Natafuta chumba cha kupanga Maeneo ya Banana, Buza, Kinyerezi, Segerea na karibu yake

Afrocentric view

JF-Expert Member
Jun 19, 2022
1,373
2,267
Hello wadau'
Natafuta chumba Cha kupanga Maeneo Kama title hapo.
Kama una namba za madali Maeneo hayo naomba unisaide.

Natafuta master room
Tiles, gypsum all that
Maji umeme usiwe shida na iwe karibu na Barbara
Kusiwe na msongamano wa wapangaji wengi.
Bajeti: kisizidi laki
 
Ila madalali wa JF mnaroho mbaya. Huyu mwamba hadi leo hamjampa sapoti apate nyumba ya kuweka ubavu?
 
Ila madalali wa JF mnaroho mbaya. Huyu mwamba hadi leo hamjampa sapoti apate nyumba ya kuweka ubavu?
Kwa hizo requirements alizoweka na kwa maeneo aliyoyataka ni sawa na kutafuta bucha ya kitimoto msikitini.
 
Hello wadau'
Natafuta chumba Cha kupanga Maeneo Kama title hapo.
Kama una namba za madali Maeneo hayo naomba unisaide.

Natafuta master room
Tiles, gypsum all that
Maji umeme usiwe shida na iwe karibu na Barbara
Kusiwe na msongamano wa wapangaji wengi.
Bajeti: kisizidi laki
Umeshapata au bado nikulink na Dalali wa maeneo hayo.
 
Back
Top Bottom