natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba seriously

    Vigezo; Awe Mkristo awe dhehebu lolote. Awe ana miaka isiyozidi 25 Awe mweupe, mrefu kiasi na elimu yake isipungue frm4 Pia awe mcha Mungu na awe anahudhuria kanisani. ******* Mimi ni msabato na ni nina miaka 28 Pia ni mwajiriwa na nimejiajiri "Mungu awabariki nyote" No_0626408314. Pia...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta Muwekezaji wa chainsaws mashine

    Mimi Nina uzoefu wa kuwekeza kwenye hizi mashine za kukatia mbao na nimekuwa nikifanya kazi hii kwa muda kidogo na vijana wangu Ila mwaka Jana mwishoni nilipata matatzo ya kifamilia ya ghafla na kupelekwa kuuza mashine yangu. Lakini toka mwaka huu uanze nimekuwa nikipokea oda za mbao Ila...
  3. kaic hamisi

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Napenda kutoa salamu kwa wote jamani ni wote ni wazima poleni kwa majukumu mimi ni kijana wakiume mwenye umri wa miaka 21 elimu kidato cha nne natafuta kazi yeyote ile iwe ya kiwandani, ofisini nk cha muhimu iwe kazi halali naishi mbagala kata wa Kijichi matumain yangu naweza kupata msaada...
  4. Elon Mzebuluni

    JamiiForums Tanzania Natafuta Graphite Powder

    Habari zenu wakuu. Wapi naweza kupata Graphite Powder? Bei yake na pia wanauza kuanzia KG ngapi? Asante.
Back
Top Bottom