Afisa Muuguzi II natafuta kazi ni nipo Dar es Salaam

Doreen27

Member
May 9, 2021
8
33
Habari za wakati huu wanajamii?

Mimi ni muuguzi, jinsia Ke, umri miaka 28, naishi Mbezi beach Dar es Salaam, nina leseni ya uuguzi, nina uzoefu wa kazi hii ya uuguzi wa mwaka mmoja.

Naomba connection ya kazi kwenye hospitali, au kwenye mashirika ya Afya ya kiserikali na yasiyo ya kiserikali.

Naomba kama unaweza kuniunganisha na fursa ya kazi unicheki PM.

Natanguliza shukrani zangu za dhati.
 
Tujaribu huku
IMG-20210804-WA0024.jpg
 
Australia na UK wanawataka sana wataalamu wa afya!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom