Ninajitokeza hapa nina nia ya dhati na kweli kutoka moyoni nimejitokeza hapa natafuta mke wa maisha mwenye HIV Positive, siitaji mpenzi naitaji mke!
Napatikana Dar es Salaam, nina miaka 52, maji ya kunde, urefu futi tano inchi saba, slim body.
Mke ninayemuitaji awe HIV Positive! Awe mweupe...