Natafuta kazi, elimu yangu ni Form Four

Dec 15, 2015
7
5
Naitwa Isaya Joseph Natafuta kazi yoyote ukuweza kujikimu kimaisha. Elimu yangu ni Form Four

Kazi nilizowahi kuzifanya awali ni kama ifuatavyo-:

  • Stationary miezi 6
  • Mashine za kusaga nafaka miaka 2
  • Afisa mikopo kwa wajasiliamali wadogo wadogo mwaka 1
  • Uwakala wa m-pesa, tigopesa mwaka mmoja.

Pia niko vizuri kimasoko kwa kutafuta wateja kupitia social network

Namba: 0693019398

Nipo DSM, Kariakoo
 
Kuna kazi ya kulisha ng'ombe huku tabora njoo chap
 
Naitwa Isaya Joseph Natafuta kazi yoyote ukuweza kujikimu kimaisha. Elimu yangu ni Form Four

Kazi nilizowahi kuzifanya awali ni kama ifuatavyo-:

  • Stationary miezi 6
  • Mashine za kusaga nafaka miaka 2
  • Afisa mikopo kwa wajasiliamali wadogo wadogo mwaka 1
  • Uwakala wa m-pesa, tigopesa mwaka mmoja.

Pia niko vizuri kimasoko kwa kutafuta wateja kupitia social network

Namba: 0693019398

Nipo DSM, Kariakoo
Moshi tunahitaji mtu wa computer au stationary .uwasiliane kama bado unahitaji kazi -0717157640
 
Naitwa Isaya Joseph Natafuta kazi yoyote ukuweza kujikimu kimaisha. Elimu yangu ni Form Four

Kazi nilizowahi kuzifanya awali ni kama ifuatavyo-:

  • Stationary miezi 6
  • Mashine za kusaga nafaka miaka 2
  • Afisa mikopo kwa wajasiliamali wadogo wadogo mwaka 1
  • Uwakala wa m-pesa, tigopesa mwaka mmoja.

Pia niko vizuri kimasoko kwa kutafuta wateja kupitia social network

Namba: 0693019398

Nipo DSM, Kariakoo
Habarii,
Kuna kazi ya staionary,kufundisha computer na tution kwa wanafunzi wa sekondari.
Tupo mji wa Himo, Moshi Kilimanjaro
kama unaweza kazi hii tuwasiliane-0717157640
 
kama upo teyari kufanya kazi za ulinzi....hakikisha wewe ni mrefu...na uwe na miaka kuanzia 24....uwe na vyeti halali vya kidato cha nne...iandikie kampuni barua ya maombi...kisha peleka pale mikocheni b...kituo kinaitwa kwa mwinyi
 
Ahsante father nitafanya hivyo
 
Back
Top Bottom