Natafuta mwanamke kwaajili ya mahusiano baadaye awe mke wangu

PHR

Member
Sep 22, 2020
27
32
Habarini Ndugu zangu

Mimi ni mwanaume(Kijana), nina miaka 23. Dini yangu ni Mkristo. Elimu yangu ni Degree, sasa hivi ni mjasiriamali.

Natafuta binti wa kuanza naye mahusiano awe na miaka kati ya 18-22, ambaye mahusiano yetu yatapelekea kuwa wanandoa.

Kama uko tayari tuwasiliane Inbox.

Nashukuru sana.
 
Nakuombea upate hitaji la moyo wako
 
Habarini Ndugu zangu

Mimi ni mwanaume(Kijana), nina miaka 23. Dini yangu ni Mkristo. Elimu yangu ni Degree, sasa hivi ni mjasiriamali.

Natafuta binti wa kuanza naye mahusiano awe na miaka kati ya 18-22, ambaye mahusiano yetu yatapelekea kuwa wanandoa.

Kama uko tayari tuwasiliane Inbox.

Nashukuru sana.

Kwani unaishi kwenye msitu mkali na wanyama tu hakuna binadamu?
 
UKWELI MCHUNGU

Wew bado kijana mdogo Sana, unawaza ndoa, si ajabu hata level ya mapenzi ya ujanani ujayapitia alafu unataka ndoa

Unachokitafta utakipata soon, kwanza Nina wasiwasi na iy degree yako umeimaliza lini Kama bado umri wako ni mdogo hivy? Au nawew niwale macharii wa kishua mlioanza shule mkiwa na umri mdogo?

Dogo tafuta maisha kwa bidii, mshike Sana pesa ili uwe na amanii.

Itafute Sana pesa na hayo mengine utazidishiwa.

Huko mitaan mbna wanawake wengi tuu, ama wew mdomo wa zege la sementi huwez kuwaface madem mpka uje humu kulilia kiuruma umpate wakukuonea uruma? Acha izo bana, tafta hela hao uwatakao utawapata kwa muda wowote utakao....

Subir wananzengo soon watakuja kukupa mwongozo humu.

UKWELI UNAUMA
 
Nashukuru sana kwa ushauri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom