natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ahmed Saidi

    JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kike ambae naweza muoa hapo baadae

    Assalamu alaykum Wana jamiiforums Bila kupoteza muda, baada ya kupitia mengi katika maisha ya uhusiano sasa naona ni muda muafaka kwangu kurudi katika maisha ya kutafuta mke. Sifa. 1. Asiwe katika mahusiano 2. Dini: Awe muislamu, mchamungu, mwenye kuvaa hijab ya kisheria na mfanya ibada. 3...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta hostel au lodge ya bei poa Mkoani Mbeya

    Wakuu, mwezi wa tano mwanzoni nitakua mkoani mbeya kikazi kwa muda wa karibu miezi 4. Sitarajii kusafiri na familia yangu ila nategemea wife atakua ananivisit mara kwa mara. So nilikua naomba kujulishwa wapi kwa mkoa wa mbeya nitapata hostel ya bei rahisi kama zile wanazokaa watalii kule mikoa...
  3. jaytravo

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya udereva, nina uzoefu wa miaka miwili

    Mimi ni dereva natafuta kazi ya udereva. Nipo Dar Es Salaam, Kijichi Leseni Yangu ni Class C1,E,D. Nina Uzoefu Wa Miaka Miwili Cv (1)Elimu Form 4 cheti (2)Cheti Cha Udereva Umri wangu miaka 26 0756912507
  4. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Utunzaji Kumbukumbu, nina uzoefu wa miaka 3

    Natafuta kazi ya utunzaji kumbukumbu. Nina Diploma ya Utunzaji Kumbukumbu niliyopata katika Chuo cha Utumishi wa Umma (TPSC) na nina uzoefu wa miaka mitatu katika kazi hiyo. Mwenye kuhitaji mtu wa kutunza kumbukumbu katika organization yake nipo tayari.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mchumba au Mke mtarajiwa

    ,
  6. Black Opal

    JamiiForums Tanzania Natafuta nyumba ya kupanga vyumba viwili inayojitegemea (stand alone) maeneo ya Mbezi Beach

    Habari Wakuu, Kama kichwa kinavyosema, nahitaji nyumba ya kupanga inayojitegemea kwenye fensi yaani stand alone maeneo ya Mbezi Beach. ~ Nyumba ya vyumba viwili, sebule na jiko inayojitegemea. ~ Bajeti laki 5 (500,000). ~ Iwe maeneo tulivu Nikipata ambayo haina udalali nitashukuru. Najua...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta ajira Mkoa wowote

    Habari zenu. Naitwa Steven Godlsten Natafuta ajira Mkoa wowote ajira ya halali... Elimu yangu ni Kidato cha Nne. Mofisini, Kampuni, Madukani hata Mashirika pia Mimi niko Mkoa wa Kilimanjaro.
  8. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kuoa

    Habari, Natafuta mwanamke wa kuoa, mwenye umr 32-39, mwenye mapenzi ya kweli, mvumilivu, mcheshi, mwenye hekima na busara. Sifa zangu Umri-37 Dini -Mkristu Kaz-mfanyabiashara wa mazao Kimo-mrefu wastani. Karibu pm tuyajenge
  9. Majighu2015

    JamiiForums Tanzania Natafuta mshirika wa maswala ya TEHAMA tupige pesa

    Habari zenu great thinkers. Natafuta mshirika/washirika ambao tutafanya kazi kwa pamoja katika kutengeneza softwares zitakazotupa utajiri. Ukweli ni kwamba ajira zimekuwa ngumu lakini tuna wataalamu wengi mtaani wenye utaalamu wa kutosha. Kwa sasa natafuta software developer(full stack) na...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Wadau natafuta fundi magari anaye hitaji msaidizi

    Mimi ni fundi natafuta fundi anaye hitaji msaidizi faniyangu ni mechanical Niko dar
  11. sekhal

    JamiiForums Tanzania House4Rent Natafuta Chumba cha kupanga Bunju au Mapinga

    Habari zenu Natafuta room ya kupanga maeneo ya bunju karibu na stendi au mapinga karibu na shule ya baobab Mwenye kufahamu naomba anisaidie au aniunganishe na dalal wa maeneo hayo asanteni
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mwekezaji atakayewekeza kwenye gharama za uendeshaji wa kampuni

    Habari wakuu, Natafuta mwekezaji ambaye atawekeza kwenye gharama za uendeshaji wa Kampuni. Kampuni inadeals na Engineering works na supply of materials. Kwa sasa, Kampuni ina investor ambaye anawekeza hela kazi ikipatikana. Upatikanaji wa kazi unapungua kwa kupungua kwa fedha za uendeshaji wa...
  13. Triple G

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mkulima wa Pili pili kichaa aina ya African Birds Eye (ABE)

    Hello Habari! Mwenye connection na wakulima wa Pili pili kichaa zile kali fupi nyekundu aina ya African Birds Eye chill (ABE). Please naomba unicheki.
  14. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume wa kunioa, awe HIV+

    Habari mimi mdada mwenye umri wa miaka 39 ni muajiriwa, nahitaji kuwa na mwenza awe na miaka 41 hadi 50. Awe HIV+, Mkristo mwenye hofu ya Mungu. Aliye tayari na serious aje PM tuzungumze.
  15. Zombie S2KIZZY

    JamiiForums Tanzania Natafuta chumba Cha kupanga

    Natafuta chumba Cha kupanga maeneo ya boko basihaya, chasimba, tegeta dawasco na maeneo ya karibu na hapo. Nataka Cha 40k au 50k
  16. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Wakuu habari zenu. Naitwa Damian nipo Temeke Dar. Elimu yangu nina degree but kazi yoyote nitafanya. Wakuu NATAFUTA KAZI yoyote halali maana hali yangu ni ngumu sana kiuchumi yani kazi yoyote itakayonifanya niishi tu. Napatikana Temeke na namba yangu ni 0612255193.
  17. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Natafuta nyumba ya kununua Kinondoni

    Eneo ninalopendelea kuanzia Kinondoni studio kuelekea Morocco. Budget avail:170-180ml. Sqm 600+ Pls, inbox for more!
  18. D

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kampuni ya usafirishaji mbadala wa DHL itakayofikisha mzigo hasa Afrika Kusini chini ya wiki moja

    Kama kuna mtu anajua a company inayoweza safirisha small parcel bila regulation na vikao, yaani pay and transport sitaki mbambamba nyingi kama za DHL. Ani link up? Inchi ni za Africa hasa South Africa, Kenya na Dubai.
  19. Mr DIY

    JamiiForums Tanzania Natafuta DIY enthusiasts humu tubadilishane mawazo

    Mimi naamini hakuna binadamu aliezaliwa hapa duniani akashindwa kufanya chochote ambacho binadamu mwenzie anafanya bila shida, siongelei professionals ambazo zinahitaji special training hapana, maana halisi ya DIY ni kile ambacho unaweza kufanya mwenyewe, DO IT YOURSELF. Kwangu mimi nimejikuta...
  20. Cpp

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu aliyesomea Public Health/Environment Management au course ya NOSCH 1 kutoka OSHA

    Kama heading inavyosema wakuu, anahitajika mtu awe Dar hata akiwa na kazi yake hakuna shida. Mwenye sifa anicheck DM tuyajenge.
Back
Top Bottom