaka mwezi wa 12 nakuwa ndani ya ndoa takatifu hivyo najitokeza kutafuta mke.
Mimi nimesoma mpaka a level, naishi Dar es Salaam, nimejiajiri, mkristo wa KKKT na miaka 34. Mwanamke ninayemtaka umri kuanzia miaka 22 mpaka 38...